TAARIFA KWA UMMA
TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR
Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na Serekali ya awamu ya sita ya Dr. Abedi Amani Karume na aliekua Waziri wa sekta hiyo ndugu Mansour Yussuf...
https://www.youtube.com/live/SNFqdxgQ_R4
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
Muda mwingi rahisi atafanya hivi na vile akiwa Zanzibar.
Mara, rahisi yupo na Dotto magari Zanzibar.
Aisee, mbona hakauki huko Zanzibar?! Dodoma ambapo ndipo Ofisi yake ilipo anakaa muda gani huyo rahisi?!
Inachosha bwana!
Bora hata ya Hayati aisee.
Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar na katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa mhadhara atakaofanya hauna utata wowote kwani ataongelea vitu vilivyopo katika maandiko ya Biblia na Quran. Amesema kuwa Biblia imemuongelea Muhammad na pia Quran imemuongelea Yesu.
Source...
Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar, walifika katika chuo Cha Umoja wa Vijana Tunguu Kwaajili ya Uvunaji wa mabilinganyi na pilipili Boga Kwa lengo la kuendeleza Siasa na Uchumi Katika Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM.
Aidha, Wabunge na...
Aliyekuwa Mfalme wa Zanzibar Sayyid Jamshid amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo nchini Oman zikiwa zimebaki siku chache kufikia miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomuondoa madarakani na anatarajiwa kuzikwa katika makaburi ya familia ya kifalme huko Muscat.
Vyanzo vya habari vimethibitisha...
Mamlaka ya Uhifadhi na uendeshaji wa Mji Mkongwe Zanzibar kwa kushirikiana na taasisi nyingine za serikali zimekubaliana kuwaruhusu vijana wa wapiga makachu katika eneo la Forodhani kuendelea na Shughuli zao kwa kuzingatia taratibu zilizoanishwa katika mikataba itakayosainiwa na vijana hao...
Kwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini?
Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano.
Hata sheria iliyoanzisha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Act 12 of 2017 imetamka wazi kuwa itatumika...
Wanabodi,
Hii story ya Sultan wa Zanzibar kurejea Zanzibar
Ni fake news. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni
Jana baada ya kuisoma na kuchangia, nilipandisha bandiko la maoni yangu.
Kaka yangu mmoja kutoka Zanzibar, Kaka Chale, akanipigia simu...
SULTANI JAMSHID ALIYOISHI DAR ES SALAAM KAMA MKIMBIZI AKIJITAYARISHA KWENDA NCHI YA TATU ILI TANGANYIKA ISIWE NA MGOGORO NA ZANZIBAR.
Mchezo huu hauhitaji hasira, mtu ni kwao, karibu sana Sultan Jamshid.
TOKA MAKTABA:
AIISHUKURU SERIKALI YA TANGANYIKA KWA KUMPA NJIA YA KUPITA KUELEKEA...
Uchambuzi wa Mapinduzi ya Zanzibar ya Mwaka 1964
Kwanini Mapinduzi Yalitokea
Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea kutokana na mchanganyiko wa sababu za kisiasa, kiuchumi, na kijamii. Wakati wa utawala wa Sultan Jamshid bin Abdullah, kulikuwa na tofauti kubwa kati ya Wazanzibari wa asili ya Kiafrika...
Nlisoma humu uzi kuwa baba wa Taifa la Zanzibar ni John Okello (RIP) Huyu ni Che Guevara wa East Africa. Mwanamapinduzi na mpigania Uhuru.
Huyu alitoka kwao Uganda kuja kuwakomboa Wazanzibar. Alikuwa na moyo wa kipekee sana. Dunia haipaswi msahau.
Napendekeza kama ana ndugu zake anapokuja...
Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa...
Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo...
Wakuu,
Ila tuko na viongozi wapumbavu, mlishindwa kuwatoza fine kulingana na makosa waliyofanya, kutupa taka, sijui mavazi si tayari mna utaratibu kwenye mambo hayo?
Mmeona vijana wanafaidi sana mpaka muende kuingiza mkono wenu mambo yaharibike. Vijana wamefanya kazi nzuri kuvutia watu hapo...
Kama Kichwa kinavyojieleza hapo nataka kuagiza laptop Zanzibar au naweza kwenda mwenyewe nikabeba kwenye begi
Je Bei ya ushuru ipoje na kama mzigo nimeweka kwenye begi bado nitatozwa ushuru
Nawasalisha
Kama Upo Zanzibar/Pemba tafadhari karibu dm
Najaribu kujiuliza juu ya upatikanaji wa miamba inasosemakana kuwa na dhahabu au madini mengine yenye thamani kubwa.
Je nchi kama zanzibar ina maana tokea enzi za ukoloni kulikuwa hakuna mwana geolojia aliye gundua dhahabu zanzibar ?
Mbona nishasikia kwamba hapa hapa duniani kuna visiwa vina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.