tume huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Tume huru ya uchaguzi iweje?

    Tumekuwa tukiwasikia viongozi wa Vyama vya Upinzani wakidai Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 uwe wa haki na huru. Sasa najaribu kutafakari, hawa vyama pinzani wataona uchaguzi wa 2020 kuwa upo huru na haki endapo watausimamia wenyewe? Maana inafahamika sheria na taratibu za uchaguzi zilivyo na...
  2. Erythrocyte

    CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote wa halali mahali popote nchini Tanzania

    Wakuu Kwa sasa nimeamini kabisa kwamba Hakika ccm maji yamefika shingoni , hata kama ni Dodoma ambako inasemekana ni ngome yake , hiki chama hakiwezi kushinda uchaguzi wowote ule unaoshirikisha vyama vingi na unaowapa uhuru wananchi kuchagua baada ya kusikiliza kampeni za wagombea wote kwa haki...
  3. Siwamilele

    Katiba Mpya, Tume huru chini ya CCM ni ndoto ya mchana! Upinzani chukueni hatua

    Ndugu zangu, hizi kelele zisizokoma kila siku za kwamba, tume ya taifa ya uchaguzi haiko huru, katiba tuliyo nayo ni mbovu na kwamba imepitwa na wakati, ni madai ya msingi kabisa. Tumeona uchaguzi ulivyo vurugwa, katiba yenyewe tuliyo nayo inavyo siginwa na watawala, wenye mawazo na mtazamo...
  4. Mystery

    Kama Serikali imepeleka miswada kadhaa kwa hati ya dharula, kwanini isipeleke wa kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi wenye maslahi mapana kwa Taifa?

    Tunafahamu kuwa serikali yetu imekuwa "bingwa" wa kupeleka miswada kadhaa Bungeni kwa hati za dharula, swali kubwa ninalojiuliza hivi sasa ni kuwa kutokana na kilio cha mamilioni ya watanzania wanaotaka Tume huru ya uchaguzi, ni kwanini serikali hii inapata "kigugumizi" cha kupeleka muswada huo...
  5. J

    Kwa sasa hakuna Mpinzani wa kuipigania Tume Huru ya Uchaguzi waliopo wanategemea huruma ya CCM

    Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya. Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru. Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado...
  6. Mmawia

    Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM. Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana. HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa...
Back
Top Bottom