Picha au video inaweza kudaiwa kurekodiwa sehemu tofauti na eneo halisi, jambo linaloweza kusababisha upotoshaji unaoweza kuibua taharuki katika jamii.
Ili kubaini Uhalisia wa eneo, chunguza alama zilizopo barabarani na majengo kwani zinaweza kuonesha utambulisho wa eneo husika.
Hakikisha Taarifa unazozisambaza kwa watu wengine unazithibitisha kwanza uhalisia wake ili kuepuka Taarifa Potofu kwani zinaweza kusababisha taharuki katika jamii.
Tumia Jukwaa la JamiiCheck.com kuwasilisha Taarifa unayohitaji kupata uhalisia wake huku ukijifunza namna sahihi ya uthibitishaji...
Thibitisha kutoka kwenye chanzo halisi cha maudhui ili kupata uhalisia kamili, mfano wapotoshaji wanaweza kuhariri video na kubadilisha uhalisia wake hivyo kusababisha upotoshaji unaoweza kuibua taharuki katika jamii.
Unaweza kutumia Google reverse image search kama nyenzo itakayokusaidia...
Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati.
Unaweza kupata maarifa zaidi kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujua mbinu muhimu zinazokuwezesha kubaini uhalisia wa Taarifa...
wananchi masikini wanahangaika ila mabeberu wapo bize kununua magari ya milioni mia nne ++ wakiendelea kula rushwa na kurundika madeni nchini, mwisho wa siku wanaachia ngazi na madeni yakushiba
Kabla ya kuilaumu Rwanda kuhusu suala la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), nataka nikupatie historia fupi kuhusu kinachoendelea katika sehemu ya mashariki ya Congo. Hii ilianza vipi?
Unachosikia kila mara ni kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa M23, na serikali ya DRC...
UHALISIA
: REALITY (uhalisia) tunautengeneza ndani ya fikra zetu,Tunaweza
Kuubadili uhalisia kwa kuanza kubadili mfumo wa FIKRA zetu.😎
: Usikubali kukosewa HESHIMA kabisa hata kutoka kwako wewe mwenyewe....
: Hupaswi kukaa karibu na watu ambao hawakuheshimu,wala kukuthamini.
TUmia kutokuwepo...
👉🏾Katika ulimwengu wa leo, ambapo familia nyingi zinapitia majaribu makubwa ya kijamii na kiuchumi, ni vigumu kuzipata familia zinazoonyesha umoja, upendo, na utakatifu wa kweli. Hata hivyo, Familia Takatifu Yesu, Maria, na Yosefu ,inaendelea kuwa kivuli cha matumaini, ikitufundisha kuwa familia...
Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo
Je Demokrasia tunayotegemea imebakia kwenye Kuchagua watu wa Kutuamulia mambo au Kuchagua watu wa kuwakilisha...
Niaje niaje baada ya mdau mmoja hapa jukwaani kupost orodha ya matajiri nikajaribu na mimi kupitia katika ile top 20.
Marekani kaingiza watu 14 yaaani ilibakia kidogo wawe ni marekani tupu 1-20 harafu eti wanaibuka watu fulani wanasema China atakuja kuipita Marekani 2060
Hiyo ni alinacha kama...
Habari za muda huu wanajamvi!
Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?
Nimeuliza hivi kwa...
Utotoni ni kipindi ambacho watoto hupokea taarifa mbalimbali, zikiwemo Potofu na Sahihi, na mara nyingi huziamini hadi ukubwani.
Je, kuna Taarifa yoyote uliyoambiwa utotoni inayokupa shaka sasa, na ungependa kupata Uhalisia wake?
Salam,
Tunaendelea katika episode nyingine ya 'MZINDUE AWESO MAJI YAREJEE', na leo tumpe mbinu nyingine ya kujua uhalisia wa kinachotokea mtaani. Yaani hii wiki inaenda kuisha kule Mbezi Beach maji yametoka haijazidi siku moja, afu Waziri Wizara ya Maji huko anajitapa tu maji yapo na chawa...
Indepencence Day na Project 2025 ndo itakuwa habari ya mjini ifikapo January 1, 2025.
Ndege maalum ya kutoka angani au Spacecraft itatua katika ardhi ya nchi hii na iyakuwa imejaa abiria kadha wa kadha. Abiria wengi ni viumbe wa ajabu au Aliens na watakuwa ni hatari yaaani "vicious".
Ni jukumu...
Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia imeleta mapinduzi makubwa – unaweza kujifunza stadi mpya kwa kucheza michezo!
Fikiria hili, wewe...
https://www.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kusimama yenyewe bila kuwa na ushirikiano wa Nchi nyingine.
Akiitaja Tanzania amesema dhana ya kuwa...
Maandamano yaliyofanyika jana, yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yameonyesha wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakabiliana nazo katika kuhamasisha wananchi na kuonekana kama nguvu halisi ya upinzani. Hii ni mara nyingine ambapo CHADEMA imeshindwa kufanikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.