siasa na uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mkuuwakaya

    Lissu ana akili ila sio ya siasa na uongozi

    Nasema hivi Chama hawezi achiwa Lissu. Mimi namkubali sana Lissu lakini sio aachiwe Chama. Hapo NO kabisa aisee. Staili ya kuchafua wengine ili upate uhalali wa kuwa mwenyekiti hapo hapana. Kwenye sanduku la kura huyu tayari ameshashindwa. Nasema hivi kama angekuja kwa staili ya kutulia...
  2. Mhaya

    Samia Suluhu awa Rais wa Kwanza nchini kumiliki application yake kwa ajili ya kazi Siasa na Uongozi

    Nimepita katika pitapita zangu mitandaoni, pale mjini Instagram nakutana na page inayoitwa @samia.app nikawa natazama ajali ya kariakoo ambayo bwana Alikiba alikuwa anahojiwa na page hiyo ya Samia.app kuhusu ajali hiyo ambayo yeye pia alifika kutoa msaada na kuangalia namna zoezi linavyokwenda...
  3. Lady Whistledown

    Halima Mdee, Dorothy Semu, na Dkt. Dorothy Gwajima ni baadhi ya mifano Bora ya Wanawake kwenye Siasa na Uongozi

    Halima Mdee Alikuwa Mbunge wa Kawe kuanzia 2010 hadi 2020 (CHADEMA) akiwa miongoni mwa Wanawake wachache walioweza kuingia Bungeni kwa kupitia vyama vya Upinzani. Aliwahi pia kuwa mwenyekiti wa BAWACHA Dorothy Semu Mwaka 2020 aliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Chama cha ACT-Wazalendo...
  4. Waufukweni

    Hamisi Kigwangalla: Siasa na Uongozi ni Vita, niliomba kujiuzulu mara mbili, bila kulindana mnajikuta mnamalizana

    Kumbe Hamisi Kigwangalla aliwahi kuandika barua za kujiuzulu Uwaziri mara mbili akiwa Wizara ya Maliasili, akidai sababu ni vitu vya kipuuzi na masuala ya umbeya. Barua ya kwanza ilichanwa mbele yake, na ya pili hajui iliishia wapi, lakini hakuondolewa baada ya vikao kadhaa. "Mimi nimewahi...
  5. F

    Ni hatari kuacha watu wengi kufuatilia Siasa na Uongozi wa Nchi! Wazindike kwa burudani kama Mipira n.k

    Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti. Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri! Kenya kwenye burudani kama mpira na...
  6. Thureya khamis

    SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Utangulizi Siasa ni mchakato wa kufanya maamuzi na kuunda sera ambazo zinahusisha utawala na usimamizi wa jamii. Hujumuisha shughuli kama vile uchaguzi, utoaji wa sera, na ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Uongozi ni uwezo wa kuongoza na kusimamia watu au jamii kuelekea kufikia...
  7. Yoda

    Tusiendekeze nyadhifa(titles) za kifamilia katika siasa na uongozi wa umma

    Kuitana "mama yangu", "baba yangu", "mdogo wangu", "kaka yangu", "dada yangu", "shangazi yangu", "shemeji yangu" na vyeo vingine kama hivyo katika shughuli za siasa na umma ni utamaduni mpya uliovuka mipaka, kushika kasi na sasa unaanza kukomaa. Zamani vyeo vya kifamilia ambavyo nilikuwa...
  8. Y

    SoC03 Siasa, Uongozi, Utawala na Uwajibikaji: Nini hatima ya Tanzania yetu?

    Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa katika jamii kwa sababu zinaweza kusababisha athari za kudumu kwa raia wote. Katika makala hii...
  9. M

    SoC03 Kuunda Mabadiliko ya Kweli: Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi

    Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi Utangulizi Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Katika andiko hili, tunapendekeza mabadiliko yanayolenga kukuza utawala bora na uwajibikaji katika uwanja wa siasa na...
  10. Millionaire Mindset

    Mswahili afunguka. Kwanini CCM kila siku na sio upinzani? Mazito 4 yafichuka

    Katika Hatua za awali za mradi wa MSWAHILI , wataalamu wa KEL wameamua kupima uelewa wa MSWAHILI kwenye masuala ya kisiasa. Mahojiano yalikuwa hivi: Msimamizi: ninaweza kufahamu kuna vyama vingapi vya siasa nchini Tanzania? MSWAHILI: Habari, Tanzania ina vyama vingi vya siasa, lakini muhimu...
  11. EBENEZER S MATHEW

    Tunakwenda wapi? Tujiangalie vijana

    Ni usiku sana ninapoandika ujumbe huu. Usingizi umepaa, amani nimekosa, moyo umekataa kutulia. NINAOGOPA. Napata uoga kila ninapotaza hali ya vijana wa leo. Vijana wenzangu. Nguvu kazi, watu wa muhimu kuelekea maendeleo ya taifa. Napata mashaka ninapofikiri kuwa vijana hawa ndio wanaopaswa...
  12. F

    Picha hii inasema sana kuhusu siku zijazo kwa siasa na uongozi wa Tanzania

    Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii. Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi. Mwanga utajadiliana na giza, na...
  13. Pascal Mayalla

    Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume

    Wanabodi, Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana...
  14. Makonyeza

    Dakika 40 kumjadili Babu Tale ni matumizi mabaya ya nafasi za ubunge

    Athari za kuwa na bunge la upande mmoja yaani wabunge wenye itikadi ya upande mmoja inazidi kutuathiri kama taifa, na laana zimshukie aliyeyasababisha haya. Taifa letu lina matatizo mengi sana ambayo yanahitaji kujadiliwa na kupatiwa ufumbuzi na wawakilishi wetu pale penye mkusanyiko wetu wa...
  15. Bams

    Hoja ya Ukomo wa Uongozi kwenye vyama vya upinzani ni kukosa Uelewa, Maarifa na Unafiki

    Kuwekeana mipaka kwenye ulaji ni jambo la hekima, lakini kuwekeana ukomo kwenye kujitolea ni ama kukosa uelewa, kukosa maarifa, au anayetaka hilo liwepo ni mnafiki, ana dhamira mbaya. Kuweka ukomo wa muda wa uongozi ndani ya CCM na ndani ya Serikali, ni jambo la muhimu sana. Uongozi ndani ya...
Back
Top Bottom