Upwork, formerly Elance-oDesk, is an American freelancing platform where enterprises and individuals connect in order to conduct business. In 2015, the Elance-oDesk merger was rebranded as Upwork and the company's full name is now Upwork Global Inc. Upwork is currently based in Santa Clara and San Francisco, California, though it serves clients around the world.
Upwork has over eighteen million registered freelancers and five million registered clients. Three million jobs worth over $1Bn USD are posted annually, making Upwork the largest freelancer marketplace in the world.
Kupata pesa za mtandaoni kuna njia nyingi, lakini ni muhimu kuchagua njia salama na halali ili kuepuka udanganyifu na hasara. Hapa kuna baadhi ya njia sahihi za kupata pesa za mtandaoni:
1. Kufanya Kazi huru (Freelancing):
- Unaweza kutumia majukwaa kama Upwork, Fiverr, na Freelancer kutoa...
Habari wanaJF,
Ni mimi tena, na natumaini kuwa upo vizuri unaposoma maneno haya. Leo imekuwa siku ya Idd kwa ndugu zangu waislamu, na wasabato fulani wapo kwenye msimu wa makambi. Yote mema....
Ee bwana, juzi kati nilizungumzia kozi yangu ya Upwork nitakayoitafsiri kwa ajili ya kusaidia...
Habari wanaJF,
Ni mimi tena (It's me again). katika pita pita zangu, nimeangukia kozi moja makini ambayo naweza kuileta kwenu kwa ajili ya kusaidia wanaotaka kufanya kazi Upwork. Nina account huko, na nimefanikiwa pakubwa.
Kozi screenshot yake hii hapa:
Niliipata kwa mKenya fulani hivi...
Kwema hapo wakuu
mimi ni mdau wa remote jobs hasa upwork.
Niliona tangazo huko upwork nika apply jamaa kanijibu nikapata kazi. Jamaa alinipa link ya telegram ambo upwork hawaruhusu kufanya ivo cos upwork hawapati chochote kutoka kwangu (upwork wanakata 10% kwa kila kazi ninayo fanya).
Kazi...
Tafadhali naomba mwenye kujua kuweka profile picture ktk angle nzuri. Nime-upload profile picture upwork ila imekaa horizontally badala ya vertical sijajua kwa nini. Hakuna rotation angle option only edit. Nimejaribu mara mbili zote zinapanda hivyo hivyo.
Je ndivyo ilivyodizainiwa?
Habari jaribuni kuangalia hii kazi hapa chini
Sio mjuzi kutumia jukwaaa hili ila nilijaziwa profile na mtu so kuandika sio hobby yangu kabisa kuliko pesa itembeee nimeamua kusghare na marafiki zangu hapa kama unaona dili karibu sana inaliapa $700+ huko
Nimeshabonyeza accept
Wakati dunia inazidi kubadilika technologically, Nchi za Ki-Africa hatuna sababu ya kubaki nyuma maana resources zote za mtandaoni ni za dunia na wala si nchi fulani. Nadhani kama umepata kuona Ai mpya ya chat GPT utagundua within 5 years kama utalala sasahivi, basi utakuwa nyuma sana.
Lakini...
Habari wakuu, kama una account ya Upwork au Fiverr ya zamani iliyowahi kununua bidhaa au huduma niko interested kukulipa unipe review kwenye account zangu.
Kwa wale wa Upwork ntakulipa, halafu wewe utaweka nusu ya pesa Upwork then utapost tangazo la kazi kule, mimi Nita apply na kuifanya...
Baada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh!
Kazi inatolewa kutengeneza website yenye page 5, halafu malipo ni $5 (kama 12000 hivi). Kwa watu wa...
Habari wana JamiiForums, kwa bahati mbaya au nzuri, mambo mengi ambayo naandika au natamani kushare humu yashaongelewa tayari , na hata hii kitu ambayo naandika saa hivi. Freelancing.
Though, approach nlioona inatumika na wengi ni tofauti kabisa na ile ambayo nimekuwa nikitumia hivyo naona ni...
Kwa Wale wapambanaji Wenzangu wa Mitandaoni nikiongelea Upwork nafkiri sio Kitu Kigeni. Kwa Wale Ambao Hawafahamu kuhusu Fursa za Upwork fuatlia Uzi Mbali mbali upate Mwanga.
Moja Kwa Moja Kuna Zile Connect za Kuombea Kazi kule Upwork, Kuna ambazo ni za Bure Kila Mwezi Na Kuna Zile Zinauzwa Kwa...
Hii ni special kwa all internet money hustlers! (Read more....)
Kama umekuwa interested au umefanya research kuhusiana na freelancing then utakuwa umekutana na platforms za freelancing kama vile Upwork, Fiverr, Freelancer na zaidi. Lakini, swali linalokujia akilini at the beginning ni namna...
What's Up, Guys! :)
Najua kuna graduates humu wanaulizia ajira, but vipi ushawaza kujiajiri kama huipati hyo ajira? Najua kisingizio kitakuwa mtaji na factors nyingi ambazo siwezi kuwalaumu. All because ndio elimu yetu ilivyotuandaa, ku blame system na kufukuzia ajira.
So, nimeona nifanye...
Nina mpango wa kuanzisha app and website ya online learning kutoa course mbalimbali.
Nimetafuta developer hapa bongo kwa kweli bei zao zipo juu sana. Wenye uwezo mzuri wamenipa bei ya mpaka million 7.
So nimeona nitafute alternative sababu nimesikia fivver na upwork unaweza pata developer...
Lets keep it straight and simple, Upwork ni platform kwaajili ya professionals so, you have to be an expert in your skills na kama sio expert basi ujue how to source that skill properly.
Points you should consider au ku-note kabla hujaapply kwa hizo kazi.
1) Apply to your skills related jobs...
Kama hujasoma my previous thread about how to start a freelancing business popote pale ulipo bila experience wala mtaji wowote, basi pitia sasa maana nimeelezea everything concerning this business.
Kwa kifupi, Freelancing ni aina ya biashara ambayo mtu yeyote yule anaweza kuuza service yake kwa...
Hi there, I hope upo poa wherever you are...
So, last time nili-post a thread kuhusiana na Jinsi ya kuwa freelancer (Be your own boss working from home), nilipata meseji na replies on how to be approved on Upwork maana most people (wanna-be-freelancers) huwa wanakuwa rejected au banned...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.