Mwanachama maarufu wa Chadema na ndugu wa Mbowe Aikande ametoa maelekezo kwa wale wasiompenda Mbowe watafute chama wanachoona kinawafaa.
Amesema hayo baada ya kuona maneno na mashamba makali juu ya ndugu yake na chama cha Mbowe.
Wakuu,
Wale wana CHADEMA ambao mnahisi Mbowe hatoshi kuongoza chama chenu mna salamu zenu huku kutoka kwa Dr Aikande ambaye ni mwanachama maarufu.
Kwa logic hii maana yake pia CHADEMA mtafute nchi nyingine ya kuishi muache kuilalamikia CCM kwani kuna nyingine 194 duniani...
Wakati wa mapambano ya kutafuta haki, unatakiwa kutafuta umoja wenye nguvu na kila mwenye dhamira njema bila ya kujali ukubwa au udogo wake.
Pamoja na maneno mengi hasi na chanya, binafsi naamini vyama kama ACT Wazalendo na CUF, vina watu makini, wenye ushawishi, utashi na dhamira njema, na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amepongeza vyama 19 vya siasa kwa kushiriki kwa uwazi na utulivu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, licha ya baadhi yao kushindwa kupata nafasi mbalimbali za uongozi.
Akizungumza Novemba 28, 2024, jijini Dodoma wakati...
Mbunge Viti Maalum Arusha mjini Catherine Magige, Amewahasa wananchi wa Kata ya Endamariek Kijiji Cha Endamariek wilayani Karatu kushiriki kwa Ukamilifu katika zoezi la upigaji wa kura za ndiyo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024.
Amewahasa wananchi hao...
Uongozi wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Songwe, umevitaka vyama vingine vya siasa kudumumisha amani katika kipindi chote cha kampeni pamoja na siku ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mtaa, utakaofanyika Novemba 27, 2024 huku ukiwatahadharisha waliojipanga kuvuruga...
Vipaumbele vya wagombea uongozi wote wa CCM, vinaelezwa kwa ufasaha, umakini na kwa mpangilio mzuri sana na unaeleweka kirahisi kwa wapiga kura.
Hii imechochea hamasa kubwa mno kwa wapiga kura wengi zaidi, tena wa vyama vyote vya siasa kujitokeza na kuwasikiliza wagombea vijana wasomi wa CCM...
Friends, ladies and gentlemen.
Unadhani nani atakua wa kwanza miongoni mwa viongozi waandamizi CHADEMA wanaozodoana na kulumbana hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, atashindwa kustahimili mgandamizo wa joto la kisiasa ndani ya chadema na kukimbilia kwingineko?
Unadhani...
Kwa kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, imani yangu kwa CHADEMA imeendelea kupungua. Nilivyokuwa nikikua kisiasa na kuchambua kwa undani zaidi kuhusu mfumo wa uongozi wa ulimwengu wa kisasa – "neo-liberal global order" – nimegundua kwamba siasa za upinzani barani Afrika zimekuwa na changamoto...
Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT.
Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana...
Nlitegemea kuwe na nguvu moja kupinga madudu yanayoendelea katika daftari la kuandikisha wapiga kura katika chaguzi zijazo. Je Vyama hivi havioni mapungufu/maovu/madudu/wizi unaofanyika katika daftari la wapiga kura ?
Mbona wamekaa kimya? What logical deductions can be made from such silence...
Nchi hii ni yetu sote. Kwa mantiki hiyo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni bila kuingiliwa maadamu havunji sheria. Nazungumza na Chadema kama mwakilishi wa vyama vingine vya upinzani nchini Tanzania.
Kila chama kinatamani kushinda uchaguzi na kuunda Serikali. Zitto Kabwe ametoa wazo la vyama...
TUFANYE KWAMBA WOTE WALIKUBALI WATASHIRIKI MDAHALO HUU.
SWALI
Je kulikuwa na makubaliano yoyote kwamba kama hatoshiriki Dr nchimbi basi waliobaki wote wasishiriki ?
mjadala huu haukuwekwa maalumu kwa ajili ya Dr nchimbi,bali ni wananchi na makatibu wa vyama.
kitendo cha makatibu wakuu...
Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.
Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama...
Nimeitaja ACT-WAZALENDO kama chama ambacho kidogo kina muonekano kwa jamii leo hii japo siyo kikubwa kuliko CHADEMA.
Kinachoendelea kati ya jeshi la polisi na CHADEMA si uhai kwa vyama vya siasa hasa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kuna kila dalili polisi watatumika...
Nimemsikiliza Lissu akilalamika kuhusu Rushwa kwenye chama chake cha Chadema,kauli hii imenifanya nitafakari sana kuhusu uwepo wa rushwa vyama vingine vya upinzani.Hali ikoje? Tujadili ili tupate chama bora.
Habari wanJF.
Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivyo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
CCM ni baba wa vyama vyote vya siasa Tanzania. Vyama vyote vinaitazama CCM kama kioo chao. Iwe kwenye jema au baya. Mara nyingi huko CHADEMA kukitokea mambo ya kipuuzi hukimbilia kujitetea kuwa CCM wanafanya mabaya zaidi. Kwa mfano ukiuliza kuhusu michango na ruzuku utajibiwa kwa kuambiwa...
LIPA ADA YAKO YA UWANACHAMA KUPITIA MITANDAO YA SIMU:
Fahamu namna ya kulipa Ada ya Uanachama wa CCM na jumuiya zake kupitia mitandao ya simu.
Ili kutimiza wajibu wa kikatiba wa kulipa Ada, ewe mwanachama zingatia namna zifuatazo katika vipeperushi(bango) jinsi ya kulipa Ada kupitia mitandao...
Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali cha maandamano??
swali la ziada, je maandamano haya hayaweze ku-escalate na kuwahusisha watu wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.