Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda.
Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania?
Mfano hii pikipiki ukiambiwa ni TVS unakataa, na ukaambiwa mpya ni $3,000 tu kabla ya usafiri na kodi.
Kwamba hatuwezi...
Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia sababu kwa nini wateja wanapenda BOXER.
Kwanza itakua ni wendawazimu mkubwa Kwa WATU tunaowaita Mawakili kua Wala Rushwa na Kupokea Rushwa ili mradi kura wampigie mtu anayetakiwa na Serikali.
Pili, Ni Ujinga wa kiwango Cha juu sana ikiwa Serikali itahitaji Kuiongoza TLS.
Tatu, Hili la Online TVs zote kua na Mtangazaji Mmoja, ni...
Tunauza pikipiki zote za tvs kwa bei nafuu sana.
Tvs 125 4 gear utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 2 na laki tisa tu.
Tvs 125 gear 5 utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 3 na laki moja tu.
Tvs King ya mafuta utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 9 na laki 9 tu, Tvs king ya...
Pikipiki Boxer or TVS inahitajika iwe katika condition nzuri
Location: Mwanza
NB: Isiwe mbovu, na pia kama una brand nyingine kama Honda na bei reasonable nicheki.
Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya
Bajeti: laki saba Saba Kila Moja
Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane.
Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu
Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu
Karibu
Wasalaam wakuu humu ndani,
Mwezi ujao natarajia kuingia dukani kuchukua chombo cha usafiri pikipiki.
Kuna hivi vyuma Boxer na tvs kwa haraka haraka unaweza ukadhani ni vyuma sawa.
Lakini wataalamu na wazoefu wanavijua vema kipi kinamzidi mwenzake.
Naomba ushauri wenu ipi ni nzuri hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.