Mpango wa Tanzania kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya umeibua mjadala mzito. Wapo wanaoupinga kwa hoja kwamba tunapaswa kuzalisha na kusambaza umeme wetu wenyewe bila kutegemea nje. Lakini je, hawaelewi au wanapinga kwa sababu tu ya siasa? Ukweli ni kwamba usafirishaji wa umeme umbali...
Mimi ni mmoja wa watu nisioridhika na maelezo yaliyotolewa na serikali kupitia kwa Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati ndg Felchesmi Mramba, juu ya sababu za kuagiza umeme toka Ethiopia.
Sababu zilizotolewa;
Umeme wa mikoa ya kaskazini unapelea au kukosekana kabisa
Kukosekana kwa umeme huko...
By Malisa GJ,
Kwanza, ieleweke kuwa hili si jambo geni. Hii si mara ya kwanza kununua umeme nje ya nchi. Tunanunua umeme kutoka Zambia kwa ajili ya mkoa wa Rukwa, kutoka Uganda kwa ajili ya mkoa wa Kagera, na kutoka Kenya kwa ajili ya wilaya ya Mkinga, Tanga.
Pili, watanzania tunahoji kwanini...
Serikali imeeleza kuwa moja ya changamoto kubwa inayoikumba mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania, ikiwemo Arusha, Manyara, Kilimanjaro, na baadhi ya maeneo ya Tanga, ni upungufu wa msongo wa umeme (voltage drop), hali inayosababisha mwanga hafifu wa taa na kushusha ufanisi wa vifaa vya umeme...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema uamuzi wa Tanzania kuchukua umeme Ethiopia ni kitu chenye faida na si hasara kama watu wanavyodhani.
Mramba amesema ni faida kwa kuwa baadhi ya vyanzo vya umeme hapa nchini vinazalisha uniti moja kwa bei kubwa kuliko bei ambayo...
Ameandika prof. Anna tibaijuka katika ukurasa wake wa X:
UMEME KUTOKA ETHIOPIA (km 1500) HADI ARUSHA UNAKUWAJE RAHISI KULIKO WA KUTOKA RUFIJI (Km 650)?
Taarifa hii ilitushangaza na hata kutushtua wengi. Nikaona nijielimishe kwa wahusika Wizarani. Nikaelezwa umeme utanunuliwa kutoka Station ya...
Nchi nyingi duniani hununua umeme kutoka nchi jirani kwa sababu mbalimbali, kama vile upungufu wa uzalishaji wa ndani, umbali wa umeme wa ndani unaopelekea umeme mwingi kupotea njiani, gharama nafuu ya umeme wa nje, na ushirikiano wa kanda. Hapa ni baadhi ya nchi zinazonunua umeme kutoka nchi...
Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika.
Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa...
Tanzania inalenga kuongeza upatikanaji wa nishati ya umeme nchini kufuatia mpango wa kuanza kununua nishati hiyo kutoka Ethiopia.
Tayari mamlaka za nishati kutoka nchi hizo mbili zipo kwenye meza ya majadiliano kukubaliana kuhusu vifungu, vigezo na masharti ya makubaliana hayo ya miaka 20...
Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) limesema mchakato wa kuuza umeme nje ya nchi umeanza kwa kujenzi wa njia za kusambaza umeme huo kuelekea Malawi, Uganda na Kenya
Mwakilishi wa Shirika hilo, Odilo Mutalemwa amesema hayo kwenye Maonesho ya Sita ya viwanda yanayofanyika visiwani Zanzibar...
Tanzania imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa mabilioni ya Shilingi wa kuunganisha umeme kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na zile za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambao ukikamilika, nchi itauza umeme mwingi nje.
Mradi huo pia utakuwa na faida nyingi...
Wakuu,
Tanzania inapanga kutekeleza mradi wa nishati wenye thamani ya dola milioni 300, ambao utawezesha nchi hiyo kuuza umeme kwa Kenya ndani ya miaka miwili ijayo. Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)...
Tanzania inakusudia kuzalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya Watanzania wote na ziada kwa ajili ya kuunza nje ya nchi ifikapo mwaka 2016.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), Felchesmi Mramba, aliyasema hayo wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi wa shirika hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.