tls

GnuTLS (, the GNU Transport Layer Security Library) is a free software implementation of the TLS, SSL and DTLS protocols. It offers an application programming interface (API) for applications to enable secure communication over the network transport layer, as well as interfaces to access X.509, PKCS #12, OpenPGP and other structures.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    TLS kazi yao nini, uwepo wa chombo hiki una manufaa gani kwa nchi?

    Nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa 1. Watanzania tuna matatizo gani, pesa zinazoitwa za serikali in zetu siyo za viongozi kwanini wanazitumia hovyo alafu sisi tupo kimya? 2. Wabunge ambao inasemekana ni wawakilishi wetu ambao wanaisimamia serikali,in wawakilishi ukweli au wapo kwa maslahi yao...
  2. Shujaa Mwendazake

    Rais Samia akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021. My Take: Naona...
  3. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Dkt. Hosea: Rais Samia hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika?

    Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika. Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara. Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda...
  4. Ileje

    Baada ya Spika Ndugai kuwalinda Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, ni wakati wa wanasheria kumuelimisha kuhusu kutii Katiba bila shuruti

    Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia. Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji. Aidha CCM ilipomfuta uanachama Sofia Simba, alimfukuza ubunge bila kuhoji. Cha kushangaza Mwambe...
  5. Mfikirishi

    Dr Hosea: Utaacha Legacy huko TLS ukifanya haya

    1. Simamia TLS ifungue kesi Mahakamani kupinga Ubunge wa Halima Mdee na wenzake. 2. Fungueni kesi Mahakamani kudai Katiba Mpya. 3. Fungueni kesi Mahakamani kudai walioporwa fedha zao na mamlaka za serikali warudishiwe fedha zao. 4. Pelekeni kesi Mahakamani kupinga kikokotoo Cha mafao ya...
  6. pombe kali

    Chama cha Wanasheria (TLS) mngependekeza aina ya uvaaji (dress code) katika mikutano yenu

    Nimeangalia mkutano uliyojumuisha uchaguzi wa raisi wa chama cha wanasheria kwenye vyombo mbali mbali vya habari. Tukio hili kubwa la kitaifa lilifanyika Arusha kwenye jumba kuu la mkutano al maarufu kama AICC ni ukumbi wa mkutano ambao hufanyika mikutano mikubwa ikizingatiwa Arusha ni Makao...
  7. F

    Urais wa TLS hauna impact ya maana!

    Sitaki kwenda deep , ila ninachowashauri Wanasheria (TLS) badilisheni katiba yenu/sheria at least Rais wa TLS akae madarakani kwa miaka 3. Urais wa TLS hauna impact ya maana kwenye Nchi. Ni kama Urais wa DARUSO tu! Wanasheria acheni mambo ya kitoto, onyesheni maturity kwenye projection zenu!
  8. Erythrocyte

    Tundu Lissu ana ushawishi gani TLS, Mbona kila anayempendekeza anashinda?

    Fatuma Karume, Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea, hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono. Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika?
  9. Q

    Dkt. Edward Hosea ashinda urais wa Tanganyika law society (TLS) , apata kura 293 na Flaviana Charles kura 223

    Waliochuana kuwania urais ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hosea, wakili maarufu, Albert Msando, Flaviana Charles, Shehzad Wall na Rais wa zamani wa chama hicho, Francis Stolla. Matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa TLS Edward Hosea 293...
  10. L

    Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa TLS Dkt. Edward Hosea na mwenzake wamwaga fulana kwa wajumbe

    Uchaguzi wa rais chama cha wanasheria Tanzania (TLS) unaofanyika jijini Arusha umeshika kasi kukiwa na wagombea watano ila nimeona watu kadhaa wakiwa wamevaa t-shirt nyeupe zikiwa na picha za wagombea tofauti mmojawapo akiwa ni Dr. Hosea na Shehzad Wall. Sijajua kwa nini wagombea hawa wawili...
  11. waziri2020

    Mgombea urais TLS ahaidi kuondoa makundi na kuleta mshikamano

    Mgombea ahaidi kuondoa makundi na kuleta mshikamano ndani ya TLS . Mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi wa chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS), Shehzada Walli amehaidi kuondoa makundi na kuleta mshikamano ndani ya chama hicho ambacho ni miongoni mwa vyama vya wanataaaluma vyenye...
  12. waziri2020

    Mgombea Urais TLS ahaidi kuondoa makundi na kuleta mshikamano

    Mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi wa chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS),Shehzada Walli amehaidi kuondoa makundi na kuleta mshikamano ndani ya chama hicho ambacho ni miongoni mwa vyama vya wanataaaluma vyenye nguvu hapa nchini. Walli alitoa kauli hiyo leo wakati akihojiwa na...
  13. Infantry Soldier

    Wagombea wa nafasi huko Tanganyika Law Society (TLS). Je ipi ni sahihi kati ya "For President" au "For Presidency"?

    Mambo vp waungwana wa jamiiforums. Wagombea wa nafasi huko Tanganyika Law Society (TLS). Je ipi ni sahihi kati ya "For President" au "For Presidency"? Lengo kuu la kukutana katika platform hii mara kwa mara ni kuelimishana na kusahihishana katika masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya...
Back
Top Bottom