yuko sahihi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Willbrod Slaa alikua sahihi na yuko sahihi mpaka kesho

    Wasalaam. Kufuatia kushupaza shingo kwa bwana mbowe na kuamua kugombea uenyekiti wa chadema licha ya familia yake na wazee wenye busara kumsihi asigombee nimekumbuka maneno ya Dr slaa aliposema mbowe na genge lake ni wachumia matumbo na hawapo pale kwa ajili ya kupigania haki, uhuru na...
  2. D

    Kimhemko na kisiasa Makonda yupo sahihi; kitaalamu Mchengerwa Yuko sahihi zaidi!

    Usahihi wa Makonda; Inaweza ikaamsha watendaji kuwahi majukumu yao kwa haraka na kwa wakati.........si mbaya. Usahihi wa Mchengerwa; Desturi hii ikiingia katika akili na damu za watu wetu, ambao wengi wao uelewa wao ni mdogo sana na ambao huchagizwa na mihemko ya kisiasa au kikanda na kikabila...
  3. Rais wa Brazil yuko sahihi, kwanini Waziri Jr Shemtembo hakucheza?

    Tumefika hapo tulipofika kwa kuwatumia wachezaji wetu wa ndani akina Shemtembo, kwanini kocha alibadili gear angani akaacha kuwatumia? Wachezaji wa nje wana miguu ya pesa, wanawaza timu zao zinazowapa fedha. Wachezaji wa ndani wanajituma sana ili waende kucheza nje, lakini wale wa nje...
  4. Pre GE2025 Kwa maelezo ya Baba Mwita na kuwepo kwa kipindupindu jijini DSM RC yuko sahihi kutumia jeshi JWTZ

    RC, hana mamlaka ya kutoa AMRI kwa JWTZ. Kanuni za jeshi zinamtaka yeye (RC) kufanya maombi kwa fomu maalum kwa Waziri wa Ulinzi ili jeshi lije uraiani. Lakini, kuna masharti, kabla ya kupeleka ombi, ni lazima eneo husika liwe na FUJO (riot) au shughuli hatarishi ambapo jeshi hupelekwa KULINDA...
  5. Pre GE2025 Pendekezo la CHADEMA No.5 Lililowasilishwa na Mnyika kuhusu Wabunge Liko Sahihi kwa Vigezo hivi

    Ndugu wanajamvi Mwanzoni Nilipopitia mapendekezo hayo akili yangu iliwaza kuwa Mnyika pamoja na Chadema yake wanataka Kutuongezea Wabunge ili Kuongeza Gharama ya Nchi hii na nikawaza kwa Sasa Wabunge wa Majimbo wako 264 na vipi tukisema waongezeke hiyo si itakuwa 528 kabisa haoni kwamba tutakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…