Jinsi ya Kuzalisha Umeme wa Upepo na Umeme wa Jua kwa Kutumia Treni Ikiwa Kwenye Mwendo wa Kasi
Kutumia treni za mwendo wa kasi kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua ni wazo la kiubunifu linalolenga kukuza matumizi ya nishati safi na endelevu. Treni hizi, kama vile zile za SGR, zinaweza...
Hili Taifa lina mafuta na gesi ya kutosha ila sasa wameingia na kwenye miradi ya umeme wa jua!
Umeme wanaozalisha kupitia jua ni sawa na umeme wote tunaozalisha hapa kwetu kupitia maji!
Ety wakuu, kwa huu ufungaji/uunganishaji wa Solar panel, Betri na charging controller umekaa sawa..?
1. Kwenye picha namba 1 inaonesha maunganisho positive (+) nyaya za Betri, solar na taa.
2. Namba 2 kwenye picha inaonesha maunganisho ya negative (-) nyaya za Betri, Solar na taa
3. Namba 3...
Kauli za Serikali kuhusu swala la Mgao wa Umeme zimekuwa kero zenyewe, maana kila siku kuna Vijisababu ambavyo havina majibu.
Sasa mimi nashauri Serikali iangalie namna ya kupata mwekezaji, ambaye atatuletea huduma hii ya kuvuna umeme wa jua na kwa hili jua la Dar yaani umeme utakuwa unanguvu...
Kampuni ya nishati mpya ya Ruixin iliyoko wilayani Xinfeng mjini Ganzhou mkoani Jiangxi, China imejenga kituo cha umeme wa jua chenye uwezo wa kuzalisha megawati 30 za umeme. Seti 28 za vifaa vya kuzalisha umeme zinaweza kusafirisha kwa wastani umeme kilowati saa milioni 30 kwa mwaka kwenye...
Hello!
Umeme wa jua ni bora na ninatamani Watanzania wote wangekuwa nao.
Ukinunua system ya umeme wa jua kwa sh.laki nane unaweza kutumia kwa matumizi ya friji dogo la nyumbani, ukawasha TV, redio, ukanyoosha nguo and so.
Hakuna kulipa kila mwezi kama zamani au kukosa umeme kwakuwa luku...
Tupo katika harakati za kutegemea umeme unaozalishwa na maji na gesi bado tena tunapokea mikopo ya umeme wa jua hii ina maana gani?
Nimefikiria sana sawa ni vyema kuwa na kutumia nishati aina mbalimbali.
Lakini kwanini tusingejikita kukamilisha miradi ilioanzishwa (Bwawa la Nyerere na gesi)...
Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD), imeipatia Serikali ya Tanzania mkopo wa masharti nafuu wenye thamani ya Euro milioni 130, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 361.7 kwa ajili ya kugharamia mradi wa ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme wa jua.
Mkataba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.