Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.
Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni...
Uislamu ulianzishwa kwa Afrika katika karne ya 7, mwanzoni kupitia kimbilio la Waislamu wa mapema nchini Ethiopia na ushindi wa baadaye wa Waislamu na biashara katika Afrika Kaskazini.
Dini hiyo ilienea kupitia njia za biashara kuvuka Jangwa la Sahara kuingia Afrika Magharibi na pwani ya Afrika...
Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.
Mambo ya Msingi katika Uislamu...
Habarini,
Ni kiasi cha kufikiri kidogo tu na wala haihitaji nguvu nyingi au muda mwingi juu ya ukweli.
Kama waarabu wanatuuzia mafuta kwa bei kubwa na waliwauza WAAFRIKA kama bidhaa hivi kweli mtu mwenye akili zako unaweza kusimama na kupiga kelele kuwa watakupeleka mbinguni?
Kama wazungu...
Ni wajibu wa Waafrika wote wasomi na wasiokuwa wasomi kukaa chini na kutafakari juu ya domokrasia,ukristo na uislam kwa maendeleo ya Afrika.
Ni wazi vyote hivi vimeingizwa Afrika ili kuwapumbaza Waafrika wasiweze kuamsha akili zao na kuzitumia ipasavyo kuwaletea maendeleo yao wenyewe pasipo...
Mtasalimiwa na Boss la DP World
Nilijua ndani ya ukristo tu ndo kuna madhebu yanayopingana huku yote yakimuamini YESU.Ebu ona hapa.
1.Wakati kuna wakrito wamefunga Kwaresma kuna wakristo hawana habari na huo mfungo na hawautambui.Ila wote ni waumini wa Kristo.
2.Wakati kuna waislam wamemaliza...
Habarini,
Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini.
Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
Sipo Hapa Kubeza,Kukashifu au Kutweza Dini Au Imani ya Mtu yeyote",
Hivyo Tafadhari Wazee wa kuita Wengine Wapinga kristo Au Makafiri Mpite Mbali Huu Uzi Hauwahusu".
Sina Shaka Na Uwepo Mungu Kwa Uelewa Wangu wa Kupembua Mambo Nimejiridhisha Na Kuthibitisha Uwepo Wa Mungu".
Ila Kwa Miaka 23 Ya...
ugonile,
huu mwaka nilikua na mpango wa kuoa ila nimeghairi baada ya kuchuja kati ya wachumba wangu wote nlokua nao [wote wakristo] hamna mwenye quallities ninazozitaka na ukizingatia na sheria za dini ya kikristo kwenye masuala ya matrimony kiujumla imebase sana upande wa pili endapo ndoa...
Jabarini,
Hivi kweli hata wasomi wa Kiafrika wenye Phd wamegoma kabisaaaa kutambua kuwa Ukristo na Uislam siyo kwaajili yao bali ni kwaajili ya warabu na wazungu/wakoloni.
Yaani wameelezwa kuwa Waafrika wametokana na manyani na wakati huohuo wameelezwa kuwa wametokana na udongo pia wametokana...
Wanabodi, hakuna haja ya kuzungusha.
Hakuna ubishi.
Waanzilishi wa Ukristo na Uislam ni Yesu na Muhammad.
Hakuna ubishi kuwa hakuna anayejua namna hawa waanzilishi walivyofanana wala kuwa.
Hakuna ubishi, wakristo wana picha feki za wazungu waliomuigiza Yesu.
Hakuna ubishi, waislam hata...
Middle East kuna dini kuu tatu (Christianity, Islam na Jews).
Kwanini Uislam na Ukristo uliletwa Africa na sio Uyahudi?? What went wrong with Jews??..
~ SIPENDI SIASA ~
Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu.
Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo:
1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO?
Kutegemea Umri...
Miezi michache iliyopita kumekuwa na hoja nzito ikielekezwa kwa uislam. Hasa suala la kutumia lugha ya Kiarabu katika ibada. Mpaka ikaonekana kwamba uislam siyo dini, bali ni chombo au mpango wa waarabu wa kueneza tamaduni, mila na desturi zao.
Pia lingine ambalo watu wengi wameanza kulimulika...
Angalizo; Andiko hili halilengi kubagaza Imani ya mtu yeyote, wala kutweza utu wa yeyote yule... Hili ni andiko la shuhuda fupi na ukuu wa Mungu dhidi yangu baada ya kubadili dini.. Ni hiyari yangu kuyaandika machache hapa...
Katika kipindi cha miaka mitano, Yani kutoka mwishoni mwa mwaka...
Katika dini mbili za mapokeo na nyemelezi, ukristo na uislam, kuna vitu viwili vinanipa taabu kidogo.
Mosi, ni urafiki wa Yesu na wanawake wawili toka Bethania ambao walionekana kuwa karibu naye kiasi cha kuweza kuona kama walikuwa na mapenzi na si urafiki.
Pili, ni vifo vya watoto wa mtume...
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.