Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bw. James Wilbert Kaji...
Kamati Kuu ya CHADEMA, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 14 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam, ilitangaza uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwa Kanda ya Kaskazini na Kati.
Uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa Katiba ya chama, ibara ya 7.7.16(s), ambayo inatoa jukumu kwa...
Wakuu,
Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo tarehe 10 Disemba, 2024.
Akiwa anazungumza katika uapisho wa mawaziri, Rais Samia amedokeza kuwa ni viongozi tu ndo wamebadilishiwa majukumu lakini serikali ni ile ile.
Pia Rais Samia alitumia hotuba yake...
Zanzibar
09 Disemba, 2024
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Makamishna walioteuliwa ni kama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo:
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa...
Salaam Wakuu,
Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei.
Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa...
TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani.
Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
https://www.youtube.com/live/hM2imb4c6lE?si=k17W_0YvvGSkfLRI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waweke pingamizi...
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mheshimiwa Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, kuwa Kiongozi wa Misheni ya Uangalizi ya Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
(i) Dkt. Leonard Douglas Akwilapo ameteuliwa kuwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Maj. Gen. Aviad Dagan takes over IDF Computer Service Directorate
By Emanuel Fabian
Maj. Gen. Aviad Dagan has taken over the IDF’s Computer Service Directorate, replacing Maj. Gen. Eran Niv, who is retiring from the IDF after a...
Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amewasilisha ombi la kuzuia Rais William Ruto kuteua mtu atakayejaza nafasi ya Naibu Rais baada ya kuvuliwa madaraka na Bunge la Seneti.
Kupitia wanasheria wake, Kamotho Njomo & Company, Gachagua alitaka kuzuia Bunge la Taifa kujadili, kumchambua, kupigia...
TAARIFA KWA UMMA
Kwa mujibu na mamlaka aliyopewa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) chini ya kifungu cha 7(1)(c) cha Sheria ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ya mwaka 2009 na kifungu cha 66 (a)() cha Marekebisho ya Sheria Na. 4 ya...
Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu...mwaka huu kumekuwa na ugumu sana kwenye haya mazoezi...
Kwenye vitambulisho vya kura watu wameenda tu tokana kuaambiwa vitawasaidia kwenye shughuli nyingine km ID...
Navuta picha kubwa nin kitatokea kwenye siku za kupiga kura.
CCM naomba tubadilike...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i. Bw. David Chimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
TAARIFA KWA UMMA
18 Septemba 2024
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili.
UFAFANUZI WA RAIS WA TAHLISO
Alipoulizwa na JamiiForums.com kuhusu maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.