Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.
Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi...
Ndege za Burundi zinazosadikiwa kuendeshwa na wafaransa zavamia vijiji vya Mkoa wa Kigoma.
Ilibainika baadae South Africa, Msumbiji, Ufaransa na Marekani walikuwa nyuma ya Burundi.
South Africa na Msumbiji zilikuwa bado chini ya serikali za kikoloni huku Rais wa Kenya Jomo Kenyatta akimuonya...
Huyu ni mmoja wa wakuu wa vikosi vilivyopigana vita vya Kagera.
Kwa miaka mingi walikuwa wakitaka wakuu wa brigedi zilizopigana vita vya Kagera, lakini ndani ya brigedi hizo kulikuwa na vikosi.
Simba Waziri Simba mmoja wapo wa makamanda wa vikosi katika vita hivyo...
Wana historia wa vita vya Kagera / Uganda wamekuwa wakiwataja makamanda wakuu wa vita hivyo waliokuwa na vyeo vya Brigedia kwenda juu.
Majina kama Abdalah Twalipo, Tumainieli Kiwelu, John Walden, Ahmed Kitete, na wengine yametajwa zaidi ktk historia ya vita vya Kagera.
Lakini chini ya...
Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu.
Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's:
1. VITA VYA KAGERA,
2. UJAMAA,
3. HUJUMA ZA KIBEPARI,
4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's
5...
Dodoma. Shujaa wa vita vya Kagera, Abinael Chikataa (71) amefariki dunia kwa kung'atwa na nyuki akiwa katika sherehe ya kuogesha wajukuu wake waliokuwa wamefanyiwa tohara.
Tukio hilo lilitokea Julai 15, mwaka huu katika Mtaa wa Kikuyu Kusini, jijini hapa na nyuki hao walikuwa kwenye mti, lakini...
Vita vya Uganda-Tanzania, vinavyojulikana nchini Tanzania kama Vita vya Kagera na nchini Uganda kama vita vya Ukombozi vilihusisha Uganda na Tanzania kati ya Oktoba 1978 hadi Juni 1979.
Matokeo yake yalikuwa kutimuliwa kwa Idi Amin madarakani na mwezi huu wa Juni ambapo vita viliisha...
Tulizunguka sana. Arua, Kasese, portfot na kwingine kabla ya kufika Kampala. Swali ni kwanini tulizunguka sana badala ya kukatisha tu na kufika hapo kampala na kumtimua huyu nduli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.