Tunapoelekea uchaguzi wa 2025 nakuomba mama Samia na Serikali yako itunge sheria na kubadili katiba ya kuruhusu mgombea binafsi ili vijana tusio na maokoto tupate nafasi ya kugombea udiwani, ubunge na Urais.
Kwa hali ilivyo kwenye vyama vya siasa ni ngumu sana kupenya kwa sababu ya wajumbe...
Jumanne, saa 3 hii tayari watu wamekaa vijiweni wanajadili Simba na Yanga. Hapa ndiyo nchi yetu ilipofikia, vijana kutumia muda mwingi kubishana kuhusu nani amesajiliwa na timu gani, analipwa kiasi gani wakati maisha yao yapo hohehahe.
Nchi ina hali mbaya sana kama kijana akitoka tu kuamka...
Friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao.
Njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana. Vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na wanachama wenu wanawapima kwa nidhamu, heshma na uadilifu mnao uonyesha.
Kumbukeni bado kuna viongozi wa...
Umeelewa nini kwenye katuni hii?
Kijana Mtanzania, badili mtazamo
Tuwasihi vijana wetu wagombee nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mtaa kuanzia mwaka huu na hatimaye wagombee uchaguzi mkuu mwakani.
Vijana, kueni na uthubutu. Hapa tunawahitaji vijana wa vyama vyote vya...
Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa katika jamii kwa sababu zinaweza kusababisha athari za kudumu kwa raia wote. Katika makala hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.