Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za...
Nimeshindwa na kutoelwewa kwa nini TANROADS wanajenga mifumo ya flyover ambayo inahitaji taa za kuongoza magari (traffic lights) kwenye barabara zilizo busy. Mfano ni flyover za Ubungo, Tazara na junction ya Kilwa road/Mandela road. Ni kwa nini TANROADS wanatumia mifumo ya flyover sehemu kama...
Baadhi ya polisi wa barabarani wamekuwa wakiandikia fine malori ya mizigo kwa makosa ambayo hayapo ili wajipatie pesa. Mfano kosa la gari bovu. Gari limetembea kutoka Mwanza hadi Dar ila wanasimamisha wanaandika gari bovu kisa hamna nati moja au mbili au bumber limechomoka.
Gari bovu linawezaje...
Mimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola , Nissan dualis, gari yoyote Namba c, b, A na vigari vyote vya chini ya milioni 20 , na hata...
Kwenye video ambayo inasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, trafiki mmoja nchini Kenya ameonekana kukamatwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuwa alitaka kupokea rushwa.
Video isiyo na tarehe imewaonyesha raia wakimzingira trafiki huyo kwa madai ya kuvunja kioo cha matatu...
Askari wa usalama wa barabarani 168 wamechukuliwa hatua zikiwamo kushtakiwa kijeshi, kuhamishwa vitengo na kufukuzwa kazi, kutokana na makosa ya kinidhamu ikiwemo rushwa katika kipindi cha kuanzia Juni 2023 hadi Juni 2024.
Mwanasheria wa Kikosi cha Usalama wa Barabarani, Deus Sokoni ameeleza...
Hawa watu wanaofanya kazi katika hizo sekta Mara kwa Mara huwa nakutana nao.
Ila kinachonishangaza kwao, kwa pesa wanazopata ukiondoa mishahara wanayolipwa hawa jamaa, wanapata pesa nyingi sana.
Sasa maendeleo Yao na Pesa wanazopata haviendani, pia usiombe ukutanenao ukiwa na mzigo, kweli...
Mimi ni mtumiaji Sana wa usafiri wa haice mkoa wa Arusha.
Nimekuwa nashuhudia kila wakati nikiwa natumia usafiri huo kuona trafiki wakipokea rushwa Kama watoza ushuru wa sokoni, bila kificho chochote.
Hasa maeneo ya friends cona, sasa na madereva wamezoea na kuona kwamba huo ni wajibu wao...
Habari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama...
Jeshi la Polisi Mkoani Manyara linamshikilia Askari wa Usalama Barabarani kutoka Mkoani Arusha SGT Ismael Katenya (48) anayeonekana pichani, kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi mabunda 340 yenye uzito wa kilo 140 iliyokua ameiweka ndani ya mabegi.
Taarifa ya Polisi Manyara...
Hapa ni mtaa wa Mshangano Manispaa ya Songea pembeni kuna michepuko wa kwenda Tunduru, Mtwara hadi Dar gari zote zinapita hapa barabara haiwezi kuhimili.
Halafu hapa stendi watu wengi na hakuna trafiki raia anajitolea huyu.
Toka taasisi hii imeanzishwa sijawahi kusikia wamekamata Trafiki akichukua rushwa. Wakati Hawa jamaa wamejiwekea malengo Kwa siku kukusanya kiwango kadhaa. Mtego wao Ni rahisi Sana. Chukuen hatua
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limesema zipo Sheria zinazotoa miongozo na taratibu za matumizi sahihi ya Barabara hapa nchini huku likiwataka madereva kutokuwa chanzo cha huzuni kwa watanzania kwa kusababisha ulemavu wa kudumu na kupoteza Maisha ya Watanzania.
Hayo...
Polisi Trafiki watatu walikamtwa jana Alhamisi 30/11/2023 asubuhi eneo ambalo maafisa wa kupambana na rushwa walisema ni maarufu kwa kukusanyia rushwa kando ya Barabara ya Mai Mahiu katika makutano ya Karagita huko Naivasha, Kaunti ya Nakuru
Kulingana na Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifuatilia hali mbaya ya Foleni hasa nyakati za Jioni na Asubuhi, chanzo kikubwa cha Foleni kimekuwa ni utaratibu mbovu wa Trafiki kuongoza Magari ya upande mmoja kwa muda mrefu wakati mwingine hadi nusu saa Saa moja kwa upande mmoja.
Pia, Trafiki husimamisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.