50 Greatest Tanzanians (minus politicians)

David mwaibula- kwa kubuni utaratibu wa daladala Dar

Shaban Robert- mwandishi wa vitabu na tenzi za kiswahili mashuhuri duniani

Dr. Ramadhan Dau - Mapinduzi katika mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania

Dr. Idrissa Rashid - Kiongozi jasiri na mkweli..alisadia katika mapinduzi ya sector ya fedha Tanzania (financial sector reforms), amesema ukweli kuhusu Tanesco na sasa watanzania wanalipa aliyoyatabiri
 
Kama ulivyo wewe mdini..ok

Inategemesa unatafsiri vipi udin
Thats your two cents,now get a dollar back.Si unaona umemu add David.Nilidhani ilikuwa makusudi,kumbe bahati mbaya.Siyo kosa lako mkuu.Sorry mkuu.People dont choose to be wadini.Uliteleza,you dont know.Reference zako very limited na again,it aint your fault.You're just a product of....
 
Thats your two cents,now get a dollar back.Si unaona umemu add David.Nilidhani ilikuwa makusudi,kumbe bahati mbaya.Siyo kosa lako mkuu.Sorry mkuu.People dont choose to be wadini.Uliteleza,you dont know.Reference zako very limited na again,it aint your fault.You're just a product of....

Losser! next
 
Losser! next
What you mean next?who are you nexting.We kweli hopeless.Naona comfortability ya screen name at work.Teh teh teh!But one thing for sure is you can never run away from yourself!Teh teh teh!
 
1. Erasto B. Mpemba - Mvumbuzi wa Mpemba Effect
2. Edward Said Tingatinga - Muasisi wa Tingatinga
3. Justinian Rweyemamu - Mtunzi wa Tasnifu ya Mpango wa Kujenga Viwanda Tanzania
4. Kamaradi Kompanero - Mgunduzi wa Modeli ya Maendeleo ya Ujamaa Mamboleo

Hakika mkuu..huyu bwana ebu pata historia yake kidogo....

Tingatinga was born in 1932 in a village called Namochelia, in the Tunduru district of the Ruvuma Region in southern Tanzania, near the border with northern Mozambique.A village by that name no longer exists; it may have ceased to exist in the 1960s as a consequence of the relocation of small villages that was part of the Ujamaa program of President Julius Nyerere. Today's settlements in that area include Mindu, Nakapanya and Mtonya. Many members of Edward Tingatinga's family (on the mother's side) still live in those villages; relatives from the father's side live in Ngapa, about 20 km north of Nakapanya.

Edward Tingatinga was born from a poor family. His mother, Agnes Binti Ntembo, belonged to the Makua ethnic group and was a Christian, while his father, Saidi Tingatinga, was a Ngindo and a Muslim. This is why the child was given bot a Christian name (Edward) and a Muslim name (Said). Because of the matrilinear heritage of the Makua traditional society, Edward Tingatinga should be considered of Makua descent. As a child, he was mostly cared for by his mother's family. Eventually, the relationship between Agnes Ntembo and Saidi Tingatinga broke down. Agnes Ntembo had three more sons with two other partners, namely Andrea Gallusi, Simon Mpata and Cesilia Mpata. Simon Mpata, as well as Agnes Mpata (Cesilia's daughter) would later follow Edward's footsteps and join the society of painters he would found.


In the 1950s, Edward he left his mother and went to work in the plantations of sisal in Tanga Region of northern Tanzania; later, he was invited by his uncle Salum Mussa Mkayoga (also known as Mzee Lumumba), who worked as a cook of a British officer in Dar es Salaam. Tingatinga found a favour with him and was employed as gardener. At the same time he began experimenting first as a musician and (in 1968) as a painter.

His painting were made using recycled, low-cost materials, such as masonite squares, ceramic fragments, and bicycle paint. His style was naïve, bordering on surrealistic and humorous; most of his subjects were stereotypical African icons, such as wildlife or savannah landscapes.


In 1970 he married Agatha Mataka, who was a Makonde from Mozambique. Eventually, Tingatinga's paintings became very popular among European residents and tourists, so that he was able to work full-time as an artist. He later gathered a group of apprentices and followers, that would later organize themselves into the Tingatinga Art Co-operative Society. Some of Tingatinga's followers in the Society (e.g., January Linda, Adeusi Mandu, Ajaba Adballah Mtalia, Casper Tedo, Simon Mptata and Omari Amonde) were Edward's or his wife's relatives, either Makua or Makonde. Of the first generation of Tingatinga students, only Edward's nephew Omari Amonde is still living.

In 1972 Tingatinga was accidentally killed by a policeman who mistook him for a fugitive. The Tingatinga school survived him, and grew in size and relevance. Through Tingatinga's followers and imitators, the
Tingatinga style gradually became the prominent type of tourist-oriented paintings in both Tanzania, Kenya, and a large part of East Africa. Tingatinga is buried at the Msasani Cemetery in Dar es Salaam.


Hakika huyu mjomba ni mmoja wa waTZ 50 waliotoa mchango mkubwa sana katika jamii kwani hadi leo TingaTinga Paintings and Art ni maarufu ulimwenguni kote na imetoa fursa ya ajira kwa maelfu ya waTZ!
 

Attachments

  • Edward Said Tingatinga.jpg
    Edward Said Tingatinga.jpg
    10.7 KB · Views: 52
  • Tingatinga painting 2.jpg
    Tingatinga painting 2.jpg
    14.3 KB · Views: 52
  • Tingatinga painting 3.jpg
    Tingatinga painting 3.jpg
    17.1 KB · Views: 36
  • Tingatinga painting.jpg
    Tingatinga painting.jpg
    12.4 KB · Views: 42
1. Brigedia Bayeke aliyekwenda kuwashikisha adabu washenzi waliokuwa wanabaka dada zetu mikoa ya magharibi. KUna watu wana madaraka ya juu na vyeo vya juu hawajali, tena wanashiriki kufanya kama yale aliyopingana nayo Bayeke.
2. Jenerali Ulimwengu, aliyekwenda kwenye mission ya hatari Msumbiji akiwa kijana mdogo, kutokana na moyo wa uazalendo kwa nchi yake, na moyo wa kupigania uhuru wa mwafrika...malipo yake aliambiwa kuwa si mtanzania
3. Issa Shivji
4. kuna dada mmoja mwanasayansi amepata tuzo pale muhimbili hivi karibuni

Hapo kwenye red, ni Dr.Juliet Makani, ni doctor (M.Med Haematology) muhimbili. Anafanya kazi nzuri sana, anatumia taaluma yake katika researches na kutoa huduma kwa watoto wenye Sickle Cell Disease. Anafanya vizuri sana.

Ni mtoto wa Mh. Bob Makani, mwanasiasa mkongwe Tz.
 
Kuna yule Stephen Akwari, sijui kama nimelipatia jina lake. Aliyeumia wakati akikimbia marathon, akamaliza muda mrefu sana baada ya mtu wa mwisho kumaliza. Alipoulizwa kwa nini aliendelea kushindana baada ya kuumia, akasema nchi yake imemtuma kumaliza mashindano

namkubali huyu
 
Hii maada ni nzuri nimeipenda nami naomba nimtaje marehemu ALLY NABWA alikuwa mwandishi wa habari zanzibar katika gazeti silikumbuki jina, gazeti lao lilifungiwa mara kadhaa na serikali ya Komandoo na ikafikiwa hatua ya yeye kuambiwa sio raia, kisa ni kufichua maovu ya serikali na kupigania maslahi ya wananchi.
Mwingine ni SAID KUBENEA huyu sihitaji hata kuelezea sababu maana najua kila mtu anamjua, huyu historia yake ndiyo inaandikwa na watakuja kusimulia vizazi vijavyo.
 
Anthony Almeida: msanifu majengo pekee baada ya uhuru. alifanya kazi kwa uadilifu mkubwa licha ya kutokuwa na ushindani. maktaba kuu ni moja ya majengo aliyosanifu.

Shaban Robert

Marjani Rajab

John Ankwari

Mexcence Melo
 
Profesa Saidi Idd...huyu mjomba ndie chachu ya mabadiliko katika usimamizi wa misitu TZ.
Kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1990, huyu jamaa akiwa wizara ya maliasili na utalii, alifacilitate kwa ukubwa sana uaandaji wa sera ya misitu ya mwaka 1998 na badae sheria ya misitu ya mwaka 2002. Facilitation hiyo pamoja na mchango wake wa awali ulipelekea serikali kufyata mkia na kukubali suala la usimamizi shirikishi wa misitu ambapo wanajamii waishio kandokando mwa misitu wanapata fursa ya kuenjoy maliasili hizo tofauti na awali ambapo misitu mingi ilikua chini ya serikali na raia kuingia kwenye misitu ilikua kosa la jinai!
Heko ndugu Saidi Idd!
 
Hakika huyu Anthony Almeida ni mmoja wa pioneers katika masuala ya ubunifu wa majengo hapa TZ..ebu angalia baadji ya landmarks zake...
 

Attachments

  • Almeida's work 1.jpg
    Almeida's work 1.jpg
    10 KB · Views: 47
  • Almeida's work 2.jpg
    Almeida's work 2.jpg
    12.8 KB · Views: 43
  • Almeida's work 3.jpg
    Almeida's work 3.jpg
    16.4 KB · Views: 46
  • Almeida's work 4.jpg
    Almeida's work 4.jpg
    16.8 KB · Views: 44
  • Almeida's work 5.jpg
    Almeida's work 5.jpg
    12.1 KB · Views: 43
Stephen Akhwari- Mtanzania aliyekwenda Olympic Mexico 1968. Aliumia baada ya kuanguka na aliendelea na mbio kwa taabu na maumivu makubwa akiingia uwanjani baada ya saa 2 mshindi wa kwanza kupatikana. Amepewa heshima kubwa sana Duniani hadi leo kwa akuli yake 'sikutumwa na nchi yangu kuja kuanza mashindano bali kumaliza'.

Huyu mtu si mchezo hebu mchekini hapaa...ni shujaa sana hakuna kama yeye Tangu Olympic Ianze, Hakuna... Anakumbukwa katika historia ya Olympic http://en.beijing2008.cn/29/16/article212011629.shtml Who was John Stephen Akhwari? « David Haviland na hapa Finish the Race ~ personal story of courage - YouTube Story of John Steven Aquari of Tanzania - YouTube
 
Stephen Akhwari- Mtanzania aliyekwenda Olympic Mexico 1968. Aliumia baada ya kuanguka na aliendelea na mbio kwa taabu na maumivu makubwa akiingia uwanjani baada ya saa 2 mshindi wa kwanza kupatikana. Amepewa heshima kubwa sana Duniani hadi leo kwa akuli yake 'sikutumwa na nchi yangu kuja kuanza mashindano bali kumaliza'.

Huyu mtu si mchezo hebu mchekini hapaa...ni shujaa sana hakuna kama yeye Tangu Olympic Ianze, Hakuna... Anakumbukwa katika historia ya Olympic John Stephen Akhwari - the greatest last place finish ever (photo attached) Who was John Stephen Akhwari? « David Haviland na hapa Finish the Race ~ personal story of courage - YouTube Story of John Steven Aquari of Tanzania - YouTube
 
Hakika huyu Anthony Almeida ni mmoja wa pioneers katika masuala ya ubunifu wa majengo hapa TZ..ebu angalia baadji ya landmarks zake...

yule babu wa kihindi ni nouma, hata meno hana asaiv ila ni great architect, namkubali sana yule mzee, hivi na yule alo'design soko la kariakoo nikumbusheni anaitwa nani vile?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom