wabakaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema

    Hii sio good news ever. Labda huelewi. Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi. 1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu kumrekebisha mhalifu. Wao ni watu wa ndani tu kula na kulala. Wanaohukumiwa adhabu chini ya kifungo cha...
  2. Waufukweni

    Louisiana Yawa Jimbo la Kwanza Marekani Kuanzisha Adhabu ya Kuhasi kwa Wabakaji wa Watoto

    Jimbo la Louisiana limekuwa la kwanza nchini Marekani kuidhinisha sheria inayoruhusu kuhasiwa (kuwakata korodani) kwa wabakaji wa watoto, walio chini ya umri wa miaka 13 kama adhabu ya jinai. Sheria hiyo, ambayo ilianza kutekelezwa Agosti 1, inawahusu wahalifu wenye umri wa kuanzia miaka 17...
  3. mdukuzi

    Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

    Serikali inatumia pesa nyingi kusomesha watanzania ila wasomi wenyewe wanashindwa kutumia elimu yao. Mimi darasa la saba B nilisoma shule ya Msingi Miburani pamoja na Mzee Magoma kuna kitu nimebaini kuhusu mashitaka walioshitakiwa nayo watuhumiwa maafande wa. Ubakaji. Kwenye mashitaka...
  4. Dr Matola PhD

    Nini msimamo wa TLS kwa wanachama wake kuwatetea wabakaji na walawiti ambao jamii nzima imeona unyama wao?

    Mimi siyo mwanasheria, lakini nimeona msimamo wa TLS kulaani tukio la unyama uliofanywa na wabakaji na walawiti na TLS imetowa wito kuhakikisha haki inatendeka. Sasa napata tabu kidogo kusikia kuna mawakili wanne wanaowatetea hawa washenzi wasiostahili huruma hata chembe. Mimi ningekuwa wakili...
  5. Kamanda Asiyechoka

    Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

    Leo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye ndiye “afande” aliyetuma genge lake la uhalifu kumbaka na kumlawiti JM. Pia soma: 'Afande'...
  6. Dr Matola PhD

    Tunalitaka Jeshi la Polisi liueleze umma, ni kwa nini wabakaji na walawiti wanajeshi na Boss wao hawafikishwi mahakamani?

    Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa. Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Tafiti zinaonyesha 80% ya Wahalifu ikiwemo Wajambazi, wabakaji, wauaji, mashoga wamelelewa na Single Mothers yaani Fatherless

    TAFITI ZINAONYESHA 80% YA WAHALIFU DUNIANI IKIWEMO MAJAMBAZI, WABAKAJI, WAUAJI, MASHOGA WAMELELEWA NA SINGLE MOTHERS YAANI FATHERLESS Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Andiko hili halipo kwaajili ya kuwakandia single mothers bali lipo kwaajili ya kuonyesha matatizo ya u-single mother ambayo...
  8. Mjanja M1

    Madagascar yapitisha sheria ya kuwahasi wabakaji

    Bunge la Madagascar limeidhinisha sheria mpya ambayo itawafanya watu waliopatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto kuhasiwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela. Kwa mujibu wa sheria mpya, wanaopatikana na hatia ya kubaka watoto wenye umri kati ya miaka 10 hadi 13, watahasiwa kwa...
  9. sky soldier

    Neno "Unaniimiza", vilio na vitendo vya kuonyesha anaumia ndivyo hupandisha midadi wanaume wengi kujiona rijali, Je wanaume kwa asili ni wabakaji ?

    Maneno ya kuonyesha maumivu, mikunjo ya sura ya kuumia, machozi, kilio cha maumivu huwa vinapagawisha sana wanaume na kuwaongeza midadi kwamba wao wana moto mkali. Ila pia kuna kufeki maumivu, wanaume wengi hasa wanaotoka vijijini kuja mjini wanakuwa wahanga wakikutana na wadada wajanja...
  10. G-Mdadisi

    Wadau Pemba washauri Sheria Kali kwa WABAKAJI. "Anayebaka Ahasiwe"

    PEMBA, ZANZIBAR JAMII imeshauriwa kuacha muhali na badala yake waripoti kwa wakati matukio ya udhalilishaji yanapotokea kwa lengo la kutoa fursa kwa vyombo vya sheria kutekeleza wajibu wake na kuchukua hatua za haraka dhidi ya watuhumiwa wa vitendo hivyo. Hayo yametolewa na wadau wa kupinga...
  11. JanguKamaJangu

    Kilimanjaro: Wanawake wakimbia makazi yao kukwepa wabakaji

    Baadhi ya Wanawake wa Kijiji cha Shirimatunda, Kata ya Mnadani, Wilaya ya Hai wamekazimika kukimbia makazi yao kutokana na kuibuka kwa wimbi la Wanaume wanaofanya vitendo vya ubakaji. Matukio hayo yanadaiwa kutokea katika maeneo ya mtoni wakati Wanawake wakifuata maji, ambapo wanaofanya tukio...
  12. Roving Journalist

    Waziri Simbachawene: Majambazi yamenyamazishwa kimyakimya nchini, msako wabakaji, waporaji waendelea

    Na Felix Mwagara, MOHA – Kibakwe. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Jeshi la Polisi limewanyamazisha majambazi kimyakimya katika maeneo mbalimbali nchini baada ya hivi karibuni walipotaka kuijaribu Serikali. Amesema operesheni ya kwanza ya kupambana na majambazi...
Back
Top Bottom