wanyama

Victor Mugubi Wanyama (Kenyan English: [wɑˈɲɑːmɑ] (listen); born 25 June 1991) is a Kenyan professional footballer who plays as a defensive midfielder for Major League Soccer club CF Montréal and captains the Kenyan national team.Wanyama became the first ever Kenyan player to score in the UEFA Champions League when he scored the first goal in Celtic's 2–1 win over Barcelona on 7 November 2012. On 11 July 2013, Wanyama moved to Premier League club Southampton for £12.5 million making him the most expensive player sold by a Scottish club, surpassing the £9.5 million Russian club Spartak Moscow paid for Aiden McGeady in 2010.He has earned 60 caps for the Kenyan national team since making his international debut in May 2007 at the age of 15.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    Ulimwengu wa wanyama (Mongoose)

    Suricata (mongoose wa vidole 4) (jina la kisayansi Suricata suricatta) ni mamalia wadogo na wanachama wa familia ya mongoose. Wanaishi kila mahali katika Jangwa la Kalahari, Botswana na Afrika Kusini. Kundi la suricate linaitwa "gloat", "ceat" au "colonie". Kundi la suricates kawaida huwa na...
  2. Father of All

    Ingekuwa inawezekana dunia kuumbwa upya, kati ya wanyama na binadamu, nani ungependa atawale dunia baada ya binadamu kuiharibu?

    Japo tunawadharau, wanyama ni viumbe bora kitabia kuliko wanadamu. Hawafanyi uchafu hasa chuki na uroho, roho mbaya, tabia mbaya, fitina, majivuno, kunyonyana, kunyongana, wala kuawana kama binadamu. Nadhani ndiyo maana hawatishwi na hekaya za peponi na motoni. Wanaaminika kuliko binadamu...
  3. ndege JOHN

    Kama unataka ufanikiwe maishani wape wanyama chakula

    Mtu mzuri anafuga kuku,mbwa na paka na daima akiangalia kikosi cha mifugo yake anaionea huruma anaipa chakula. Mtu mbaya utamjuaje? anakula samaki ila ana uchu hatari yaani hata nyau apite pembeni hampi hata mfupa.Na hata kama akifuga hawezi kuwahudimia mifugo hawezi KUWAPA chakula asubuhi...
  4. Magical power

    Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii.

    Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata...
  5. Damaso

    Kwanini wanyama huwa wanakula watoto wao wadhaifu mara baada ya kuzaa?

    Habari wanajukwaa! Ningependa kujua kwa nini baadhi ya wanyama, hasa mamalia na wengine, hula watoto wao dhaifu au waliokufa mara tu baada ya kuzaliwa. Mara nyingi huwa ni tabia ambayo ipo kwa paka, mbwa, fisi pamoja na wanyama wengine, kwani ni vigumu sana kuona amezaa na kukuta vitoto vyake...
  6. Faana

    Je unawaona wanyama wangapi hapa? Wataje

    Unaona wanyama wangapi hapa? Wataje
  7. Roving Journalist

    Rais Samia: Viwango vya Fidia kwa wanaoathiriwa na uvamizi wa Wanyama viangaliwe

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Utalii aone uwezekano wa kupitia Kanuni za Fidia kwa wanaothiriwa na Wanyama kuvamia mashamba, wakati huohuo amesisitiza Serikali inaendelea kutafuta mbinu mbalimbali za kuwazuia Wanyama kufanya uharibifu huo. Ameyasema hayo leo Februari 24, 2025...
  8. Stephano Mgendanyi

    Bunge Lampa Tano Rais Samia kwa Kujenga Vituo Maalum vya Kudhibiti Wanyama Wakali Nchini

    Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusikiliza kilio cha wananchi kuhusu wanyama wakali na waharibifu na kuwajengea vituo na kutoa vifaa vya kukabiliana na changamoto hiyo katika maeneo mbalimbali nchini...
  9. S

    Ni kitu gani kinachotufanya wanadamu tuamini kwamba sisi ni bora kuliko wanyama wengine?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba tujadili hili.
  10. M

    Wangoni na majina ya wanyama

    Habari manguli wa historia, Tunaambiwa wangoni ni moja ya makabila ya mwisho kufika Tanganyika. Walitokea Afrika kusini miaka chini ya 200 iliyopita kwa kukimbia vita na makaburu na makabila wenzao. Ni lini na kwa nini waliamua kutumia majina ya wanyama kama Komba, Ngonyani etc Kwa nini...
  11. Pang Fung Mi

    Style ya Kifo Cha Mende ndio Tunu turufu na tofauti kuu ya Binadamu na wanyama wengine kwenye tendo la ndoa

    Inatupasa kutambua tunu kuu ya wanadamu dhidi ya wanyama wengine ambao wameumbwa na mola wetu. Kipekee mola wetu alikuwa vizuri kutuwekw level ya juu kwenye utashi wa kunyandua kwa kutupatia vibe la kifo cha Mende. Niwatakie heri kwenye michakato ya kunyanduana weekend hii yenye upako mzuri...
  12. Eli Cohen

    Kwanini enzi na enzi wanyama hawa wamekuwa wakihusishwa na allegedly kushirikishwa katika uchawi/ushirikina.

    FISI MAMBA (Maeneo ya Ukerewe) BUNDI NYOKA PAKA NYUKI PANYA Ni siri gani hio ya kiroho inayounganisha viumbe hawa katika utekelezaji wa uchawi au ni stori tu za vijiwe vya gahawa?
  13. sanalii

    Kuna ukatili unafanyika kwenye wanyama wanaofugwa kama Mbuzi, Ng'ombe

    Hivi kwa jua hili, mbuzi au ng'ombe anafungwa juani kuanzia asubuhi hadi jioni. Hii sio sawa kabisa, kama mtu hawezi mkatia majani basi aende akachunge. Unakuta mnyama anahema mpaka unamuonea huruma. Na pengine hata maji hawapewi hadi hio jioni. Hili suala ni la kuliangalia, hawaviumbe nao...
  14. ngara23

    Fanya hivi ukikutana na wanyama hawa porini

    Ikitokea umebananishwa na umekutana na mojawapo wa wanyama hawa wakali Fanya haya kujiokoa 1 Simba Huyu ni mnyama mkali sana Ukikutana na Simba porini panda mti, au jiamini mtizame na uanze kumfukuza Simba anaogopa ujasiri wa kiumbe yeyote atakimbia 2. Chui Chui huishi mafichoni, chui hukaa...
  15. kante mp2025

    Nimegundua wanyama wanaongea na wanacheka wakifurahia jambo!!

    Amini usiamini hata ng'ombe, paka, kuku na wanyama mbalimbali wafugwao wanao uwezo wa kununa, kucheka na kuongea najua utabisha Toka 2005 nilijikita kufanya utafiti wa maisha ya wanyama hasa hawa tunaowafuga majumbani mwetu na kilichonishangaza ni kugundua nao wana lugha yao ya kibonyoli"...
  16. D

    Ifahamu "TAPETUM LUCIDUM" kinachofanya macho yang'ae usiku kwa baadhi ya wanyama na ndege kama bundi

    Jana usiku nilikua na drive nje ya mji...nikaona dot 2 zinawaka kwa mbele, hatimaye nikagundua ni fisi amechill pembeni ya barabara... TAPETUM LUCIDUM ni layer yenye asili ya mng'ao iliyopo nyuma ya retina katika jicho la kiumbe hai. Sio viumbe wote wanayo, hii wamepewa viumbe baadhi ambao wapo...
  17. Nyafwili

    SI KWELI Endapo Punda Atang'ata Mmea ( Mfano Mahindi) , Hauwezi Kuota Tena

    Hapa kijijini mjadala umekuwa ukiendelea kuhusu wanyama jamii ya Punda namna ya ulaji wa mimea, mfano "mhindi" ambao umeng'atwa na punda huwa hauoti tena, tofauti na unapong'atwa na wanyama wengine kama ng'ombe, kondoo au mbuzi, na wanakijiji wamefika mbali zaidi na kusema labda wanyama aina ya...
  18. Nikola24

    Baadhi ya wanyama kukasirika na kupigana wanapojiona wenyewe kwenye kioo. Je, ni kutojitambua au matatizo ya akili?

    Habari zenu wana jamifourm! Leo nimeona niwaulize kuhusu hili. Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo. Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
Back
Top Bottom