watu weusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gunner Shooter

    Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

    Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha...
  2. D

    Hawa watu weusi huku Uarabuni wametoka wapi?

    Kumchelile? Kwali mwenga! Kila nikipita humu JF lazima nikutane na Uzi unazungumzia ukatili wa mwarabu. Miaka yangu yote ya kuperuzi humu jf imekuwa hivyo. Na zaidi ni kwa namna gani waarabu wanawachukia, wanawatenga na wanawatesa watu weusi. Nikajikuta nikiwa muumini wa Imani hiyo miaka yote...
  3. DR HAYA LAND

    Jamii za watu weusi zina idadi kubwa ya Watu wenye Crab Mentality (Kaa kwenye ndoo)

    Jamii nyingi za WATU weusi zina Crab mentality au huitwa kaa kwenye ndoo. Kaa wakiwa kwenye Ndoo yule mmoja anayejaribu kutoka huwa anavutwa na kurudishwa ndani ili asitoke , maana yake kinachotekea hakuna kaa atakayefanikiwa kutoka katika ndoo. Hii ndo mentality ya jamii nyingi za WATU weusi...
  4. Ricky Blair

    Watu weusi Ughaibuni na Kelele

    Nipo Ulaya; na kila ninachokiona na kunisikitisha ni jinsi watu weusi sisi tuna makelele sehemu zote na nyingi haswa tukiwa kw public transport au kw vyumba vya kushare; yaani lijitu linaongea masaa kw simu kwa nguvu zote kama roho inakata😡😡😡😡😡 na hajali Kama kuna watu wengine na ambao pia...
  5. instagram

    Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

    Wakati viongozi wetu wako busy kununua madege ya kula bata na kizurula duniani badala ya kutengeneza mikakati ya kutengeneza ndege zetu za vita na mabomu ya nyuklia ya kujilinda dhidi ya vita ya tatu ya dunia waafrika tumejisahau sana ila tungejua tu kuwa bila mzungu kutukingia kifua hakuna race...
  6. Mshana Jr

    Ngozi nyeusi ni laana?

    Prof. Minzi na wengine! Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo? Nimewekeza hela nyingi sana kununua mashamba Mkoa wa Rukwa wilaya...
  7. byakunu

    Watu weusi na kazi za ulinzi

    Sisi watu weusi sijui nani alituroga, mimi katika pita pita zangu hapa Tanzania sijawahi kukuta mlinzi wa kihindi au au wa kiarabu, mlizi wa kizungu au wa kichina, ila sisi ngozi nyeusi ndo tunapenda penda kazi za ulinzi, kushinda magetini na manguo ya dark blue, ukiona ndugu yako ana taka kazi...
  8. Yoda

    Kwanini watu weusi ni vigumu sana kuwa Top 10 ya matajiri na kujenga utajiri wa vizazi (generational wealth)?

    Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila...
  9. God Fearing Person

    Nipo Majuu huku, aisee watu weusi wa huku wana tabia za ajabu

    Wakuu hii rangi imelaaniwa . Nilikuwa najua black (Nigga) waliozaliwa marekani wapo tofauti na waswahili kumbe hamna. Yaani kuna sehemu nafanya mchongo jamaa wakipewa hela hawarudi kazini kesho yake. Then wanazaa balaa Wakipewa nafasi za juu wanaharibu daah hii rangi inashida Sana
  10. S

    Je, ni kweli watu weupe (Wazungu, waarabu nk) miili yao ni ya baridi tofauti na weusi?

    Nimekua nasikia siku nyingi kua watu weupe mfano wazungu,waarabu n.k miili yao ina baridi kama barafu wakati wa tendo la ndoa tofauti na watu weusi,kuna ukweli juu ya nadharia hii?
  11. Wauzaji wa containers

    Kwanini watu weusi ni masikini sana?

    Karibu katika huu mjadala why black people are poor. Mimi nita highlight mambo matatu Nidhamu ya pesa Nidhamu ya Kazi Kutokuwa na utamaduni wa kujiwekea AKIBA.
  12. GoldDhahabu

    Watu weusi hawajalaaniwa

    Kwa kutokufahamu Maandiko kwa usahihi, baadhi ya watu wanaamini kuwa Mungu aliwalaani watu weusi. Wanawahusisha watu weusi na utomvu wa nidhamu wa Hamu kwa baba yake. Baada ya Hamu kumchungulia baba yake, Noah alimlaani mtoto wa Hamu. Hakumlaani Hamu, alimlaani mjukuu wake, Kanaani, ambaye ni...
  13. J

    Tunajua Mungu alimuumba Adam; je ulipata kujua ilitokeaje Dunia ikawa na watu wengi? Ni hatima ya watu weusi?

    Tupate majibu yako na huku ukitipatia chanzo chako. Mm chanzo habari yangu ni sunnah.com ambapo utasoma ktk Hadith ya 119 ya Mishkat Al-Masabih
  14. ndege JOHN

    King Leopard hatajwi kama muovu kisa aliua watu weusi

    Hitler aliua wazungu milioni 2 na anatwaja kama mtu mouvu zaidi kuwahi kutokea ila king Leopard wa Belgium aliua black people Congo hapo zaidi ya watu milioni 20 lakini hatajwi sana kwenye list ya watu waovu zaidi. Kuna shida kwenye historia.
  15. BARD AI

    Watu weusi (Black African) wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata Magonjwa ya Moyo kuliko Wazungu

    Leo katika pitapita zangu Mtandaoni nimekutana na taarifa ya kushtua kidogo kwamba Watu wenye asili ya Afrika (Waafrika Weusi) wanakuwa hatarini zaidi kupata Magonjwa ya Moyo ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu kuliko Watu weupe (Wazungu). Hili jambo lina ukweli kiasi gani?
  16. P

    Maisha tunayoishi Watanzania na Waafrika ni aibu tupu

    Maisha ambayo raia wa Africa na Tanzania kwa ujumla tunaishi ni aibu, huzuni na mateso matupu. Maji shida, umeme shida, ajira hakuna, huduma za afya mbovu Yani Kila kitu tatizo. Waafrika na Tanzania kwa ujumla tunaishi katika umaskini wa kunuka ndani ya utajiri wa kutupwa. Hakika hii ni laaana...
  17. Mto Songwe

    Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

    Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini? Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka...
  18. Mto Songwe

    Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

    Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu. Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali. Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu...
  19. Mto Songwe

    Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

    Ili kuvunja poverty circle tuliyo nayo ni muda sasa kuanzisha na kuzingatia miradi au biashara za kifamilia. Tujifunze kwa hawa ndugu zetu watu weupe. Tusione ufahari mradi, kilimo au biashara kufahamiwa na mtu mmoja tu kwenye familia akifa yeye na yenyewe inakufa naye unabaki mgogoro wa mali...
Back
Top Bottom