Bashe fanya kazi yako na timiza wajibu wako, unalipwa kuleta masuluhisho katika sekta ya kilimo. Acha kufokea raia kwamba watu wanakosoa tu bila kuletea masuluhisho kwa hiyo unawanyima huduma za serikali kwa mamlaka yako uliyo nayo.
Kwanza huna mamlaka ya kuwanyima huduma raia walipa kodi...
Wanabodi
Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi.
Hatua hii imezua mijadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wengi waki speculates sababu za...
Kwa kumbukumbu zangu tangu Rais Samia Ameingia Madarakani. Kuna watanzania ambao wamekutana na Rungu lake uso kwa uso. Baada tu ya kutumia haki zao za kikatiba kwa kusema yale waliyoamini kwamba hayakuwa sahihi kutendeka ndani ya JMT.
Chini ya utawala wa Mama, Mimi ninaweka oridha ya wale...
Nape hana sifa kabisa za kuwa waziri wa Habari ni basi tu Taifa limejaaa kubebena tu, Nape ni mtu asio taka kukusolewa kabisa kwa aina yoyote ile, Huyu ni waziri w a habari wa Tanzania.
Yaani kule X ni bora hata umkosoe Raisi ila sio Nape ambaye ni waziri wa Habari yeye hana uvumilivu kilinapo...
Tokea suala hilo liibuke, takriban miezi miwili sasa, kumetokea makundi makuu mawili.
Kundi la kwanza ni la wanounga mkono huo mkataba. Na kundi la pili ni la wanoupinga, wengi wao wakitaka baadhi ya vipengele virekebishwe.
Binafsi, nipo upande wa wanaotaka huo mkataba urekebishwe ili uweze...
Katika siku za hivi karibuni baadhi ya nchi za magharibi zimekuwa zikitumia majukwaa ya siasa za kimataifa, kutoa kauli na maazimio yanayoikosoa China kuhusu Xinjiang. Ukosoaji huo umekuwa ukitumia maneno yaleyale licha ya kuwa wanaotoa maneno hayo wanatambua kuwa hayana mantiki na yanaendelea...
Kwema Wakuu!
Hakuna Jambo ambalo linanikera kama kumsikia MTU akisema Rais anashauriwa vibaya na washauri wake. Watu wengi wanaosema hivyo ni Watu wasioweza kueleza mambo bayana. Ni Watu wakupindisha pindisha maneno. Wasioweza kutamka nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.
Rais kama kakosea...
Friends and Enemies,
In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.
Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo...
Je, hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe. Si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila.
Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka...
HAKUNA DEMOKRASIA INAYOWEZA KUJENGWA BILA UKOSOAJI WENYE TIJA KWA WALE WALIO MADARAKANI
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI: Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao unategemea uwajibikaji, usawa na uhuru wa kujieleza. Kwa wakati wetu, nchi nyingi duniani zinajitahidi kujenga na kudumisha demokrasia...
Katika wimbo wake mpya, Mwanamuziki Roma Mkatoliki amekilinganisha Chama Cha Mapinduzi na Maandazi na kudai ikiwa atatakiwa kuchagua, atachagua Maandazi badala ya CCM. Siyo lengo kumjadili Roma kwa vile simfahamu binafsi, bali kujibu hoja ikiwa "Kupitia Dola, Serikali imeua hari ya vijana kutaka...
Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki.
Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea.
Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini.
Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.
Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni...
Serikali ya Pakistan imeanzisha sheria mpya ya uhalifu wa mtandaoni ambayo inaweza kuwafanya watumiaji wa mitandao ya kijamii kufungwa hadi miaka mitano jela kwa kuchapisha "habari za kughushi " kuhusu jeshi, mahakama au maafisa wa umma.
Sheria hiyo iliidhinishwa na baraza la mawaziri la Waziri...
Mheshimiwa Job Ndugai, umekuwa ukihaha sana kwa siku za hivi karibuni kikosoa serikali kwa Mambo menngi. Kimsingi serikali sio Mungu na huwa inakosea sana. Japo pia makosa mengi ya serikali zetu yalitokana na udhaifu na Unafiki wa Bunge ambalo wewe umekuwa sehemu ya uongozi wake kwa muda mrefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.