wanachama wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BestOfMyKind

    Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

    Mimi nina kadi ya muda mrefu. Marekani nchi iliyoendelea kuliko zote duniani, nchi ambayo mwanaume anaweza kubadili jinsia, akakimbia mke na watoto na jamii ikamkubali. Nchi hii kwa mara ya pili mfululizo imekataa kuwa na rais mwanamke. Wameona bora shetani kuliko mwanamke mara zote mbili...
  2. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Dkt. Samia Suluhu awakumbusha CCM kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura

    Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Ametuma salamu kwa Wanachama wote wa CCM nchi nzima na kuwakumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura ili waweze kupiga kura muda ukifika.
  3. Pulchra Animo

    Kikatiba na Kikanuni, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM 2025 Wamesigina Haki za Wanachama wa CCM Kwa Kufanya Uteuzi wa Wagombea Urais Bila Notice!

    Haki ya kuchagua (au kuomba kuchaguliwa kuwa) kiongozi ni haki ya msingi ya kila mwanachama wa CCM. Haki hii ni ya kikatiba na kikanuni. Kwa kawaida, watendaji wa chama hutangaza kufunguliwa rasimi kwa dirisha la kuchukua, kujaza na kurudisha fomu za kuomba kugombea nafasi za uongozi (kama vile...
  4. R

    Pre GE2025 Uchaguzi mkuu 2025 tutegemee wagombea wenye sifa kutoka CCM wakienguliwa na wasio na sifa wakipitishwa na kusimamiwa waende bunge bila kupigiwa kura;

    Chama cha siasa katika siasa za vyama vingi ujipima kukubalika kwake kwa kuruhusu wananchi kupiga kura Kwa hali ilivyo sana nchni ni wazi hakuna tena utaratibu wa kupata viongozi kupitia uchaguzi bali viongozi wa kisiasa wanateuliwa na tume ya uchaguzi au wasimamizi wa uchaguzi Ni vigumu...
  5. JanguKamaJangu

    LGE2024 Wanachama wa CCM Dar waandamana Ofisi ya Mkoa wakidai kuna Rushwa na wizi wa Kura katika Kura za Maoni

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam wamendamana wakiwa na mabango katika ofisi za makao makuu ya chama kwa kile wanachodai kuwepo kwa wizi wa kura na rushwa katika uchaguzi wa kura za maoni. Wanachama hao kutoka Chanika, Buguruni, Tandika, na...
  6. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Tandale; Wanachama wa CCM wanadai waliomchagua kwa kura nyingi ajashinda lakini mwenye kura 17 ameshinda

    Jamani Moto unazidi kuwaka kutoka kwenye mitaa katika kura za maoni ndani ya CCM. Balaa nyingine wanachama wanadai walimpigia kura za ndiyo ety amekosa nafasi lakini mwenye kura zake 17 ameshinda. Mbona hapa bado tutayaona mengi jamani. Wakazi wa Tandale jijini Dar es Salaam 'wamechachuka'...
  7. Kabende Msakila

    Pre GE2025 Usajili WanaCCM kielekitroniki mfumo huu ni mzuri sana

    Mfumo huu ni mzuri sana sababu chama kinafahamu idadi ya wanaCCM kitaifa - Mkoa - wilaya na Kata waliko wanachama. Hata hivyo, ningekuwa na madaraka ktk CCM mfumo wa usajili unapaswa kuwa active muda wote - haupaswi kufungwa - usajili unatakiwa kuendelea mpaka mwakani May kabla ya kura za...
  8. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Asas atoa Smartphone 18 kusaidia na kuongeza nguvu katika zoezi la Usajili wa Wanachama wa CCM Iringa mjini

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) anayewakilisha Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas, katika ziara yake ya Kuimarisha Chama, ametoa Simu Janja (Smartphone) kumi na nane (18) kusaidia na kuongeza nguvu katika zoezi la Usajili wa Wanachama wa CCM Iringa mjini kwa njia ya Kielekroniki. Soma...
  9. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Arusha atoa simu wilaya zote kwaajili kusajili Wanachama wapya wa CCM

    Mwenyekiti wa UVCCM Arusha Simon Maximilian ametoa simu wilaya zote za Mkoa huo kwaajili kusajili wanachama wapya wa CCM. Amesema hizo zote ni jitihada za kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone)...
  10. B

    Kwanini Wanachama wa CCM ni wengi lakini hawavutiwi kuangalia Youtube Channel ya Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu?

    Ndugu Zangu Namba hazidanganyi, wanachama wameikacha hii channel yao. Kunahitajika utafitu wa kina kujua kwanjni tunaanbiwa idadi ya wanachama wa ccm na hata wasio wanachama lakini wafuasi ni wengi ispokuwa Channel inayotangaza matukio na elimu bado hawaifati. Baadhi ya Watu wanasema...
  11. Riskytaker

    Utitiri wa nafasi za kuteuliwa umefanya watu wengi kuwa wana CCM

    Kuna Watanzania ndani ya CCM wanaamini kwamba ipo siku watakula teuzi, au kwamba watoto na ndugu zao watapata nafasi hizo na hivyo kufaidika kwa kodi za wananchi. Hali hii inaonyesha ujinga mwingi katika chama, ambapo vijana wengi wa UVCCM wamerundikana na hawana hamu ya mabadiliko. Watu...
Back
Top Bottom