Bado sijapata mume wa familia

Nikushauri tu Dada yangu, umri huo unahitaji wengi wameoa, nakama Kuna mtu kafikisha umri huo bado hajao basi either ana permanent relationship or ana matatizo Binafsi. So take care usije ukatumika Kama pad daangu.

Kijana usituharibie ridhiki....zetu....
 
35? Ningeshauri usiingie ktk mbio za ndoa badala yake we zaa mtt moja au wawili. Pambana mwenyewe.
 
Hiyo dhan ya vijana wanasumbua umejijengea kichwan mwako au labda kwa kuwa ulikuwa na kijana akakusumbua ukahisi wote wako hivyo BUT believe me or not kuwa na umri mkubwa sio kukomaa kiakili na kifikra ila jitahidi kupata mtu aliye serious anayejielewa vinginevyo usawa huu watakuchezea sana kwa kuwa unaonyesha uhitaji sana wa ndoa
Anahisi huyo wa miaka 40 alizaliwa akiwa mzee. Hahaaaaaaa
 
Hamjambo wapendwa wa JF, habari za x-mas, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 52. Nahitaji mwenza wa kuniliwaza na kunipa faraja. Naomba masihara na utani usiwepo.
Njoo hapa mama umefika mwisho wa safari yako
 
Hamjambo wapendwa wa JF, habari za x-mas, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 52. Nahitaji mwenza wa kuniliwaza na kunipa faraja. Naomba masihara na utani usiwepo.
Ww mama mmmh! 52 uliwazwe? ,si umeshafika menopause kabisa. Kwel dunia inachange
 
Angalia hata uwezekano wa kupata hata mtoto.. Maana Naona upo kwenye tia maji tia maji.. Ucje ukachelewa Vyote.. At the age of 40 Kama anaakil nzur.. Hawez kuwa single.. Labda awe mgane
 
ha ha ha acha unyanyasaji kwani menopause hawataki kuliwazwa
It was joke but mara nyingi wanawake wakifikia menopause mambo ya sex wanapunguza sana na wengine huacha kabisa kutokana na hormone level kudrop hivyo hamu nako hupungua gradually
 
It was joke but mara nyingi wanawake wakifikia menopause mambo ya sex wanapunguza sana na wengine huacha kabisa kutokana na hormone level kudrop hivyo hamu nako hupungua gradually
ndio inavyosemekana sasa sijui inakuaje kwa wanaotafuta liwazo kila la kheri mama ukipata ulete mrejesho
 
Hamjambo wapendwa wa JF, habari za x-mas, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 52. Nahitaji mwenza wa kuniliwaza na kunipa faraja. Naomba masihara na utani usiwepo.
Una hela? Na unataka kwa kila wiki au kwa mwezi Mara ngapi?... Maana kwa umri wako wewe sio Wa kuishi na kijana Dunia itashangaa.

Jf ishakuwa kana badoo!
 
Nina Babu Yangu Hapa, Hana Mke.Kazi Ni Mlinzi - If Interested PM Nikupe Contact Zake Au Kama Unataka SuperStar Yupo Le mutuz Mzee Wa Mabebez Yuko Single
 
Back
Top Bottom