Kwamba mdahalo wameukimbia?
Kwani Nchimbi walisema je?
Kwa hiyo mwamba ameulaza u nini?
Kama alikuwa na hoja au kujitetea au kutoa ufafanuzi ilikuwapo fursa bora kwake kuliko jana?
Viva CDM kuanza safari mpya free from "chawa wala viroboto!"
Kwenye Siasa ya dunia ya Leo mbinu zakivita za kukufikisha ikulu ni muhimu. Tumeshuhudia ulimwenguni kumekua na ushindi Kwa vyama vya Conservative vikiingia madarakani wakatiiqmbapo vyama tawqla havikuwahi kutarajia.
Kama CHADEMA Unataka kuingia madarakani inapaswa zingatia haya matatu.
1...
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
Pontyo wa Pilato akawauliza wayahudi " Wanamtaka nani Kati ya Yesu na Baraba? Nani afunguliwe nani abaki?"
Kwa mshangao wa Pilato wayahudi Waka shout wakisema " Tunamtaka Baraba"
Hadi Pilato aliguna. Ndio maana akajioa hatia juu ya damu ya Yesu .
Na Yesu alipozikwa, Pilato aliagiza kaburi...
Je kwa nyakati hizi za sasa za Polisi, Usalama wa taifa wa kujihusisha moja kwa moja na chaguzi na kunyima demokrasia. Kuna mbinu gani tofauti Mbowe akiwa mwenyeti kwa miaka mitano atazitumia ambazo ni tofauti na mbinu alizozitumia kwa miaka 20?
Hii itasaidia kujua kusudi lake hasa la kugombea...
Ukweli mchungu:
Labda tusaidiane kufahamu, hivi kweli ni nani hataki haya?
Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
Baada ya Lissu kutangaza nia na kuchukua fomu wafuasi wake na wanaharakati walianza kupiga mayowe na kuanza kumsifia Lissu kuwa ndie mwamba.
Mbowe hasitahili kugombea tena hata haijulikani nani aliwapa taarifa Lissu na akaanza mashambulizi ya kejeli huku akisema ndio demokrasia uongozi bora uwe...
Baada ya mwenyekiti wao na wafuasi wake kusema amekipambania chama nikatafakari na kujua wafuasi wa iko chama ni manyumbu
Iv kupambania maana yake katumia garama au pesa , kwa mfanya biashara mzoefu haoni hasara ku take risk ktk biashara
Uwekezaji wake katika chama wao wanaona kapambana...
Ndugu zangu Watanzania,
Kweli Dunia ina maajabu yake,kweli kuna watu wana matatizo sana vichwani Mwao,kweli kuna watu hawajitambui,kweli kuna watu wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kupambanua mambo.
inasikitisha ,kushangaza na kufikirisha sana kwa mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua...
Niende kwenye mada moja kwa moja Tangu miezi sita nyuma au mwaka mmoja nyuma tulio karibu na uongozi wa chadema tuligundua ipo siri kwa vice-chairman ana matamanio na kugombea uwenyekiti na kuhisi yeye ana uwezo wa kuongoza chama cha Chadema kuliko kiongozi wa sasa anaye maliza muda wake,
Kiasi...
Kwa kweli ukiangalia Jamii Furums, WhattsApp, Instagram, n.k. kati ya post 10 za siasa, 9 ni kuhusu CHADEMA. Ni kama vile CCM imeondoka kabisa kwenye ulingo wa siasa wa Tanzania, na hili jambo linasemwa kuwa linonesha hali halisi ya nguvu za vyama hivi vya siasa hasa CHADEMA ambayo habari zake...
UMOFIA wana Jukwaa!
Kumekuwa na malumbano ambayo yamegeuka" symbolize high level of ignorance" kuwa Ujuha.
I expected as a strong political party to bring cream people to its members without this nonsense & stupidity. CHADEMA hakijafikia level za Chama cha Mapinduzi huku tunazinguana kwa...
Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao
CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
Kuna watu wamekuwa wakijifanya wapenzi wa Gamondi utafikiri walikuwa wanamjua huyo Gamondi kabla ya Hersi kumleta Yanga. Yaani anajifanya kususa timu kisa tu uongozi kuachana na Gamondi na kuwatoa akili viongozi. Hawa watu wamfuate Gamondi huko anakoenda na wawe mashabiki wa hizo timu badala ya...
Wakuu,
Kikiwa ni chama kingine fasta wanakamatwa, ila wa kwao utasikia wanasema ni vijana tu unajua huwa wanakosea, tunakemea walichofanya! Tuone na wale waliodakwa kwenye picha wakijaribu kumteka 'bonge' itachukua siku ngapi kupata majina yao na kuwakamata!
===
Mkuu wa Mkoa wa Singida...
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo.
Akizungumza na waandishi wa...
Katiba ya nchi inampa haki ya kuchagua na kuchaguliwa aliyetimiza umri wakupiga kura, hakina sharti la ajira. Maadamu wameweka sharti la ajira lisilokuwemo kwenye katiba mnabidi mwaelimishe wafuasi wenu kutoshiriki kwa wao wapigakura kwa kigezo cha wao kutokuwa na ajira.
Utafiti na uzoefu wangu umenionyesha kuwa watawala wetu wawe wa kisiasa au kiroho huwa wanajitambua kwa asili zao kwanza na dini baadae.
Mfano, Mwarabu ni mwarabu kwanza uislam unafuatilia. Mzungu ni mzungu kwanza dini inafuatia hata wakati mwingine haipo kabisa.
Kwa waswahili waliotawaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.