Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na maswali ya waandishi wa habari aliyoyajibu leo ni masterclass ya siasa za upinzani katika nchi yetu. Kuongoza upinzani sio oya oya kama wengi wanavyodhani, kunahitaji utulivu akili, uvumilivu, maturity na busara kubwa sana.
Baada ya...
Namibia ipo kwenye uchaguzi kwa Sasa. Uchaguzi huu ulikuwa ni mgumu Kwa chama tawala Cha SWAPO ila vyama vya upinzani baadala ya kuungana vikaamua kila mmoja kupambana pekee yake mwisho wa siku SWAPO inaongoza kwa matokeo ya Sasa kwa Asilimia 48 ya kura za urais mpaka Sasa. Vyama vya upinzani...
Zilikuwa Propaganda tu za kutojianda kwenye uchaguzi, wamethibitisha wenyewe mmeliona.
Hadi muda huu hakuna chama kilichosusia uchaguzi kila chama kipo dimbani kwenye kampeni, CHADEMA wao wameamua kuchangisha kabisa na Fedha za ufunguzi wa kampeni kwa maana hiyo vyama vyote vimethibitisha...
Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na...
Nimekuwa nikitafakari sababu zinazopelekea upinzani kuwa dhaifu hapa nchini ukilinganisha na Kenya. Kwa haraka haraka, upinzani umekuwa ukidorora kwa vile CCM imekwisha gundua udhaifu wa wapinzani kuwa ni njaa ya Pesa na vyeo.
Hali inayopelekea kununulika haraka na kukimbilia Chama Tawala...
Wengi wao wako radhi, na wameridhia kuunga mkono jitihada za Dr. Samia Suluhu Hassan za sasa; na endapo pia ataamua kugombea ukuu wa nchi kwa ngwe nyingine ya pili, basi watamuunga mkono kwa 100%.
Kuna wanachama wachache miongoni mwa vyama hivyo vya siasa vya upinzani, wanajaribu kuweka vikwazo...
Mwenye macho haambiwi tazama kwa mfumo wa uongozi wa taifa letu ambapo rais anakuwa na nguvu nyingi kiwango kinachomfanya hata asie mkubali kujipendekeza kwake ni ngumu sana kwa wapinzani kuambulia chochote sanasana watakacho ambulia ni kile ambacho watawala wametaka.
Tunadanganywa kwamba eti...
Habari zenu wakuu
Mimi Niko mbali sana na mambo ya siasa ila mara Moja Moja huwa naingia mtandaoni kujionea mambo yanayo endelea.
Leo nimeona namna ambavyo Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walivyo changisha pesa kwaajili ya kumtoa jela kijana aliye choma picha ya Mama
Binafsi nimejikuta...
Imekuwa ndio utambulisho wao, na vyama vyao. The tone of their articles, styles of their replies and comments, the languages they use in conversations and engagements, represents fully their political blocks they belong.
Mihemko, panic, ghadhabu na hasira miongoni mwao zimekua zikiwachochea...
Tanzania kuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu. hata hivyo, vipo zaidi ya hivyo vyenye usajili wa muda kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa.
Je, ni kipi kwa maoni yako?
Miongoni mwa vya vyama vya siasa vya upinzani, chenye usajili wa kudumu, ambacho kipo hai, chenye...
Mfano G. Malisa, Mwanamapinduzi Singida, kifupi polisi wameshapewa order toka juu kukamata wanaharakati wote ambao wanachipukia na wakosoaji wa serikali.
Hali hii itarudi kwa kasi kabla ya Uchaguzi wa Mkuu 2025 lengo ni kuwatoa watu kwenye mstari. Hivyo basi watu wawe makini katika shughuli za...
Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata kama wakiiba kura.
Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?
Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.
Tumieni busara kujadili masuala ya msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.