Waziri wetu u wapi weye, sie tukiweka mabando yaisha within short time. Few days ago internet ilisumbua haswaa, saizi bando linaisha haraka.
Je, ni bei zimepanda indirect ama ndo mnatupea adhabu tusiingie mtandaoni? Internet ni uchumi.
Serikali isinyamaze, Jerry FANYA mamboo. Siamini kama ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi ni mtumiaji na mteja wa miaka mingi wa mtandao wa voda ,lakini Haijawahi kutokea na sijawahi kushuhudia hali hii katika simu yangu ya ulaji wa mb utafikiri kuna jini limepiga kambi kula mb zangu. Hali hii imejitokeza tangia jana jioni ambapo nilikuwa na mb mia mbili...
Sio mbali sana. Ni miaka mitatu kurudi nyuma bei za vifurushi vya intaneti ilikuwa ya kawaida sana. Kwa 1000 mtu angeweza kupata kifurushi cha GB1 kwa wiki. Leo hii, GB1 ni 3000.
Hebu fikiria kwa sasa, ni watu wangapi wameathirika na mabadiliko hayo? Mimi kipindi hicho, kulingana na bei kuwa...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Statista, Waafrika wengi wanashindwa kutumia Intaneti kutokana na gharama ya Huduma hiyo kuwa kubwa
Wananchi kutoka Mataifa mbalimbali Barani humo wanategemea Mtandao ili kupata Huduma muhimu, lakini wanatumia gharama kubwa ili kuweza kupata Intaneti
Gharama zinapokuwa...
Hili jambo kwa mtazamo wangu, watanzania tunaandaliwa kwa jambo kubwa lijalo hapo mbeleni, bado hatujui ni jambo gani, ila linakuja wakati ambao hatutaweza tumia mbadala wowote zaidi ya huo ujao... Ni nini..?? Mimi na wewe hatujui...
Tusubiri tuone kama je
Ni huu ujuo wa mtandao wa Musk..??
Je...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Bungeni kuwa Serikali inaendelea kuchambua malalamiko ya matumizi ya Bundle kwenye simu.
Amefafanua, "Malalamiko kwamba kuna Bundle zinawekwa kwenye Simu, zinatumika bila Mtumiaji kuzitumia yamekuwepo, yamefikishwa...
NDUGU NAPE, KUHUSU VIFURUSHI VYA SIMU
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Ndugu yangu Nape tatizo liko hapo TCRA. Haya makampuni ya simu yanafanya biashara na hivyo yanaweza fanya lolote yasipopata usimamizi.
Tunahitaji Kanuni za vifurushi kama vifurushi kutoka hapo TCRA ili zitusaidie...
Ni mwendo ule ule, umafia wa kimya kimya, kwa Voda na Tigo wameanza kutesti mitambo kwa kkupunguza GB za vifurushi vya mwezi.
Kuanzia sasa tutegemee lolote, hii ni trailer tu, bado muvi kamili ya machinjo yatayofanyika kimya kimya gizani usiku wa manane, nadhani tunaweza kuamka asubuhi...
Ndugu wana Jamuhuri ya Muungano,
Kwa mnaotumia halotel limewakuta hili?
Wiki iliyopita mpaka hii tuliyopo kuna uhuni halotel wanaufanya. Unajiunga GB 1 ndani ya dakika 30-60 unapata na huu ujumbe;
Mpendwa mteja! Umemaliza kifurushi chako cha intaneti. Kuendelea kutumia intaneti jiunge tena...
Samahanini Ndugu wana JF poleni kwanza na majukumu ya siku.
Nilikua nina swali au ombi lakujuzwa ni mtandao upi kwa sasa unaweza kujiunga bando la usiku, kiukweli Mimi ni mpenzi wa Movies and series nimekua napata shida saana ya kupata VIFURUSHI kwa ajili ya kupakua, hapo zamani nilikua natumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.