utajiri

  1. Inakuwaje tunalazimishana Maisha ya utajiri wakati kila mtu ana malengo yake?

    Inakuwaje mnataka kuset standard ya maisha kwa kila mmoja wetu,tumeziharibu tamaduni kwa kuifanya dunia yote iwe na tabia moja,akili na muelekeo mmoja. Tunaforce kila mmoja afikirie utajiri na kwanini isiwe elimu au watoto? Sikuhizi limezuka wimbi la vijana kukashifu ndoa hivi vijana mnakwama...
  2. Kuna utajiri wa uhalali?

    Habarini wadau wa JF. Miaka ya Hivi karibuni kumekuwa na Motivation speakers wengi wakiwa na Bidii ya kuwaaminisha watu Fanya hiki au kile ili uwe UTAJIRI. Swali langu ni hili ni kweli kwamba Kuna UTAJIRI wa njia Halali YAANI yule mtu ambaye anajuhudi tu katika kazi/biashara yake/zake akawa...
  3. Utajiri uliojificha kwenye kilimo cha mbegu za mchicha

    Wasalaam, Je, umeshawahijiuliza njia rahisi ya kutoka kimaisha kutokana na kilimo? Basi leo nataka nikuletee jibu la swali lako. Kama wewe ni kijana mwenye ndoto za kutoka kimaisha basi pata mtaji mtamu sana kutoka kwenye kilimo hiki cha mbegu za mchicha. Hiki ni kilimo chenye gharama nafuu...
  4. Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  5. Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  6. As of april 2, 2025, hawa ndio watu wenye ngozi nyeusi wanaoongoza kwa utajiri duniani.

    1. Aliko Dangote Utajiri: $23.9 billion | Chanzo: Cement, sugar | Citizenship: Nigeria 2. David Steward Utajiri: $11.4 billion | Chanzo: IT provider | Citizenship: U.S. 3. Robert F. Smith Utajiri: $10.8 billion | Chanzo: Private equity | Citizenship: U.S. 4: Alexander Karp Utajiri: $8.4...
  7. Watu 19 wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufundisha vijana mbinu za utajiri

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 19 wanaodaiwa kuwa matapeli kutoka katika makampuni yanayowarubuni vijana kwa kuwafundisha mbinu za utajiri kupitia njia za mtandaoni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama, amesema kuwa makampuni hayo yamekuwa yakiwaingiza...
  8. M

    Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

    Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete. Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30...
  9. Kama hauna roho mbaya sahau kuhusu utajiri

    Hellow wakuu Tunaishi kwenye dunia ya kibepari, daktari anategemea wagonjwa wamlipe ili aishi watu wasipo umwa anakufa njaa, mchungaji anategemea waumini watoe sadaka ili apereke watoto shule nzuri ale na kusaza, mganga anategemea biashara za watu ziyumbe ili waende kwake wamlipe ndio...
  10. Stori ya kweli ya utafutaji wa kijana aliechukia umasikini na kusaka utajiri

    Ni stori ya kweli ya kimaisha ya namna nilivyopata utajiri wangu.. Nimezaliwa kwenye familia masikini sana,na nauchukia umasikini, home tulikua tunaweza kupitisha siku nzima bila kula,au tunapiga pasi ndefu tunakula usiku tu. Nilipomaliza la saba kwa shida sana,ikabidi nianze heka heka kutafuta...
  11. Jinsi ya kuhakikisha utajiri wa familia unaendelea kizazi hadi kizazi

    Utangulizi Katika jamii nyingi za Kiafrika, familia huanza kujenga utajiri lakini baada ya kizazi kimoja au viwili, mali hizo hupotea. Hali hii inasababishwa na ukosefu wa mipango ya urithi, elimu ya kifedha, na usimamizi mzuri wa mali za familia. Leo tunajifunza jinsi ya kuhakikisha utajiri wa...
  12. Mbinu za Kuwa Tajiri(Milionea) - Sehemu ya II(Part Two)

    Mtu asikudanganye kwamba ukienda kwa wachawi au waganga utapata dawa ya kuwa tajiri. Watu wameenda huko na kutapeliwa kwamba wakiwatoa kafara watoto au wazazi wao ndio watapewa dawa ya utajiri. Ukiwa tajiri kwa njia hiyo basi ujue jehanam inakusubiri kwa hamu ikutafune. Wewe unayefanya biashara...
  13. Wema hauhitaji utajiri, bali moyo wa kusaidia. (Ordinary Angels, 2024), Based on a true story.

    Hello, JF Members, Kama wewe ni shabiki mkubwa na number one die hard fan wa Hilary Swank na Alan Ritchson basi hii movie ya Ordinary Angels (Malaika wa Kawaida) sio ya kukosa. Ordinary Angels, 2024 ni filamu yenye mguso wa kihisia, inayoelezea maisha ya Sharon (Hilary Swank), mwanamke jasiri...
  14. O

    Sababu za Tanzania Kuendelea Kuagiza Bidhaa Nje Licha ya Kuwa na Utajiri wa Maliasili na Rasilimali Nyingi

    Tanzania inaendelea kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya kuwa na rasilimali nyingi kutokana na sababu kadhaa. 1. Ukosefu wa Uwezo wa Kiviwanda Tanzania ina malighafi nyingi, lakini haina viwanda vya kutosha vya kuzalisha bidhaa za mwisho. Licha ya kuwa na madini mengi ya chuma kutoka...
  15. Jinsi ya kuwa Tajiri ndani ya miaka mitano! Tazama hii picha

    How to Become Wealthy in 5 Years Become Financially Educated Learn Money Management Save Money to Invest Invest in Passive Income Sources Network with self-made Rich People Have Mutual Sources of Income
  16. R

    Familia ikiweza kula ng'ombe 400 kwa siku ni tafsiri ya utajiri.

    Ukiwa na jamii ambayo inaweza ikala ng'ombe 400 kwa siku moja ni tafsiri ya utajiri. Ng'ombe 400 ni tafsiri ya kukamilika kwa miradi ya maji, umeme, elimu na afya. Ni tafsiri kwamba Tanzania hatuna sababu ya kuomba misaada nje maana tuna surplus Swali gumu ambalo tunapaswa kujiuliza ...
  17. Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu

    Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu Hii matajiri hawawezi kukuambia Uzi umeisha
  18. Tanzania nchi kumi bora utajiri na uchumi Afrika

    Tanzania imetajwa moja ya nchi kumi bora zenye uchumi mzuri, utajiri na pato la Taifa ikiziacha nchi nyingi za Afrika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…