ukiona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moto wa volcano

    Ukiona mfanyakazi anamiliki vitu havilingani na mshahara wake hiyo ni Red flag

    Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wasiwasi , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi maisha yanayozidi mshahara wake. Waajiri kuweni makini hizo ni Red flag za kupigwa
  2. underscore itembe

    Ukiona hivi ujue umeishiwa maongezi

    Habari zenu wakuu Wengi wetu kama sio wote tunawasiliana kwa njia ya simu mara kwa mara, lakini wakati mwingine unakuta kuna ile huna story ya kupiga na aliekupigia/uliempigia, kwangu mimi vitu kama hivi huwa vinanifurahisha haha yaan mtu kapiga ila mnachokiongea sasa! ... Mnaishia kuongea mambo...
  3. C

    Lema: Ukiona mtu anataka kununua uongozi ambao hauna mshahara jua kuna mshahara analipwa kwaajili ya uongozi huo

    Wakuu, Lema anazidi kutema cheche kwenye mkutano wake na waandishi wa habari leo Januari 14, 2025, asema ukiona mtu anataka kununua uongozi akiwa mwenyekiti wa CHADEMA au kiongozi mwingine, kwa uongozi ambao hauna mshahara jua kuna mshahara analipwa kwaajili ya uongozi huo. Aongeza kuwa kwenye...
  4. Saa kumi na moja

    Kuna vitu ukiona hutakiwi kuuliza

    Ukiona 1. Mtu ana mtoto hutakiwi kuuliza kama alisex. 2. Mtu kaleta lorry lina matofali hutakiwi kuuliza anajenga 3.Tecno, itel na infinix hutakiwi kuuliza hii simu inaubora? 4.Mdada kavaaa nguo fupi anatembea moja kwa moja jua anauza papuch 5. Mwalimu kwa hasira kabeba fimbo anaelekea darasani...
  5. Mwachiluwi

    Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

    Tuadhie vitoto vya 2000 huyu jamaa alikuwa anaitwa nani na mambo yake yalikuwaje😂😂😂😂
  6. Loading failed

    Wanawake ukiona unapewa sana attention na wanaume ujue unanuka hapo haupendwi

    Wanawake ukiona unapewa sana attention na wanaume ujue unanuka hapo haupendwi NANUKUU.. Wahenga walisema "kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza hapo hapo wakatuambia mavi ya kale hayanuki" Enyi wanawake mnao ishi kwa kuhisi muda wote nakupenda sana kupewa attention na wanaume mjue mnanuka...
  7. G

    Ukiona wewe ni mpinzani na Sisi CCM tunakuunga mkono, wewe sio mpinzani ni rafiki yetu wa karibu

    Labda Leo tuwaeleze kwa kifupi Sana. Ukiona wewe ni mpinzani, au unajiita mpinzani kisiasa lakini Sisi WanaCCM tunakuunga mkono kwa maneno na vitendo basi fahamu wewe sio mpinzani wetu Bali ni rafiki yetu wa karibu. Na ukiona wewe ni mpinzani na Sisi ccm hatukuungi mkono na tunakuchukia Sana...
  8. Loading failed

    Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

    Ndugu zangu salaam Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila...
  9. KENZY

    Kwasisi wanaume: Ukiona mpenzi wako hakuombagi tendo jua hujui kufanya vyema!

    Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!. wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano maana mahusiano ni mashirikiano ila ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho...
  10. Manfried

    Mwanamke Ukiona una 30s jaribu kutafuta wanaume mtaani kwenu

    30s umri huu Kwa mwanamke anabidi kufocus kutafuta mwanaume kwao huko Mtaani kwao. Sio anadanga huko Mtaani miaka yote na kutoa mimba then anakuja huku ambako afahamiki ili ajipatie dodo kwenye mnazi
  11. Gabeji

    Ukiona kiongozi anajisifia mwenyewe,kuwa yeye ndio amekijenga CHADEMA kuliko wengine atakuwa anashida fulani.

    Jamani napata shida sana,kusikia Mbowe anasema yeye ndio amekijenga CHAMA, eti kwa fedha, mawazo,nk, nijuacho mm kiongozi mzuri na mwenye hekima hawezi kusema yeye ndio umekikuza CHAMA na kukijenga CHAMA ni tasisi, ambayo inajengwa na watu mbalilmbali ndani ya nchi na nje, watu wanatoa michango...
  12. Damaso

    Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

    Siku ya kwanza unamuomba mtoke chakula cha jioni ili kufahamiana (dinner date), anakuomba nauli na hela ya kusuka, mara hana viatu, nusu saa kabla amekuomba umnunulie salio. Achana na hayo matatizo ndugu unakaribisha umaskini. Maskini huwa hawana aibu rafiki yangu, muache atafute kwanza shughuli...
  13. Gunner Shooter

    Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

    Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu...
  14. Magical power

    Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa.

    Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa ,Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka,Popo au aina ya wadudu fulani Follow magical power
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiona ndugu na watu wanamdharau Mkeo ujue wewe mwenyewe Wanakudharau

    UKIONA NDUGU NA WATU WANAMDHARAU MKEO UJUE WEWE MWENYEWE WANAKUDHARAU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Huwezi kuwa Mwanaume mwenye heshima kama Mkeo anadharaulika, na kudharauliwa na watu wengine. Iwe ni wazazi au ndugu zako ukiona Wanamdharau Mkeo ujue hata wewe wamekudharau...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ukiona kijana yeyote ni kada mtiifu wa CCM jua baba yake alikuwa ana nafasi fulani ya uongozi

    Wadau Tusitishane, Tusipangiane na Tusilazimishane. Wengi wa vijana wa ccm {kada} watiifu wamekuwa hivyo kutokana na wazazi wao kuwa watendaji wa vijini/kata, wengine ni watoto wa waalimu hawa huwambii kitu kuhusu chama ma mapinduzi. wengine ni watoto wa mafisadi papa hawa sasa kaa nao mbali...
  17. BLACK MOVEMENT

    Ni nishati safi ipi ya kupikia ambayo Samia anasifiwa kuipambania na kufanikiwa?

    Hili Taifa litaangamizwa na unafiki na uchawa.Samia anasifiwa kwa kupigania nishati safi na salama ya kupikia, ipi hio na wapi? Mbona kasi ya mikaa na kuni iko juu sana? Nani asie jua matumizi ya Mkaa bado yako juu sana? Nani asie jua hata huko Serikalini kwenyewe taasis zake wanatumia mkaa kwa...
  18. OMOYOGWANE

    Sometimes akili nyingi ndio chanzo cha kufeli kimaisha, ukiona imeshindikana kufanikiwa kimaisha jaribu ujinga

    Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni upotevu wa muda na nguvu kwa sababu hesabu anazijua. Sometimes ujinga ni mtaji. Lakini mtu asiye na...
  19. G

    Wanaume! Ukiona unazaa watoto wasiofanana na wewe ujue mkeo ni kicheche ama alikuwa kicheche.

    Wanawake waliojitunza vyema huzaa watoto waliofanana na baba zao. Kinyume na hapo mwanaume mwenzangu ujue umeoa kicheche mstaafu. Huu ndiyo ukweli mchungu kwa wanaume walio wengi.
  20. Ezra cypher

    Ukiona mtu anaandika matusi na content ambazo hazieleweki fanya hivi.

    Ukikutana na Contents ambazo hazieleweki Fanya hivi Angalia huyo anayeandika amejiunga lini JF ukikuta ni 2020-2024 usiangaike kumjibu Hao ni vijana wa Facebook Hapa JF kuna I'd moja ya mkongwe ambaye hataki kukua kiufahamu anajiita po po ma
Back
Top Bottom