uhuru na haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Chadema wanahamasisha Uhuru na Haki ya kupiga kura,CCM wanahamasisha kificho cha wizi kura

    Huu ndiyo ukweli mchungu wa watawala,yaani CCM wanajua kabisa wakikubari matakwa ya Chadema wamekwisha,maana yake kuanzia mawaziri ambao wametokana na ubunge mpaka wabunge wenyewe kwa asilimia kubwa hawatarudi bungeni Yaani kuwepo na tume huru,Uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki bila polisi...
  2. K

    Pre GE2025 Uchaguzi ukiwa wa uhuru na haki, Tundu Lissu anashinda kweupe

    Hili halina mjadala hata CCM wanalijua hilo,leo hii kukawepo na tume huru ya uchaguzi,kila kitu kikaenda kwa haki Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa, Lakini CCM kwa kulijua hilo ndiyo maana hawaachi fingusi zao za kutokutenda haki ili wapate mbeleko za kuwabeba wajifanye wameshinda...
  3. K

    Pre GE2025 Ushauri kwa CCM na CHADEMA kukaa meza moja kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao

    Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana. Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza...
  4. Tlaatlaah

    Umaskini jeuri katika siasa hupelekea mwanasiasa kujidhulumu hadi uhuru na haki zake za msingi kikatiba na kuambulia hasara kwa kujitapeli mwenyewe

    Kuwaza, kupanga, kuamua na kutenda jambo lolote lile hususani kisiasa lenye kudhuru, kuumiza au kukuathiri wewe mwenyewe na pengine jamii Fulani, ni miongoni mwa dalili za mwanzo sana za dosari au kasoro katika uongozi wa taasisi za kisiasa au afya ya akili hususani kwenye siasa. Kwa mfano hapa...
  5. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Watanzania msikubali kubabaishwa au kurubuniwa fikra, uhuru, pesa na haki zenu za kikatiba za kupiga kura, uchaguzi mkuu Mwaka huu2025

    Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote. Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025. Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania. Asitokee kibaka au tapeli wa kisiasa, eti kwa maslahi yake binafsi na familia yake, akawadanganya kwamba...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 Ester Bulaya: Lissu ana uwezo wa kutufikisha kwenye Demokrasia ya kweli. Apongeza CHADEMA kwa Uchaguzi Uhuru na Haki Bungeni Dodoma

    Wakuu Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  7. Tlaatlaah

    Aikaeli Mbowe kaonesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa

    Friends, ladies and gentlemen. Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu? Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa. Kitendo cha...
  8. Tlaatlaah

    Maandamano ni uhuru na haki ya Kikatiba ya kila mwananchi, ila 'Samia Must Go' as aim of maandamano was wrong

    Ikumbukwe majuzi tu CHADEMA wamefanya maandamano ya amani, zaidi ya mikoa 10 nchini. Na wakaenda kupeleka petitions zao maeneo malimbali ikiwa ni pamoja na UN-Tanzania, na wala hapakua na Tatizo lolote. Walipewa full security na polisi Tanzania.. Sasa what went wrong kwenye haya maandamano ya...
  9. mwanamwana

    Pre GE2025 Askofu Bagonza: Ushahidi wa Marko Ng'umbi unasambaratisha uhalali wa TAMISEMI na tume “huru” kusimamia chaguzi kwa uhuru na haki

    Askofu Bagonza "Jumapili ya 1 September mosi 2024, mmoja wa watekaji wa 4R alijitokeza hadharani na kutoa siri kuwa alihusika katika kuvuruga Nchi na kufanya uhaini wa serikali dhidi ya wananchi, ni aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido anayeitwa Marko Henry Ng'umbi, Rais ametengua uteuzi wake...
  10. J

    Tundu Lissu: Uchaguzi wa TLS umekuwa Huru na wa Haki kama ilivyo kawaida yetu

    Wakili Msomi Tundu Antipas Lisu amesema Uchaguzi wa TLS ulikuwa Huru na Haki kama ilivyo kawaida yao miaka yote. Lisu amesema Jukumu Kuu la TLS ni kusimamia Utawala wa Sheria nchini na kuwawakilisha Wananchi Mahakamani. Soma zaidi: Uchaguzi wa Rais TLS: Nani kuibuka kidedea Urais TLS 2024?
Back
Top Bottom