KUREJEA KWA TOTO AFYA KADI MWANGA MPYA BIMA YA AFYA
Na WAF, DODOMA
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya Afya hususan kwa kundi la watoto ambalo linahitaji uangalizi wa pekee.
Mhe. Mhagama ameyasema...
Bima ya Afya ya Taifa wamezindua vifushi vipya ambapo kubwa ilikuwa ni kilio cha watanzania kuhusu toto afya kadi ambayo ilifutwa awali na kwasasa usajili utakuwa kama ifuatavyo
kama unataka kumsajili mtoto wako ambae sio mwanafunzi utalazimika kulipa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa...
Napata wakati mgumu kuelewa kwa nini baadhi ya watu na vyombo vya habari vinasema TOTO AFYA KADI imeboreshwa au kurudishwa.
Inaonekana wengi hawajui nini kimetokea, labda acha niwakumbushe kidogo nini kimetokea.
Tanzania kupitia sera ya bima ya afya, NHIF kama zilivyo bima nyingine wakaboresha...
TAARIFA KWA UMMA
UZINDUZI WA MIFUMO NA KIFURUSHI CHA TOTO AFYA KADI (TAK)
Desemba 06, 2024, Dodoma
1. Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb) anatarajia kuzindua Mfumo wa uandikishaji Wanachama, Mfumo wa Uchakataji Madai na Kifurushi cha Toto Afya Kadi Desemba 17, 2024. Uzinduzi wa Mifumo...
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza kufutwa kwa sharti la kuwa na wanafunzi 100 ili waweze kusajiliwa na kupata huduma za bima badala yake wanafunzi watatakiwa kuchangia 50,400 kuanzia Januari 2025
Tangazo hilo lilitolewa Desemba 5, 2024, jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Huduma za...
Katika mitandao ya kijamii kuna hili la The Aga Khan Hospital linatajwa ila watu wanasahau mapema sana.
Tukumbushane kidogo tarehe
Machi 13, 2023 kutokea Dodoma, tulipata ujumbe huu kupitia vyombo vya habari ukisema.
"MABORESHO KATIKA UTARATIBU WA USAJILI WA WATOTO KUPITIA MPANGO WA TOTO AFYA...
Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400 bila kujali anasoma au hasomi baada ya shirika lenyewe kujipa hasara kwa kuhujumu mfuko ndio wakaja...
Kama unatibiwa india. Au unatoka familia yenye ukwasi huwezi kujua mateso wanayopata watanzania wa kawaida..
Watu wanatumia mitishamba au kwenda kwa mwaposa badala ya kwenda hospital kukwepa gharama kubwa za matibabu. Uongo mkubwa wanakwambia mtoto chini ya miaka 5 anatibiwa bure.
Hata kwa...
Toto afya kadi au bima ya afya kwa wote; Serikali isitafute njia ya mkato kulinda afya zetu
Utangulizi
Katika mjadala unaoendelea nchini kuhusu hatima ya Toto Afya Kadi baada ya kauli za Serikali kusitisha huduma hiyo (iliyolewa mwezi Machi, 2023) na hivi karibuni kutangaza utaratibu mpya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.