Wabongo is a village in the Lobaye region in the Central African Republic southwest of the capital, Bangui and near the border with the Democratic Republic of the Congo.
Nearby towns and villages include Babassoua (2.2 nm), Bogboua (2.0 nm), Bohomandji (1.0 nm) and Bokanga (1.4 nm)
.
WaTanzania tuna asili ya undugu na ukarimu kwa hapa nyumbani........ lakini kwa Marekani ni tofauti kabisa...wabongo huogopana sana.
Maisha na michongo hupatikana kwa waKenya yaani Mtanzania na Mkenya kwa Marekani ni zaidi ya ndugu.
Sasa katika pitapita zangu kuna sehemu huwa naenda kupata...
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
1 kwa 1 kwenye mada yangu kama vile kichwa kinavyosema.
Najua una HAMU ya kujua wabongo wengi hufanya kosa gani ktk biashara huko ONLINE.
Binafsi, nmepita katika mitandao mingi ikiwemo x (Instagram) na Facebook. Ktk mitandao hiyo
wabongo wengo wamekuwa wakifanya...
Ukifa halafu ukafufuka na ukakuta Kuna pilau basi akili itakutuma kuwa Leo Kuna sikukuu au sherehe Fulani kubwa.
Ukipiga mahitaji ya pilau na ya wali hakika ongezeko lake halizidi buku2-3 Hivi.
Zaidi ya yote kwenye biblia sijawahi ona kama imeandikwa kuwa kwenye sikukuu pikeni pilau.
Kule...
Linapo kuja swala la kushobokea foreigners basi Watanzania hatuna mpinzani hapa Duniani.
Benard Morison naona ushobokeaji umemlipa na ameamua kupiga kambi kabisa anajua hakuna sehemu hata kule keao wanaweza mshobokea zaidi ya Tanzania, na sujui ndio kapewa na uraia mimi sijui.
All in all...
Ana andika, Robert Heriel
Mtibeli
Mimi ni miongoni mwa wale Watu àmbao wakati nilipokuwa mwanafunzi sikuwahi kuibia mtihani tangu naanza Shule mpaka namaliza Chuo Kikuu kwasababu nilikuwa miongoni mwa wanafunzi wa kutegemewa na ambao wanafunzi wengine walikuwa wakihitaji msaada wa Majibu kutoka...
Watu wengi wanalaumu matajiri kutofundisha vizazi vyao namna ya kuendeleza utajiri wao hata pale wanavyoaga dunia bila kujiuliza sababu zinazosababisha hivyo.
Baada ya kutafakari nimeona UKOSEFU WA UADILIFU kwa mzazi na watoto wake inachangia pakubwa sana kwenye hilo. Matajiri wengi nchini...
Geremi Njitap: ''Mimi sio Eto'o, pesa zangu ni zangu
Yeye ni yeye, mimi ni mimi. Sikuteseka kwa miaka mingi kuokoa ulimwengu wote. Familia yangu imekuwa ikinilalalmikia lakini sijali.
Pesa zangu ni zangu tu, nisingecheza mpira nani angekuwa tayari kunisaidia?
Sinunui huruma. Hutasikia kwamba...
Yaani unaingia page ya mtu maarufu dunia nzima unakutana na comments za wabongo ambao na wao maarufu hapa bongo zinatia aibu.
Ni kama wanalazimisha umaarufu sehemu ambako sio sahihi.
Ukiingia page ya Fabrizio unakutana na wachambuzi wa kibongo nao wanaleta ujuaji huko na kingereza cha kuunga...
Moja kwa moja kwenye hoja
Nimeshangazwa sana na mazingira aliyotekwa kiongozi wa Chadema. Sishangazwi kwa sababu ni kiongozi wa upinzani bali ni mazingira aliyotekwa.
Mimi sikuwepo, lakini najaribu kufikiria tu, iliwezekanaje? Otherwise aliyekuwepo anisahihishe.
Najaribu kuwaza hivi....kuna...
Faridi Kubanda amejijengea heshima kubwa kwenye muziki wa HipHop Tanzania. Ni mmoja kati ya watu waliowa-influence wadau wengi wa muziki huo.
Mimi napenda muziki ila nasikiliza zaidi hiphop. Na baadhi ya masihi ya Fid Q yalifanya nione wabongo wanaoishi nje ya bongo hawathaminiani kabisa...
Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo:
Mimi: "Chakula kiko tayari?"
Muhudumu: "Sijajua ngoja nikaulizie kama kiko...
Nimeona mjadala mrefu huko mtandaoni wanawake kwa wanaume watu wazima kabisa wako busy wanabishana na kusutana kama inapaswa kuaga au kuomba ruhusa waume/wapenzi wao wanapotoka nyumbani!
Kuna mambo mengine ni mijadala ya kitoto au ki- teenager sana kama ile ya "education is better than money"...
Hatuwezi kufanana kwa kila hatua,maamuzi au michakato inakuwaje tunaforce mtu apende kitu ambacho unakipenda wewe?
Tunaishi katika ulimwengu wa kibepari kila mtu amepatiwa uhuru sawa wa mawazo,maamuzi na machaguo,tabia ya kulazimisha ilishapitwa zama zake.
Nimemaliza
Habari wana JF wote
Wafanya biashara wabongo baadhi magumashi sana hasa hawa madalali na wachuuzi wa bidhaa kutoka nje China, dubai nk wanazingua sana,
Sijui ni elimu ndogo niliyokuwa nayo au ushamba wangu tu
Anapost biashara yake kwenye mitandao ya kijamii kama fb, Instagram au TikTok katika...
Sidhani kama nchi za nje mtu anaweza kushtaki police kesi ya umemvunjia meza pengine kwenye ulevi hukujitambua au bahati mbaya tu mashauri ya kumalizana ila unakuta mtu anaandaa mazingira iwe case.
Mara utasoma " The cute baby mama"
C.E.O wa Ze Cute Outfits za warembo
Mara "Juma aka Simba mkali"
C.E.O wa simba fanicha kunduchi"
Maana halisi na ya kawaida ya C.EO ni mtu mkuu mwenye jukumu la kusimamia kampuni, ambaye wakati mwingine pia ni rais wa kampuni au mwenyekiti wa bodi. Tena hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.