Serikali imetangaza viwango vipya vya tozo vya miamala simu na benki zikiwa zimepita siku chache tangu iahidi kuvipunguza kutokana na malalamiko ya wananchi.
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba, kupitia gazeti la Serikali la Septemba 30 ambalo Mwananchi...
Kwamba Waziri anaitia serikali hasara kubwa, na nchi uzorotaji wa kimaendeleo ya teknolojia na ya watu... anaoteshwa, anabadilisha, na anaendelea na kazi!
Kabla ya tozo, sekta ya 'fedha mtandaoni' (mobile money) ilikadiriwa kuwa dola bilioni 4 (Shilingi Trilioni 9.5), kiasi ambacho kwa mwaka...
Naam tozo bado zipo tena nyingi tu. Jemadari wa tozo Field Marshal, mtaalam wa uchumi mwenye PhD, karudisha tu majeshi nyuma wakati mbinu za chini chini zikifanyika kuzikarabati zisiweze kutambulika kirahisi.
Kama kweli tozo zingefutwa hivi leo Kamanda Mkuu wa Tozo, aliyetutishia wananchi kama...
Nimeona Waziri wa Fedha akisema tozo kwenye mabank wameziondoa na tozo walizoziondoa ni kama zifuatazo.
(i) Tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu pande zote.
(ii) Tozo ya kuhamisha fedha ndani ya benki moja.
(iii) Tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki moja kwenda...
Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi.
TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka Sauti za Wananchi - ambalo ni jukwaa la kupigia kura kwa njia ya simu ya mkononi.
Utafiti huo mpya...
Serikali ilipiga kampeni kali ikielimisha juu ya umuhimu wa tozo ya miamala kuwa ingejenga miundombinu mbalimbali nchini ili kuboresha huduma kwa wananchi.
Mwanzo wananchi walipiga kelele juu ya utitiri wa kodi au tozo mbalimbali jambo lililofanya serikali kujitokeza na kutolea...
Hii ndo maana sahihi ya Muongoza njia. Hatimaye Serikali ya Ghana imemuiga Mama asiye na maneno mengi bali matendo mengi, asiye na mbwembwe za kujitangaza hovyo na promo za kijinga anayependa vitu kwenda kwa usahihi na kupata matokeo sahihi, Si mwingine ni Rais Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...
TOZO YA MIAMALA na KODI YA MAJENGO.
Mwigulu Ayaone haya:
1. Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group kuchangisha. Serikali inakata tozo badala ya kulipia matibabu ya raia wake!
2. Wawili wamependana...
Wakuu,
Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri
==========
Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango
=▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
Dar es Salaam.
Wakati wananchi wakiendelea na kilio cha tozo ya miamala ya simu ambayo ina takribani mwezi mmoja sasa, Serikali imesema bado inalifanyia kazi suala hilo na likikamilika majibu yatatolewa kwa umma.
Tozo hiyo ilipitishwa na Bunge katika bajeti mpya ya Serikali ya 2021/2022...
Huo hapo juu ni wizi na hujuma za waziwazi tunaofanyiwa na serikali yetu. Cost of living imekuwa kubwa, uchumi wetu wa kusuasia unazidi kuwa hoi hasa wazazi na ndugu zetu wanaotegemea mpesa, tigopesa, airtel money
kufanyiwa miamala yao. Fikiria ndani ya ada za miamala kuna 18% kodi inayoenda...
Habari wanaJF,
Watanzania tunajiuliza kwa nini Rais wetu wa sasa anaruhusu mambo haya.
Una ajenda gani? Je, wewe hutambui wananchi wako walivyo maskini na fukara sana?!
Ngoja niwaoneshe, Chini yako Mh. Rais Samia umeruhusu mambo haya:
1. Umeongeza gharama za kutuma na kupokea hela katika...
Wanabodi,
Kama watanzania tunapitia katika changamoto nyingi lakini kubwa tatu.
Wakati bado serikali halijapatia ufumbuzi malalamiko kuhusu Tozo ya Miamala ambayo bado imekuwa kero kwa wananchi, likaibuka suala la kukamatwa Mbowe anayetuhumiwa kwa makosa ya kupanga ugaidi.
Wakati hili la...
Hili halina ubishi, Watanzania wengi wanapinga ongezeko la tozo mbalimbali kuanzia kwenye mafuta mpaka kwenye miamala ya simu. Hii tabia ya kupinga haijaja ghafla, bali ni matokeo ya muda mrefu.
Sababu kubwa zinazowafanya Watanzania kupinga tozo hizi, ni kukosekana kwa uwazi (Transparency) na...
Kampuni zinalalamika maana yake serikali haikushirikisha wadau muhimu
Wananchi wanalalamika maana yake wabunge waliagizwa na nani kufanya yale
My Take
Rais ajiuzulu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.