Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,239
Kuna mtu kamuweka riziwani...Hugo ni mwanasiasa bora miraji..though wote bado..",bora uwaweke capt John na capt Andrew Nyerere(jet fighter pilots) ,walikuwa watoto wa kwanza wa sitting president kupigana mstari wa mbele Uganda....pamoja na mdogo wao capt .makongoro.
Kuna kina ,Dendego,Mzena wakuu wa mwanzo kabisa wa Tiss,..kuacha kinaa Lau Gama na Hassan Kitine...ambao wao baadaye waliingia..siasa..",
Tuna majemedari wa vita na jeshi letu kwa ujumla......wotte wastahili kuenziwa miaka 50 ya Uhuru.....
kuna kundi la wanamichezo waliotia fora nao ni mashujaaa...
Kuna wa iota ya mambo yaliyookoa maisha ya mamilioni Kama yule sajenti wa Kikosi cha zimamoto ..aliyejitoa muhanga kupita katikati ya moto kwenda kuzima tank lililokuwa linaungua kwenye katakana ya mafuta na gesi pale ubungo....Kama sio yeye matenti yenye mafuta na gesi kwa mamilioni ya ujazo yanelipuka....Mazda yangetokea ya ajabu nadhani kuanzia ubungo Hadith sinza yote Hadi relini mabibo Kungeenea moto.
Wapi wengi wengi ...na ni kazi inayotakiwa kufanywa kwa kuwashirikisha watu ma background ,na umri tofauti...otherwise unsung heroes watakuwa wengi.....waasisi wa Uhuru nao watafutwe ili wale mashujaaa wa Uhuru ambao hawakuenziwa nao wawepo
Makongoro nae ni capt?
duh,ni vyema kuwajua watu hawa sasa na sio kusubiri
wamekufa ndo tunaanza kujua kumbe nae alipigana vita vya kagera