siasa tanzania

Jason K. Stearns (born October 31, 1976) is an American writer who worked for ten years in the Congo, including three years during the Second Congo War. He first traveled to the Congo in 2001 to work for a local human rights organization, Héritiers de la Justice, in Bukavu. He went on to work for the United Nations peacekeeping mission (MONUC). In 2008 Stearns was named by the UN Secretary General to lead a special UN investigation into the violence in the country.
Stearns is the author of the book, Dancing in the Glory of Monsters: The Collapse of the Congo and the Great War of Africa, and the blog, Congo Siasa. He received a Ph.D. in political science from Yale University on May 24, 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Pre GE2025 Jenerali Ulimwengu: Hali ya Siasa Tanzania ni mbaya sana,Uchaguzi hufanyika kimaigizo

    https://youtu.be/eYqrDjwkZ1E?si=IAwIBaBwF_ZH9Mes Redio DW ya Ujerumani leo mchana imeutangazia ulimwengu kwamba hali ya siasa Tanzania ni mbaya sana. Akifanyiwa mahojiano mwanasheria na mchambuzi wa siasa Jenerali Ulimwengu amesema hali hiyo imechochewa na kufunguliwa kwa mashitaka ya uhaini...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 DSM Sheikh Ponda: Hakuna Chama cha siasa nchini kinachohamasisha vurugu, viongozi wa dini wasipayuke bila utafiti

    Sheikh Ponda Issa Ponda amesema hakuna chama cha siasa nchini Tanzania kinachohamasisha vurugu, bali zinaakisi uwepo wa tatizo fulani. Ameeleza kuwa mtu mwenye busara anapobaini dalili za vurugu, anatakiwa kutafuta chanzo cha tatizo hilo ili kusaidia kulitafutia suluhisho. Kupata matukio na...
  3. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Kwasababu ya ukata wa fedha inaoupitia, CHADEMA haiaminiki tena kwa wanachama wake na imepotea kabisa kwenye medani ya siasa Tanzania

    Kwakua CHADEMA haiaminiki tena kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, na kwakua chadema ndiyo chama cha siasa Tanazania, kinacho ongoza kwa kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwajili ya viongozi wake waandamizi na matumizi mengine ya ofisi, Kwa kutumia mifano halisi, elezea faida na umuhimu...
  4. Cute Wife

    Pre GE2025 Kilimanjaro: Waziri Ndumbaro aja na 'Gusa, Achia Twende na Samia Legal Aid' pamoja na 'Ubaya Ubwela' kwa wanaokiuka sheria!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, mwishowe waje na kauli mbiu yenye matusi mradi tu kampeni zifanyike😂:BearLaugh::BearLaugh: ====== Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni utekelezaji wa Rais Samia Suluhu Hassan ya...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Bado nawaza akili za marehemu Magufuli. Yeye anazunguka Tanzania nzima kufanya siasa huku wapinzani akiwazuia na kusema wachape kazi wasifanye siasa

    Hivi yule Mzee alikuwa na matatizo ya afya ya akili? Miaka 5 anazunguka Tanzania nzima kujinadi halafu kipindi cha uchaguzi mkuu 2020 bado tena akawaminya kwa kutumia Dola. Mtu mwenye akili timamu asingeweza kuishi maisha Yale ambayo waliishi ma fascist wa karne ya 15.
  6. Mwl.RCT

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Kwanini Nagombea Uenyekiti wa CHADEMA na Hali ya Sasa ya Siasa Tanzania

    Utangulizi Katika mahojiano maalum na BBC Swahili, mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amefunguka kuhusu safari yake ya kisiasa, mapambano ya kidemokrasia, na mwelekeo wa chama chake. Lissu, anayetambulika kwa umahiri wake katika masuala ya sheria na siasa, anazungumzia kwa...
  7. Mindyou

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Siku ya leo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa ananguruma wakati anazungumza na vyombo vya habari Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo. Katika mkutano huo uliofanyika Mlimani City, Tundu Lissu amedokeza kuwa anagombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA...
  8. Cute Wife

    Pre GE2025 Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

    Wakuu, CHADEMA itasilimika kweli mpaka 2025? ==== Uamuzi wa Tundu Lissu kukusudia kuchuana na Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa Chadema, umekigawa chama hicho pande tatu huku sababu za Lissu kuamua kuchukua hatua hizo zikibainika. Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa...
  9. technically

    Pre GE2025 Ningekuwa na uwezo ningevifuta kwenye uliwengu wa siasa vyama vyote vya upinzania Tanzania

    Tanzania hakuna vyama vya upinzania vyote ni ma agent wa CCM Sema ndani ya upinzani Kuna baadhi ya watu makini ambao ningekuwa na uwezo ningevifuta vyama vyote vya upinzani na kuanzisha chama kimoja Cha kupambana na CCM. Sio chadema sio act wazalendo sio cuf vyote vimejaaa majasusi wanaofanya...
  10. The Watchman

    LGE2024 Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM

    "Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa." Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Bara. Kupata...
  11. Cute Wife

    Pre GE2025 Rais Samia ampa Sheikh wa Arusha Land Rover Discovery limsaidie kwenye shughuli za kidini. Hii si Rushwa kabisa?

    Wakuu, Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini. Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa...
  12. J

    Kwanini CCM inavidharau Vyama Vyote vya Upinzani isipokuwa CHADEMA tu?

    Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana CCM...
  13. Cute Wife

    Pre GE2025 Spika Tulia akionesha umahiri wake kwenye kuchanganya saruji na kupangilia tofati, watafika 2025 wakiwa wamechoka sana!

    Wakuu, Hapa ni Spika Tulia kwenye one and two akituonesha alivyobobea kwenye kuchanya saruji na kupangilia tofali kama picha zinavyoonesha. Nakumbuka na msanii Kigwa alipoenda kula kwa mama ntilie na yule aliyejifanya mkulima wa nyanya, na ukulima ukaisha aliporudishwa kwenye sistimu :KEKLaugh...
  14. Ninja

    Pre GE2025 Rais Samia, anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka kukupoteza na usionekane kabisa 2025

    Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu: Anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka upoteze msingi wako asilia wa ushindi na usimame juu ya msingi usioujua. Kwenye mapigano ya asili, naweza kuwa mpiganaji mzuri nikiwa juu ya farasi lakini nikawa mnyonge nikiwa bila farasi. Au naweza kuwa mpiganaji mzuri...
  15. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Mahakama: Suala la CCM kutumia watoto kwenye Siasa lipo chini ya Mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Mahakama: Suala la CCM kutumia watoto lipo chini ya Mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa Mahakama Kuu Masjala Kuu Dar es Salaam (sasa Masjala Ndogo), imejizuia kuamua kama ni halali au si halali kwa Chama cha Mapin duzi (CCM) kuwahusisha watoto wanaojulikana kama Chipukizi katika shughuli za...
  16. African businesses

    Pre GE2025 Mungu ataikumbuka tena Tanzania 2025, Watanzania wataamua kukiweka chama kipya madarakani

    Leo nimeona niandike kidogo kama sio kutoa ushauri kwa chama kipya kitachopewa idhini na wananchi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania. Kwa ufupi ni kwamba 2025 ni mwaka ambao utalejesha matumaini makubwa kwa watanzania, kwani bahada ya utawala wa muda mrefu wa hiki chama watanzania watahamua...
  17. Lady Whistledown

    Pre GE2025 Ni kwa namna gani Upendeleo wa Kijinsia huwakwamisha Wanawake kushiriki katika Siasa Tanzania?

    Upendeleo wa kijinsia umekuwa mojawapo ya vikwazo vikubwa vinavyowakabili wanawake nchini Tanzania katika kujihusisha na siasa. Wanawake mara nyingi hukumbana na mtazamo hasi kutoka kwa jamii, ambapo nafasi za uongozi zimekuwa zikihusishwa zaidi na wanaume. Utamaduni wa kijamii unawapa...
  18. Z

    Wachungaji na Maaskofu waiache CHADEMA ijipambanue kama chama cha siasa

    Kwa mwaka huu 2024 imekuwa vigumu kujua kama CHADEMA ni chama cha siasa chenye nia ya kuhudumia Watanzania wote au ni Taasisi ndani ya taasisi ya dini katika madhehebu tofauti. Miaka ya nyuma kulikuwa na minong'ono tu kuwa hiki ni chama kinadhaminiwa na Mlengo wa Kikristo. Maneno hayo nilikuwa...
  19. Cute Wife

    LGE2024 Makalla: CHADEMA kazi ya kuwaombea kura siyo ya Serikali ni kazi ya chama

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa matamu, wakuu mkashiriki kupiga kura tujue kama hawa watu milioni wanaokusanywa kwenye mikutano ni wa kweli au ni janja janja ===== "Mbali na kupoteza Dira na mwelekeo chadema wameingia woga, baridi na kuishia kulalamika. Jana nilimsikia Mnyika anasema serikali...
  20. Cute Wife

    CCM wanatetemeka na kububujikwa machozi kwa uoga, waacha kurusha live mikutano ya Nchimbi, wanajua hamna kitu pale wasije kuaibika nchi nzima

    Salam kwa jina la Lucas Mwashambwa, Wakuu sasa hivi kama mmechunguza mikutano ya CCM anayofanya Nchimbi akiwa amembatana na Makala hairushwi live. Wanaweka tu vile vipande wanavyotaka kudanganya watanzania au wanavyowananga CHADEMA. Ukiona wamerusha ka video kama hawamsifii Rais Samia basi...
Back
Top Bottom