wanamgambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Viongozi wa kanisa Katoliki na kanisa la kristo nchini DRC wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23

    VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23 lengo likiwa ni kujadili udumishaji amani nchini humo. Viongozi hao...
  2. Dalton elijah

    Machifu watano wametekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo huko Mandera

    Machifu watano wanadaiwa kutekwa nyara siku ya Jumatatu na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab katika Kaunti ya Mandera nchini Kenya. Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Mashariki John Otieno alisema watano hao walikuwa wakielekea Elwak walipotekwa nyara kati ya Bamba Owla na Ires Suki. Kwa...
  3. D

    Hivi nani gaidi kati Israel na M23 au Wanamgambo wa kule Gaza?

    Kwa maoni yangu Islael ndo magaidi mana walivamia nchi ya watu na wanaendeleza ugaidi. Ee Mungu wahurumie na waokoe wapalestina. Mimi mkatoliki mwaminifu.
  4. S

    Serikali ya Israeli na Hamas wamekubaliana juu ya makubaliano ambayo yatasimamisha mapigano huko Gaza

    Serikali ya Israeli na Hamas wamekubaliana juu ya makubaliano ambayo yatasimamisha mapigano huko Gaza na kusababisha kuachiliwa kwa hatua kwa hatua kwa mateka na wafungwa wa Kipalestina, vyanzo vinaeleza CNN. Chini ya makubaliano hayo, ambayo bado hayajatangazwa rasmi, Hamas na makundi ya...
  5. G

    Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

    Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani. Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
  6. green rajab

    Wanamgambo 100 wa Ukraine na Wakufunzi 40 wa NATO wauwawa

    Russia imeshambulia kwa Kombora la Iskender ghala lilokuwa linatumika kama maficho ya Wanamgambo Ukraine na Magaidi 40 wa NATO waliokua wakitoa mafunzo huko Kharkov.. ๐Ÿšจ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆA successful Russian Iskander-M strike on a warehouse in Kharkov just killed 100 Ukrainian militants of which 40 were...
  7. green rajab

    Wanamgambo wa Israel waunguzwa ndani Merkava Battle Tank

    Wanamgambo wa Israel wakiwa kwenye uwanja wa mapambano na Kifaru chao aina Merkava wameviziwa na makomando Hamas kisha kuwekewa mabomu bila wao kushtuka baada sekunde 3 kikalipuka na kubaki majivu
  8. green rajab

    North Korea kupeleka Wanajeshi 100,000 kuwafyeka wanamgambo wa NATO

    North Korea inapeleka wanajeshi 100000 Nchini Russia kusaidia kuwaminya kende wanamgambo wa NATO โš ๏ธ ๐๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ โš ๏ธ ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ต | ๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ž๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ ๐˜๐—ผ ๐˜€๐—ฒ๐—ป๐—ฑ ๐˜๐—ฟ๐—ผ๐—ผ๐—ฝ๐˜€ ๐˜๐—ผ ๐—ณ๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—จ๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒโ€ฆ ๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ต ๐—ž๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ has reportedly offered to send ๐—ฅ๐˜‚๐˜€๐˜€๐—ถ๐—ฎ up to ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฌ,๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ troops to ๐—ณ๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—จ๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒ. Early reports indicate ๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ต ๐—ž๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ...
  9. Webabu

    Wanamgambo wa Hamas wameshakuwa jeshi kubwa.Israel haiwezi kushinda kamwe.

    Vita vilipoanza baada ya shambulio la oktoba 7 na kwa kujua ukubwa wa jeshi la Israel haikutarajiwa kufikisha hata wiki moja kabla Israel kukamilisha malengo yake ambayo na kuwafuta Hamas na kuwapata mateka wote waliokuwa wameshikiliwa na Hamas. Watu wa Gaza zaidi ya 35,000 mpaka sasa...
  10. I

    Marekani yateka silaha za Iran wakipelekewa wanamgambo wa Houthi

    Jeshi la Wanamaji la Marekani limeripoti kwamba limekamata silaha zilizotumwa na Iran kuwapa waasi wa Houthi wa Yemen wiki iliyopita. Jeshi la Marekani (CENTCOM) lilitangaza katika taarifa siku ya Jumanne kwamba Seals wa Jeshi la Wanamaji la Marekani walipata silaha hizo wakati wa shambulio la...
  11. I

    Marekani yawashambulia tena wanamgambo wa Houthi

    Jeshi la Marekani linaendelea na mashambulizi ya ziada dhidi ya waasi wa Houthi nchini Yemen, siku moja baada ya kuanzisha wimbi la mashambulizi katika maeneo karibu 30 nchini humo ili kudhalilisha uwezo wa kundi la waasi linaloungwa mkono na Iran kushambulia meli za Bahari Nyekundu, maafisa...
  12. I

    UAE yashutumu mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham.

    Serikali ya Falme Za Kiarabu (UAE) imelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na magaidi wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham. Pia wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wamekiri kuuwawa kwa viongozi wake wapatao watano ktk shambulizi lililofanywa siku kadhaa zilizopita na...
  13. sky soldier

    Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

    Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat...
  14. JanguKamaJangu

    Utawala wa Burkina Faso wadaiwa kulazimisha wakosoaji kujiunga kwenye vita dhidi ya Wanamgambo

    Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso inatumia vibaya sheria ya dharura kuandikisha wanaodhaniwa kuwa wapinzani na wakosoaji wake kuijiunga kwenye vita hatari dhidi ya wanamgambo. Watu hao wanasemekana kulazimishwa kupambana na watu wanaohusishwa na makundi ya kigaidi ya Al Qaida na Islamic State...
  15. GENTAMYCINE

    Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

    Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
  16. incinc

    Russia vs Ukraine & wanamgambo pandikizi

    Naiyona hii vita kuwa kubwa taratibu...baada ya jumatatu kutokea uvamizi mpakani mwa Russia na Ukraine katika jimbo la Belgorod sasa kuna vita mbili Russia anaanza kupambana nazo...vita ivyo ni Russia vs jeshi la Ukraine wakisaidiwa na washirika wa NATO na yapili ni Russia vs wanamgambo wanao...
  17. Mributz

    Wanamgambo (RSF) wachukua Ikulu nchini Sudan

    Kikosi Maalum cha Wanamgambo nchini Sudan cha RSF, kimesema kimechukua udhibiti kamili wa Ikulu ya rais, makazi ya mkuu wa jeshi Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Khartoum. Katika taarifa yake iliyotolewa hii leo Aprili 15, 2023 RSF imesema imechukua pia...
  18. JanguKamaJangu

    Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa ADF waua watu 17 Mashariki mwa DRC

    Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa ADF, jana Machi 12, 2023 waliwauwa takriban watu 17 Mashariki mwa DRC, maafisa wa eneo hilo wamesema, siku chache tu baada ya kundi hilo lenye mafungamano na kundi la kigaidi kufanya mauaji mengine katika eneo hilo lenye machafuko. Kundi hilo la Allied Democratic...
  19. JanguKamaJangu

    Nigeria: Zaidi ya watu 100 wauawa baada ya vikundi vya wanamgambo kuvamia Wanakijiji

    Mauaji yametokea Kaskazini mwa Nigeria ikielezwa watu wenye silaha ambao ni Wanamgambo pamoja na vikundi vya kigaidi kuvamia vijiji na kuanza kushambulia kwa risasi na kuchoma moto nyumba. Abubakar Ahmed, kiongozi wa Serikali ya Mtaa ya Bukkuyum amesema idadi ya Watu waliofariki ni zaidi ya 100...
  20. Webabu

    Korea Kaskazini kuipa Urusi wanamgambo 100,000

    Taifa la Korea Kaskazini limesema liko tayari kutuma wanajeshi laki moja kuisadia Urusi katika vita vyake na Ukraine. Kauli hiyo ilitolewa katika kipindi kimoja cha tv kinachoruswa na televisheni ya taifa ya Urusi. --- North Korea offers Russia โ€˜100,000 volunteersโ€™ to fight Ukraine, says...
Back
Top Bottom