tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Huyu binti ali drop kali ya mji moja hivi alafu ghafla akapotea tena bila kuonekana

    Mitandao hii inaweza kukufanya ukawa star kwa mambo ambayo hukutarajia au ulifanya makusudi ila iikaenda ndivyo sivyo, nafikir ameamua kujificha kuiepuka aibu
  2. and 300

    Wananchi wamuomba Dr Godwin Mollel agombee tena ubunge jimbo la SIHA (2025-2030)

    Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
  3. nzalendo

    Yule ng'ombe hakuuzwa tena

    Ni ng'ombe jike katika familia fulani...huyu ng'ombe alikuwa anakamuliwa maziwa na kuleta riziki kwenye hiyo familia. Mtoto wa kwanza mpaka wa mwisho kwenye hiyo familia alikuzwa na maziwa ya huyo ng'ombe pia vitu mbalimbali vilipatikana kwa faida ya maziwa yaliyokuwa yanauzwa. Miaka ikapita...
  4. LA7

    Vijana wa Arusha hawaheshimu Tena mazishi

    Kule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada. Njoo huku arusha yaani kuanzia siku ya msiba ni kulewa na bangi matusi kwa wingi wakati wa kumpumzisha marehemu ndo inakuwa...
  5. Tunzo

    DSTV wapandisha tena vifurushi kuanzia leo tarehe 1/4/2025

    Kama kawaida yao, wamepandisha tena cha 25,000 kuanzia leo ni 27,000 huu mwaka unaweza usiishe wameshafika 30,000 Sasa akili kumkichwa, ulipie Azam cha 28,000 uangalie ligi ya bongo, spain, na zingine na mazaga zaga Au ulipie DSTV 27,000 ubaki na ligi ya spain na sinema zetu(kwa wale wa hizo...
  6. SAYVILLE

    Yanga haitacheza tena robo fainali ya CAFCL hadi itakapofika mwaka 2076

    Ilichukua miaka 53 toka mara ya mwisho Yanga kucheza robo fainali ya CAFCL hadi waliporudia tena msimu wa 2023-24. Kama tukienda na takwimu hizi zinavyosema, na tukiangalia mwenendo wa hii timu ambayo kila siku wanafukuza makocha, na wachezaji, viongozi na mashabiki wao wameamua kucheza Sinema...
  7. M

    Ee Mungu wa Tanzania, waja wako twakuomba, isijirudie tena hii, tumejua, wa pili kumbe hawi na uchungu kama wa kwanza kwa mali na Watanzania

    Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
  8. Echolima1

    BAADA YA KULEMAZWA NA IDF HEZBOLLAH YAJITUTUMUA TENA KUISHAMBULIA ISRAEL

    Leo tena, kombora lingine limerushwa Israel kutoka Lebanon. Israel wamezoea ving'ora vya roketi na milipuko wakati Iron-Dome ikipopoa makombola kama vile sisi tulivyozoea kunywa kahawa au chai. Wakati mwingine, huwa najiuliza ikiwa ni jambo zuri wamezoea hilo (labda njia ya kukabiliana na...
  9. Abraham Lincolnn

    Bingwa wa vichekesho anaomba mitano tena

    Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Bingwa wa Vichekesho nchini, Anapmba ridhaa apate miaka mitano tena.
  10. Webabu

    Hizbullah wazirusha tena na Syria waanza kuionya Israel

    Leo tena maroketi kadhaa yameruswa uwelekeo wa kaskazini ya Israel na kumfanya waziri wa ulinzi wa Israel atoe onyo na vitisho kwa serikali ya Lebanon. Kuonesha ya kuwa maroketi hayo baadhi yametua na kupiga yalipokusudiwa,waziri huyo amesema madhara yanayoipata Kiryat Shmona basi yataipata na...
  11. M

    BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
  12. Adolph Jr

    Wachina mitano tena, Natafuta spear Original za pikipiki kutoka machimbo ya wachina nimesikia wametufikia

    Hapo vipi? Ni baada ya kuvumilia kwa muda mrefu kutokana na kuuziwa spare(vipuri) vya pikipiki yangu (TVS) msaada wa kwenda kazini kwangu fake kwa bei ya juu sana, baada ya mwezi kimekufa. Naomba kuulizia tafadhari, enyi wakazi wa dar (mimi nipo mkoani) ni eneo gani nikifika hapo dar es salaam...
  13. J

    Nitatetea tena nafasi yangu ya ubunge jimbo la Nkasi 2025

    🛑 NITATETEA TENA NAFASI YANGU YA UBUNGE JIMBO LA NKASI 2025 NILISHINDA UBUNGE 2020 LICHA YA CHAMA KUSUSIA UCHAGUZI, KAULIMBIU YA 'NO REFORMS, NO ELECTION' HAINIHUSU - NITATETEA TENA NAFASI YANGU MWAKA (2025) HUU - AIDA KHENAN, MBUNGE WA CHADEMA NKASI KASKAZINI ==== JamiiCheck imefuatilia...
  14. PendoLyimo

    No Reform No Election imekuaje tena

    No Reform No Election yapoteza mwelekeo Rukwa Licha ya idadi ndogo ya wananchi wanaohudhiria katika mikutano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kihoja kingine ni kwamba baada ya viongozi kuona idadi ya wanaohudhuria ni watoto wadogo wamelazimika kuwaimbisha nyimbo za watoto. Hilo...
  15. Money Penny

    Kujua kama mpenzi wako ana uume mdogo au la, njoo ujifunze hapa kimya kimya bila ugomvi

    Jana nimekaa zangu home mara akaja binaadam na stori zake za town Binaadam: unajua money penny, naona wadada wengi wanalalamika kibamia kibamia kwa wanaume zao, ila shida ni moja hawajui kuwapima size ya mwanaume akiwa hajatembea nae Money penny: upimaji huo ndio ukoje Binaadam: wanawake wote...
  16. Upekuzi101

    Makalla unajidharaulisha sana na siasa zako za mwaka 47, Mpox na Ebola tena?

    CPA Makala anasema chadema wanakusanya pesa za kununua virusi🦠 vya ebola na MPOX Ili uchaguzi usifanyike. Sasa Makala hizo siasa zako nani anakuelewa? Unaongea na population ambayo nusu yake ni vijana wameenda shule na wanaweza ku reason properly. Ulichosema ni kujiaibisha, kukosa agenda na...
  17. Melki Wamatukio

    Sintokaa nitumie huduma za kibenki tena. Rasmi narejea kwenye miamala ya simu

    Walichonifanyia eniembii kinatosha. Nilifungua account lao mwaka Jana November, nikawa naweka tu elfu mbili tatu kama saving, simalizi wiki, nanyofoa pesa zangu, mambo mengine yanaendelea Mwezi Feb mwaka huu nikaweka 85k, cha ajabu leo nimejaribu kutoa 80k wakaleta ujumbe wa insufficient...
  18. Webabu

    Hizbullah warudi tena uwanjani kuungana na wenzao wa Houth na Hamas kuidonoa Israel

    Maroketi matatu kutoka Lebanon yamerushwa uwelekeo wa Israel. Hii ni mara ya kwanza kwa Hizbullah kurusha maroketi tangu pale walipotiliana saina na Israel kusitisha vita. Kama kawaida ving'ora vililia kwa sauti kali kwenye mji wa Metulla wa kaskazini ya Israel. Inaonekana subira imewashinda...
  19. Waufukweni

    Taharuki yazuka Geita mti ulioanguka wasimama tena ghafla

    Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata. Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa...
  20. ndege JOHN

    Mke kukupigia pigia simu na anajua uko kazini Tena bila ishu ya dharura hii imekaaje

    Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako. Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda...
Back
Top Bottom