Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji.
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya...
Ninadhani sasa ni muda muafaka wa kulijadili suali nililotaja kwenye 'heading' kwa kina, IKIWEZEKANA LIENDE BUNGENI!, maana naona kuna watu, kwa chuki zisizo na msingi, wameamua kulitumia suala hili kiuchochezi zaidi! HEBU WADAU WAJIULIZE TU KWANINI HAWAPEWI PLOTS KUJENGA 'NGORONGORO...
Wanabodi
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ""Umasikini mkubwa zaidi na umasikini m-baya zaidi, ni umasikini wa fikra!". Hii ni ile hali ya mtu kuwa na mawazo ya kimasikini, unakuwa masikini wa roho kwa kuwa na roho ya kimasikini.
Kwa maoni yangu, Watanzania ni masikini sana...
Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili.
Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar.
Mzanzibar anafaida mara 2...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.
Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za...
Vitu vingine tinavisbabisha wenyewe wenzenu kule hawataki tuguse hata mali yao hata moja lakini wao wakija huku bara wanataka kila kitu tena wanapewa nafasi ya upendeleo kuliko mzawa.
Mimi kilichoniuma zaidi mwaka juzi dogo langu alikuwa anafukuzia JKT sasa wapo kwenye mchujo.
Mchujo wenyewe...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa.
Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu
limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi...
Hawa ndugu zetu wa visiwani washajua kuwa tunawakumbatia sana ndio maana kujishugulisha hata kielimu washaona tu mtawapa nafasi zao ajira bakini nyie wa bara someni mpaka mkome.
Kama tutaendelea kuwabembeleza nao hipo siku watatueleza wazi kwamba tuachane nao.
Inanishangaza kwenye nafasi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.