tanzania mpya

Mji Mpya is an administrative ward in Moshi District of Kilimanjaro Region in Tanzania. The ward covers an area of 1.4 km2 (0.54 sq mi), and has an average elevation of 818 m (2,684 ft). According to the 2012 census, the ward has a total population of 15,293.

View More On Wikipedia.org
  1. Nehemia Kilave

    Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

    Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya. Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia . Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi...
  2. Golden Elimeleck

    SoC04 Tanzania mpya: Kutumia teknolojia ya Blockchain kukabiliana na Ufisadi serikalini na TRA

    Katika habari za hivi karibuni, kuna skendo kubwa imetikisa sekta ya fedha ya Tanzania. Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alihusishwa na wizi wa fedha za serikali, kiasi cha zaidi ya TZS 3.8 bilioni (takriban USD 1.6 milioni). Skendo hii imesababisha wasiwasi kuhusu usalama na uadilifu...
  3. Humble beginnings

    SoC04 Tanzania Mpya: Nchi itoayo fursa kamili kwa mtoto wa kike kutimiza ndoto zake bila vikwazo

    Utangulizi Watoto wa kike nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika safari yao ya maisha. Changamoto hizi huanzia chini kabisa kwenye malezi na ukuaji wao na huzidi kuibuka kadiri wakuavyo katika nyanja mbalimbali kama elimu, jamii, uchumi, na uongozi. Hali hii hupelekea...
  4. Golden Elimeleck

    SoC04 Tanzania mpya yenye uchumi Bora uliochangiwa na uingizwaji wa kimkakati wa teknolojia mpya

     Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, ikiwemo upungufu wa kibiashara(yaani trade deficit) ambayo kwa sasa inafikia karibu 6% ya Pato la Taifa. Kulingana na takwimu za hivi karibuni, mauzo ya nje(Exportation) yanachangia takribani 17.4% ya Pato la Taifa la Tanzania, huku...
  5. Golden Elimeleck

    SoC04 Tanzania tuitakayo ni mapinduzi ya teknolojia na kuunda vyombo vya moto vyenye label ya 'Made in Tanzania'

    Ili kufikia maono ya "Tanzania tunayotaka ifikapo 2040," ya kuweza kuunda vyombo vya moto nchini Tanzania serikali inaweza kuchukua hatua kadhaa za kimkakati kusaidia wabunifu wanaotengeneza helikopta kwa kutumia injini za magari na magari kwa kutumia injini za pikipiki. Hatua hizi zinapaswa...
  6. realMamy

    SoC04 Tanzania mpya: Kuanzisha chuo maalumu kitakachotoa taaluma kwa dada wa kazi za nyumbani

    TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI. Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani. Na katika malezi haya...
  7. Humble beginnings

    SoC04 Tanzania mpya: Nchi yenye Kilimo cha Kisasa chenye Tija kinachovutia Ushiriki Wa Vijana

    Utangulizi Kilimo ni sekta muhimu sana katika uchumi wa Tanzania. Sekta hii huchangia takribani 27.6% ya pato la Taifa (GDP) la Tanzania, ikithibitisha umuhimu wake mkubwa kiuchumi (Benki ya Dunia, 2020). Kilimo pia huajiri takribani 65% ya nguvu kazi ya nchi, hasa katika maeneo ya vijijini...
  8. NAKUKUNDA TANZANIA

    SoC04 Ukasuku wa matabibu katika tasnia ya Afya dhidi ya magonjwa sugu na ya kuambukiza; Suluhisho mbadala katika ujenzi wa Tanzania mpya

    TANBIHI: Nimetumia neno "tabibu" nikimaanisha wataalamu wote wa afya, wanasayansi na wote wanaohusika katika mlolongo mzima wa tasnia ya afya nchini. Neno "tabibu" linaweza kuwa na maana finyu katika Kamusi, lakini kwa madhumuni ya bandiko hili, neno "tabibu" litumie tafsiri niliyoitoa hapo...
  9. WAPEKEE_

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Elimu ya vyuo vya ufundi iwe lazima kisheria kwa vijana wote wanaoshindwa kuendelea elimu ya juu

    TANZANIA TUITAKAYO : ELIMU YA VYUO VYA UFUNDI IWE LAZIMA KISHERIA KWA VIJANA WOTE WANAOSHINDWA KUENDELEA ELIMU YA JUU. UTANGULIZI. Awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, niwapongeze sana jukwaa la JAMII FORUMS, kwa kuanda shindano hili la kibunifu zaidi na lenye...
  10. Eddy the broker

    SoC04 Utawala bora, chanzo cha Tanzania tuitakayo kwa miaka 10 ijayo

    TANZANIA ilitajwa kuwa miongoni mwa nchi nzuri duniani na Bara la Afrika kwa ujumla, kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na tovuti ya money.co.uk kutokana uzuri wa asili wa Taifa hilo lenye vivutio vya aina yake(madini ya kipekee kama Tanzanite, Dhahabu, Almasi), vivutio vya utalii kama vile...
  11. Kwekajr

    SoC04 Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikal ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali

    Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikali ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali yanayofanywa ili kubadili mtazamo wa vijana ambao ni nguvu ya taifa ikiwemo kuanzisha somo la ubinadamu, Somo hili lifundishe utu, maadili, uzalendo...
  12. T

    SoC04 Naitamani Tanzania mpya

    NAITAMANI TANZANIA MPYA Ni zaidi ya miaka 60 sasa tangu Tanzania ipate uhuru kutoka kwa mkoloni mwingereza. Hali zote za kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na maisha ya kijamii zimebadilika kwa kiasi kikubwa sana. Kuna mabadiliko mengi mpaka sasa ambayo serikali katika awamu tofauti tofauti...
  13. Gentlemen_

    SoC04 Tanzania mpya yenye matumizi bora ya nishati ya gesi asilia

    KURASA 1: UTANGULIZI Maono ya Serikali hivi karibuni yameonyesha ni jinsi gani imepania kufanya mapinduzi ya sekta ya nishati hapa nchini, rejea maagizo ya viongozi wetu wa juu hasa Mheshimiwa Rais Chanzo: Mwananchi Pia, Rais Samia hakuishia hapo alitoa agizo kwa mheshimiwa Waziri Dkt. Seleman...
  14. S

    SoC04 Mabadiliko makubwa ya Tanzania mpya

    Kuanzia mwaka 2025 hadi 2030, Tanzania imekuwa shuhuda wa mabadiliko makubwa na mafanikio katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hapa chini ni muhtasari wa story changes ambazo zimejitokeza katika kipindi hicho: 1. Uchumi Imara na Kuchochea Maendeleo: Tanzania imechukua hatua kubwa katika...
  15. kiroba kifupi

    SoC04 Tanzania mpya tuitakayo ambayo si kichwa cha mwendawazimu katika medani za kimichezo na kisoka

    UTANGULIZI. NB: picha ya kibonzo kwa hisani ya mtandao mchoraji Marco Tibasam 📌Tanzania ina historia ya mafanikio katika michezo mbalimbali kama vile riadha, masumbwi,soka, na mengineyo. Ingawa kuna changamoto na maboresho yanaweza kufanywa, kutambua mafanikio na jitihada za wanariadha na...
  16. rashid2025

    SoC04 Kilimo na Ufugaji wa Kisasa: Kuifanya Tanzania Mpya kwenye Kilimo kwa Kuilisha Dunia

    Tanzania ina fursa kubwa ya kusimama kama nguvu ya kilimo na ufugaji wa kisasa ambao unaweza kuhakikisha usalama wa chakula ndani ya nchi na kusaidia katika kutoa mchango wa kipekee katika kuilisha dunia ndani ya miaka 15 ijayo . Kufanikiwa kwa malengo haya kutahitaji mazingira ya kisiasa yenye...
  17. S

    SoC04 Tanzania mpya bila usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa za antibiotiki (Antibacterial Resistance)

    TANZANIA MPYA BILA USUGU WA VIMELEA VYA MAGONJWA DHIDI YA DAWA ZA ANTIBIOTIKI (ANTIBACTERIAL RESISTANCE) UTANGULIZI; usugu wa vimelea ni hali na uwezo wa kimelea kuzidi kukua na kuongezeka dhidi ya dawa kwa kutumia dozi sahihi na muda sahihi wa dawa hiyo kwa kuzuia utendaji kazi wa dawa kwa...
  18. kiroba kifupi

    SoC04 Jinsi ya kujenga Tanzania mpya ambayo sio ndoto za wanasiasa walio wengi

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Karibu kwa maada yangu. Awali ya yote, niwashukuru wote kwa kufika hapa leo. Acha nianze kwa kusema maneno machache kuhusu mustakabari wa ujenzi wa Taifa nikiangalia mitazamo ya vijana, wanasiasa na wananchi kwa jumla. 1. Elimu: Elimu ni...
  19. A

    SoC04 Sekta ya elimu ikiwa hivi naiona Tanzania mpya baada ya miaka kumi na tano(15)

    Utangulizi, Sekta ya elimu Tanzania ndio inaandaa wadau wote wa maendeleo, Kila mmoja katika nafasi yake akijengwa kujua kitaaluma kuino nafasi yake katika maendeleo ya taifa kuna uhakika wa mabadiliko chanya katika katika sekta zote za kiuchumi Tanzania. Mapungufu ya sekta: Kwa bahati mbaya...
  20. Gilbert Prudence

    SoC04 Tanzania Mpya tuitakayo ya mageuzi ya muda mrefu

    Tanzania kama nchi huru na inayoendelea ina Mambo mengi ya kuzingatia ili tufike mbali na tuwe na taifa bora , na nitaangazia katika nyanja kuu muhimu ili kama taifa tufanye mabadiliko. 1. KATIBA MPYA YA WANANCHI Katiba ndo dira na ramani katika nchi yoyote duniani ambayo kila mtu anafata...
Back
Top Bottom