Mtume Boniphace Mwamposa amtembelea Paul Makonda ofisini kwake Arusha

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,252
4,827
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili hapo chini

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Paul Christian Makonda amekutana na kuzungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Nabii Boniface Mwamposa ofisini kwake Jijini Arusha.

Nabii Mwamposa aliyeambatana na viongozi wengine wa Kanisa lake, Wamempongeza Mh.Mkuu wa mkoa kwa kuendelea kuaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumtaka kuendelea kuwatumikia wananchi kwa nguvu na Jitihada zake zote.

Aidha Nabii Mwamposa sambamba na watumishi wenzake wa Mungu walimuombea Baraka Mh. Mkuu wa Mkoa wakimsihi Mwenyenzi Mungu aendelee kumpa Utashi, afya njema na nguvu za kutosha katika kuwatumikia wananchi wa Jiji la Arusha.

Mkuu wa Mkoa Mh.Makonda leo anafanya kikao cha ndano cha kuzungumza na wakuu wa Wakurugenzi na wakuu wa Idara mbalimbali pamoja na kusikiliza kero za wadau na wafanyabiashara mbalimbali wanaofanya kazi zao mkoani Arusha. @daupizo_
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amekutana na kuzungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Boniface Mwamposa ofisini kwake, jijini Arusha.

IMG_9920.jpeg

Mwamposa aliyeambatana na viongozi wengine wa Kanisa hilo wamempongeza Makonda kwa kuendelea kuaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na kumtaka kuendelea kuwatumikia wananchi kwa nguvu na jitihada zake zote

Aidha, Mwamposa sambamba na watumishi wenzake wa Mungu walimuombea baraka Mkuu wa mkoa huyo sambamba na kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumpa utashi, afya njema na nguvu za kuwatumikia wananchi wa mkoa huo

Makonda leo, Jumamosi Aprili 13.2024 anafanya kikao cha ndani na Wakuu wa taasisi, Wakurugenzi na wakuu wa idara mbalimbali pamoja na kusikiliza kero za wadau mbalimbali ikiwemo wa sekta ya maliasili na utalii.

PIA, SOMA:

Uteuzi wa Ukuu wa Mkoa Arusha
Matukio baada ya Uteuzi
 
Haki yake kama Mkristo kukutana na kiongozi yeyote wa Kikristo ambaye yeye binafsi ataamua akutane naye

Makonda yeye ndie huamua akutane na nani sio viongozi wa dini
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amekutana na kuzungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Boniface Mwamposa ofisini kwake, jijini Arusha

View attachment 2962309

Mwamposa aliyeambatana na viongozi wengine wa Kanisa hilo wamempongeza Makonda kwa kuendelea kuaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na kumtaka kuendelea kuwatumikia wananchi kwa nguvu na jitihada zake zote

Aidha, Mwamposa sambamba na watumishi wenzake wa Mungu walimuombea baraka Mkuu wa mkoa huyo sambamba na kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumpa utashi, afya njema na nguvu za kuwatumikia wananchi wa mkoa huo

Makonda leo, Jumamosi Aprili 13.2024 anafanya kikao cha ndani na Wakuu wa taasisi, Wakurugenzi na wakuu wa idara mbalimbali pamoja na kusikiliza kero za wadau mbalimbali ikiwemo wa sekta ya maliasili na utalii.

Pia soma: Makonda amtumia Mwamposa kupata umaarufu kwa kisingizio cha Salamu za Rais Samia , ni mbinu duni sana
Binafsi, naiona ni kama kujaribu kufifisha kilichosemwa na Gwajima kwamba anafutwa kwenye siasa..!!
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amekutana na kuzungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Boniface Mwamposa ofisini kwake, jijini Arusha

View attachment 2962309

Mwamposa aliyeambatana na viongozi wengine wa Kanisa hilo wamempongeza Makonda kwa kuendelea kuaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na kumtaka kuendelea kuwatumikia wananchi kwa nguvu na jitihada zake zote

Aidha, Mwamposa sambamba na watumishi wenzake wa Mungu walimuombea baraka Mkuu wa mkoa huyo sambamba na kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumpa utashi, afya njema na nguvu za kuwatumikia wananchi wa mkoa huo

View attachment 2962315

Makonda leo, Jumamosi Aprili 13.2024 anafanya kikao cha ndani na Wakuu wa taasisi, Wakurugenzi na wakuu wa idara mbalimbali pamoja na kusikiliza kero za wadau mbalimbali ikiwemo wa sekta ya maliasili na utalii.

Pia soma: Makonda amtumia Mwamposa kupata umaarufu kwa kisingizio cha Salamu za Rais Samia , ni mbinu duni sana
Ogopa sana hii Combination ya Mganga, Mwizi, Mwanga na Tapeli ikikukuta au ikitokea ukaiona mahala ni Hatari sana.
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amekutana na kuzungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Boniface Mwamposa ofisini kwake, jijini Arusha

View attachment 2962309

Mwamposa aliyeambatana na viongozi wengine wa Kanisa hilo wamempongeza Makonda kwa kuendelea kuaminika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na kumtaka kuendelea kuwatumikia wananchi kwa nguvu na jitihada zake zote

Aidha, Mwamposa sambamba na watumishi wenzake wa Mungu walimuombea baraka Mkuu wa mkoa huyo sambamba na kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kumpa utashi, afya njema na nguvu za kuwatumikia wananchi wa mkoa huo

View attachment 2962315

Makonda leo, Jumamosi Aprili 13.2024 anafanya kikao cha ndani na Wakuu wa taasisi, Wakurugenzi na wakuu wa idara mbalimbali pamoja na kusikiliza kero za wadau mbalimbali ikiwemo wa sekta ya maliasili na utalii.

Pia soma: Makonda amtumia Mwamposa kupata umaarufu kwa kisingizio cha Salamu za Rais Samia , ni mbinu duni sana
well done..

kazi na sala :KasugaYeah:
 
Makonda Bomayeeee
 
Kama Makond.a ni mchawi basi mchawi kweli kweli maana wakinga wengi hawachoki msema na kumfuatilia. Aliyemteua amefanikiwa
 
Back
Top Bottom