uswahili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Hiki ndio kipimo cha Uswahili. Jipime, je wewe ni Mswahili?

    TAFSIRI YA MANENO YANAYOTOKA NA “KISWAHILI” KWA MUJIBU WA WASWAHILI WENYEWE. “Saa ya Kiswahili”: Saa isiyozingatia muda wa miadi (ni kinyume cha, “saa ya kizungu” ambayo humaanisha, “Juu ya alama”) “Uswahili”: Tabia ya ubabaishaji, iliyopungukiwa weledi na ustaarabu! “Uswahilini (au...
  2. GENTAMYCINE

    Unapojishusha ni ili watu wakuonee huruma, unawaona wachawi au ni ushamba tu?

    Unajua au unamkuta kabisa Mtu anajenga Nyumba yake nzuri tu na Kubwa halafu utamkuta anamwambia Mtu kuwa nilikuwa site najenga Kakibanda Kangu au nilikuwa najenga ka Kimjengo kangu. Sasa unavyojishusha Kwetu ni kwamba tukuonee Huruma au unatuona Sisi Wachawi / Wanga au ni Ushamba tu unakusumbua?
  3. Boeing787-8

    WFP mmeanza lini uswahili?

    Hi wakuu. Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahulu Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be selected Kwa third interview. Nilipiga third interview, mwisho wakasema watanipa feedback after few...
  4. sky soldier

    Hawakumpenda mke wa kaka yao matokeo yake hawawezi tena kumuona mtoto, ndoa inavunjika na mali zinaenda kupigwa pasu kwa pasu

    Ni upande wa mume ndio wenye matatizo, ndugu zake kwa miaka takribani miwili hawampendi mke wa kaka yao, kwa makadirio ni kwamba kaka yao ana kazi nzuri na biashara zake, uchumi upo stable na mafanikio hayajifichi haya yanaonekana wazi kabisa, ni watu wa Mbeya huko (Mbeya ina makabila mengi)...
  5. Jidu La Mabambasi

    Ikulu, hili la Fr. Kitima na utiaji sahihi ni uswahili wa mitaani

    Kwanza niseme wazi kuwa, tayari nimeunga mkono juhudi za Mama Samia kuendeleza bandari kwa kuwapa DP World baada ya kurekebisha vipengele vya mkataba. Hivyo vipengele bado havipo public, but we hold our President accountable kuwa ana nia njema. Tatizo ni uswahihii uswahili uliotumika kualika...
  6. Mr Lukwaro

    Nilijua ni Uswahili, kuwa ukianza kufanikiwa lazima Uchukiwe na watu hata usio watarajia

    Psychology inakiri kwamba kwenye mafanikio kuna mapambano, Wapo watu ambao wakati wana hustle walikuwa marafiki sana tu, Lakini kwa Bahati mbaya Baada ya mafanikio kuanza zaidi kwa mmoja , Chuki huibuka na kutengeneza Uadui. Je, ufanye nini ili kuepuka Changamoto hiyo? - Kwanza Tengeneza usiri...
  7. Notorious thug

    NMB na CRDB wamejaa Uswahili kwenye huduma zao

    Kuna habari nyingi za wateja kuibiwa fedha zao, kadi kumezwa ovyo, mashine kutokutoa risiti, makato makubwa na yasiyoeleweka, huduma mbovu na mambo mengi ya kihuni na ubaya hawajirekebishi bora wateja wahamie EXIM, STANBIC & KCBL
  8. Dr Restart

    Ukata na Uswahili: CEO Andre Mtine aondoka Yanga

    Baada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga. Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, Rais anaingilia mipaka mpaka majukumu yanayopaswa kufanywa na Mkurugenzi. Mtine ni...
  9. Liverpool VPN

    Tuliojilea wenyewe uswahili maisha magumu tukumbushane maisha tuliyopitia

    INTRODUCTION Nawasalimu kwa jina la chama kubwa YANGA basi jibuni "Ubingwa uendelee"" Naanza Mimi. Mimi nilizaliwa mjini Daslam! Miaka ya 1990. Wakati nazaliwa tulikuwa tunaishi Mwananyamala B Na nikiwa mdogo nilifiwa na wazazi nikachukuliwa na ndugu kwenda kuishi mwananyamala Komakoma. Hapo...
  10. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  11. M

    Sijaona Kosa la Mzungu, ila najua ameondoshwa kutokana na Uswahili, Majungu na Uafrika Wetu

    Mchezaji wa Simba, Dejan Georgejevic kupitia akaunti yake ya Instagram amesema mkataba wake umevunjwa kuitumikia klabu hiyo. Na kama leo hii ( hasa CEO ) Barbara Gonzalez uliyemleta huyu Mzungu umeona hafai ni kwanini hapo mwanzo Mimi MINOCYCLINE na Yule mwana Jamiiforums Maarufu GENTAMICINE...
  12. Kijakazi

    Uzanzibari na Uswahili unasingiziwa sana!

    Unakuta mtu ni character yake yeye binafsi lkn Uswahili wetu wote unasingiziwa kwamba tabia yake ni kawaida kwa“Waswahili“ yote hii ni kukwepa character flaws zake. Kuna character ya mtu yeye kama yeye na haina uhusiano na Utamaduni wake, mfano kutokujua au kutokuwa na uwezo wa kujua na kuchuja...
  13. Smt016

    Yanga bado uswahili na ubabaishaji unatusumbua

    Kiukweli ukiangalia namna GSM na viongozi wa Yanga wanavyoendesha timu kiukweli inashangaza sana. Nilitoa uzi hapa nikiziomba timu zetu zinazowakilisha nchi zijikite kwenye maandalizi ya uhakika kwa kucheza walau mechi zisizopungua nne ili kuimarisha vikosi na pia kuwaweka wachezaji katika...
Back
Top Bottom