Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha.
Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini...
Ukisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao
Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah
Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki.
Tumeumbwa kuvumilia
Pia tunajua jinsi ya kupambana na changamoto
All in all mnaopitia changamoto za ndoa poleni sana.tafuta...
Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao ipewe muda au Mashabiki wao wawe Wavumilivu kwani Vikosi vyao Vinajengwa na miaka mingi ijayo.
Mpira...
ukiangalia Mhehe/ Mbena moja moja wapo pasua kichwa lakini ukiangalia kwa jicho la wastani / average wanawake wengi wahehe na wabena wanapoingia kwenye ndoa huwa ni loyal, ride or die, wavumilivu, humheshimu mwanaume kwa hiari, hawana tamaa ya mali, n.k.
Nina katabia kabovu sana ka kupenda...
Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai 'lifti' tano kati ya sita kwenye jengo la Millennium Tower 2 hazifanyi kazi, wasimamizi wa jengo hilo wamekiri uwepo wa changamoto hiyo na kuwaomba watumiaji ikiwemo wapangaji kuwavumilia kidogo wakati wakifanya marekebisho ambayo wamedai...
Wakuu,
Ni kwamba "Wanyonge" ndio jina tulilokubali kuitwa na kuliishi hatuwezi kabisa kutoka humo hata tufanyiwe aina yoyote ya upuuzi hatutafanya kitu? Tunamuachia Mungu?
Tunalipia huduma hizi ni haki yetu kupata kilicho bora. Tunanyonywa na kodi za kila aina kwanini hatu-DEMAND kupata...
Wakuu, za siku nyingi?
Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania
yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.
1. Iringa
2. Mara
3. Shinyqnga
4. Mwanza
5. Kigoma
6. Simiyu
7. Geita.
8. Mbeya
9. Ruvuma
10. Njombe
11. Tabora
12...
Star Times wana Channel yao Moja niipendayo ya ( ihusuyo ) Wanyama na Maisha yao na kuna Siku niliona Simba Jike anarudi Kinyumenyume vile vile tayari kwa Shughuli Maalum na Simba Dume.
Na kinachoniumiza zaidi MINOCYCLINE ni Kitendo cha Jana Basi la Simba SC kurudi Kinyumenyume vile huku tukiwa...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya leo ni kuzungumzia kidogo hali ya umeme nchini ambayo kwa sasa inapitia changamoto mbalimbali mojawapo ni kupungua kwa kina cha maji katika mabwawa ya uzalishaji wa umeme, hili...
1: Mwanaume unashindwa kuvumilia sex mpaka ndoa... Na badala yake umetongoza Leo baada ya wiki unataka starehe ya mwili. Wewe si useme tu kuwa hitaji lako ni sex tu basi na acha kuzunguka zunguka kuwa nataka kuoa?
2: Mwanaume unatongoza, umekubaliwa tayari. Unaanza kuuliza vipi Sasa tutalala...
Habari za wakati huu wapendwa
Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki.
Ukienda kwenye mikusanyiko ya waislamu wanaopondwa ni wakatoliki ukienda kwenye mikutano ya injili ya walokole wanaopondwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.