Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka
kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.
Why double standard kwa Freeman Mbowe
Ni ukweli ulio wazi kwa sasa wabunge wa CCM wanapitia hali ngumu ya Kisiasa Bungeni kutokana na Vikao vya Waziri Mkuu kuwapa Maelekezo wakisimama bungeni wafanye kazi ya Kusifia Serikali Jambo ambalo sio sahihi Kikatiba kwa kuwa bunge ni muhimili unaojitegemea.
Pamoja na Mikwala, vitisho...
Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea...
Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake.
Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko...
Soma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa wabunge waliopo bungeni kwa maslahi yao binafsi. Tunakushukuru sana Kigwangala kwa kuliweka wazi hili...
Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze
Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa
Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025
Ahsanteni Sana 😄😄
Mbunge wa Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya, Ali Jumbe na Diwani wa Kata ya Mbambabay,Ajali Hassan wakimsaidia kusimama Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Stella Manyanya aliyeanguka kwa furaha kufuatia Serikali kutoa Bilioni 81 kwa ajili ya Ujenzi wa Bandari mpya katika Mji wa Mbambabay.
Jogoo limewika Dodoma, wabunge vijana wa CCM wenye umri chini ya miaka 45 wameanzisha umoja wao. Umoja huo umezinduliwa leo ktk Mkutano wa 13 kikao Cha 10. Manaelewa kwanini ni wenye chini ya miaka 45 pekee?
Wale wagombea Urais ndani ya CCM 2015 na kuuringia ujana, Sasa wadogo zenu wamekiwasha...
Haya sasa. Mwisho wa siku mkataba utabakia kuwa wa Samia tu.
====
Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Mhe. Robert Chacha Maboto, amesema hakuuelewa Mkataba wa PD WORLD alipokuwa bungeni.
Habarini nyote,
Kuna kila ishara ya wingu la utisho mkubwa dhidi ya wabunge wa CCM wenye akili ambao kwa hakika wanajua fika huo mkataba wa Bandari ni utopolo na umangungo mtupu.
Na nadhani awamu hii huo utisho ni mithili ya mkondo wa maji ajali ya meli ya titanic.
Hadi wabunge makini...
Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa
Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
Nimejaribu kufikiria hili swali sijapata majibu.
Mfano wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam wanakwenda kuwaambia nini wapiga kura wao kuhusu kuuzwa kwa Bandari zote?
2. Mbunge wa Jimbo la Hai huko Kilimanjaro wapiga kura wake wamemkataa tangu apitishe mkataba wa kuuza nchi.
3. Mbunge wa Arusha...
Hii nchi kuna mambo sensitive ambayo waliopewa dhamana wameamua wasiyasimamie. Leo kuna mjadala wa kukodishwa bandari, jambo nyeti kama hili lakini wabunge wa CCM awapo bungeni wapo mtaani wanapiga kamnyweso wakiangalia bunge kwenye TV.
This is not sawa kwa kweli, natambua wengi wamekwepa kuwa...
Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Taarifa za uhakika kutoka Dodoma ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kesho Ijumaa tarehe 09/6/2023 wametumiwa ujumbe wa wito wa kushiriki kikao cha Wabunge wa CCM - Party caucus Kwa ajili ya kuweka msimamo juu ya kupitisha azimio la mkataba wa Serikali na Dubai.
Kikao hiki kimeitwa siku moja kabla...
Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.
Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.
Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki
Najua wanaChadema wengi...
Hili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati
Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali.
Afu madudu yakifanyika
Wanalalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja.
Unajua kujidunga sindano mwenyewe ni kazi ngumu sana inahitaji...
6 October 2022
Namanga, Kajiado
Kenya
KENYA KUSHIDWA KUTEKELEZA MAAZIMIO YA ENEO MOJA LA FORODHA / SINGLE CUSTOMS TERRITORY, KUMELETA KERO KUBWA
WaBunge 'wasomi' kutoka Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki, hili nalo kwa kushirikiana na serikali mkalitatue jambo hili la Eneo la Forodha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.