Nape Moses Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (MNEC) alipokuwa akifungua mkutano wa uzinduzi wa kampeni hizo Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa aneeleza kuwa ni muhimu wagombea kufanya kampeni kwa amani.
Wakati kampeni za serikali za mitaa zikiendelea nchini, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mwanza imetoa tahadhari kwa wananchi na wagombea wa nafasi mbalimbali kutojihusisha na rushwa.
Soma: TAKUKURU Iringa kuanzisha uchunguzi kuhusu wagombea wa serikali za mitaa...
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amezungumza kwa msisitizo kuhusu mapambano ya chama hicho kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika kwa haki, huku akiwataka wananchi wa kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kuchagua viongozi wanaowajibika...
Wanabodi,
Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa?
Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na mafanikio ya uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa, ambapo maeneo mengi yalishinda bila kupingwa...
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Akieleza kuwa Chama chake hakina Ilani na wagombea wao watatakiwa kubuni buni Ilani tu.
CPA Makala ameyasema hayo leo Novemba...
Wakuu
Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ally Hapi.
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa...
Wakuu,
Kampeni zimeanza rasmi leo Novemba 20, 2024, mambo yatakuwa moto huko mtaani kila chama kujinadi ili wajihakikishie ushindi mnono.
Je, yapi matarajio yako kwa wagombea katika uchaguzi huu? Unadhani CCM watatoboa tena ushindi wa 99.9% kama ilivyokuwa 2019? Baada ya enguliwa nyingi kwa...
Halmashauri ya mji wa Njombe imekiri kuweka sawa mazingira ya uchaguzi wa serikali za mitaa hadi kwa makundi maalumu ili yaweze kushiriki kikamilifu katika mchakato mzima wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hapo Novemba 27 mwaka huu.
Mbele ya Vyombo vya Habari Msimamizi wa Uchaguzi wa...
Wazee na Viongozi wa Dini Wilayani Ikungi Mkoani Singida wamekutana Kujadili na Kuombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa Kufanyika Mapema wiki Ijayo ili Ufanyike wa Amani na Utulivu.
Akziungumza katika Kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ikungi Mkoani Singida...
Wakuu,
Saa 5 asubuhi hii Mbowe kutema cheche Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni, nini kitaendelea? Vuta sofa kwa updates.
https://www.youtube.com/live/9kQEVPB0RAk?si=U4fqpWwWOg47j7jV
===
Kwahiyo CHADEMA hapa ndio anaenda kuongea Mwenyekiti wa Chama? :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh...
Katibu wa Itikati Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe Josaya Luoga, amesema katika maeneo yote ambayo vyama rafiki havijaweka mgombea zitapigwa kura za ndio au hapana.
Katika kura hizo mgombea anapaswa kufikisha asilimia hamsini au zaidi ya kura za ndio ili aweze...
Wakuu,
Mbona maelekezo yameanza kuwa mengi na hata kampeni hazijaanza?
Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Juma Mnwele amevihimiza vyama vya siasa vinavyoshiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kuhakikisha kampeni zao zinafanyika kwa kistaarabu na kwa kufuata...
Wakuu,
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limelaani vikali hatua ya kuenguliwa kwa wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu.
Kaimu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Sharifa Suleiman, alitoa kauli...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote za vijiji, vitongoji na mitaa huku upinzani ukiweka wagombea 30,977 sawa na asilimia 38 ya nafasi zote 80,430...
Wana Jf habari za kwenu.
Tulihimizwa sana tujiandikishe na elimu ikatolewa kwa wingi sana. Tulielewa tulioelewa tukajiandikisha
Sasa tunahimizwa tukashiriki uchaguzi tukawachague viongozi tunaowataka
Swali: Tunaenda kumchagua nani kama wagombea wanaenguliwa?
Binafsi nimepoteza matumaini...
Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote.
Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea.
Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani.
Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.