Application fee ya dola kadhaa imeenda
Na rufaa imechanwachanwa.
CAS wanadai Bodi ya ligi ndio chombo cha juu cha kutoa maanuzi na ratiba juu ya mechi yoyote na hakipaswi kuingililiwa na chombo chochote
Je hii ni halali
Miongoni mwa Dery yenye mvuto africa The Watani wa Jadi Derby hakukutokea Bahati mbaya, kama zilivyo Derby nyingine duniani Derby huwa na visababishi. Kwamfano El clasico Hii derby imesababishwa na kukuzwa na , moja Siasa, Madrid na Catalonia , uwepo napia Uwezo wa Christin na Messi. , vile...
Hatua zichukuliwe za haraka kuliokoa soka letu..jana kocha wa fountain gate kaweka kila kitu wazi kuhusu kipa wao vipi kuhusu marefa nao wenye kufumbia macho haya...ligi inapoteza heshima leo kazungumza hapa kesho anakwenda kuhojiwa bbc bado kocha atarudia kauli ile ile bila kupepesa kuhusu...
Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa...
Sijajua tatizo lao huwa nini. Lakini Yanga inategemea Simba itafute wachezaji halafu yenyewe ianze kuwavizia.
Wema wa Simba unaiimarisha timu ya Yanga!
Nasema hivi Simba ili mbishane na yanga mfike fainali kwanza kombe Hilo la shirikisho,ambayo msemaji wenu ahmedi ally alikua analiita kombe la waliofeli.
Siku zote mkubwa ni mkubwa tu, Yanga alicheza fainali ya haya mashindano wala hapakuwa na kelele, Ila sasa kelele zimekuwa nyingi kila kona! Shida inaweza kuwa ugeni, ushamba au nini wakuu?
Badala ya washabiki wa Yanga kuuponda udhamini wa JayRutty kwa kuonesha kuwa anaongea visivyowezekana,wangemtaka Injinia atimize ahadi yake ya kujenga uwanja na kukamilisha ndani ya kipindi cha uongozi wake.Vinginevyo inaonesha kuwa washabiki wa Yanga ni wepesi mno kudanganywa na kusahau.
Mimi kama mwanachama wa Yanga nampongeza mfadhili wetu GSM Kwa mazuri anayoifanyia timu yetu
Lakini tukumbuke GSM ni binadamu anaweza siku akaamka hana furaha, akasitisha ufadhili wake, Kuna kufirisika, kifo n.k
Viongozi watueleze, je bila GSM sisi wanayanga tutakuwa vipi imara
Sifurahii...
Imefichuka kuwa klabu ya Yanga imemwaga dau nono ili kumshawishi kiungo mahiri Feisal Salum "Fei Toto" kurejea Jangwani. Kwa mujibu wa taarifa, Yanga wameweka mezani ofa ya shilingi milioni 750 kama sign-on fee pamoja na mkataba wa miaka miwili. Aidha, kiungo huyo ameahidiwa mshahara wa shilingi...
Mwezi ujao Ligi inaisha na hakuna lolote linaloendelea Kwa mechi iliyogomewa na kuhairishwa Kwa wakati mmoja, naongelea mechi ya Simba na Yanga.
Kwakuwa May 25/2025 Ligi inaisha , basi kutatua mgogoro huu TFF watoe Suluhu katika mechi hiyo, ikiwa yanga apewe point moja bila goli na Simba apewe...
Habari wadau!
Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa wamepanga.
Je, ni kweli jambo hili sssa liko huko CAS kwa ajili ya usuluhishi na maamuzi?
Na kama kweli...
Tupambane tu huko CAFCC na CRDB FA, ila huku katika Ligi Kuu imeshaisha hiyo sawa?
Sina uwezo wa Kumfunga Yanga SC kwa sasa sana sana nikijitahidi mno Sare / Suluhu nae.
Ni bora / kheri upewe Dawa iliyo Chungu ili Upone kuliko Dawa Tamu ambayo haitakuponyesha.
Hili kundi ndio lilikua na timu mbovu kupitiliza lakini hapa yanga ndio alikuwa mbovu kuliko wote alifungiwa hapa hapa kwao.....Tp mazembe out...Mc Alger out....yanga out na Al hilal ibenge ngungu yanga out...Hslafu bado wanasema ....rank zimetoka msije sema hamjapewa taarifa kila mmoja akague...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.