rushwa ya ngono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    DOKEZO Unyanyasaji na Rushwa ya ngono vinawaathiri Wanawake Wafanyabiashara Stendi ya Kuu ya Magufuli (Dar), Serikali ifuatilie haya madai

    Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo. Wanawake hawa, wanaojishughulisha kama mamalishe, Wabeba mizigo, makarani na wauzaji wa vinywaji, walinishirikisha changamoto nyingi...
  2. Carlos The Jackal

    TAMISEMI ili la kuacha Halmashauri ziwapangie Ajira Mpya vituo vya kazi, limezalisha Rushwa ,hususan Rushwa ya Ngono !!

    Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia. Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?. Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa anipangie Kituo kilicho Maeneo ya Mjini. Mdogo wangu anaenda mbali anadai, Kuna Rafiki yake katembea na...
  3. M

    Pre GE2025 Uwepo wa Dawati la Jinsia katika Vyama vya Siasa utasaidia kupunguza mazingira ya Rushwa ya Ngono

    Zanzibar: Asha Bakar (40) mtoto wa mwisho kati ya watatu wa familia ya Bakari Juma, Asha ambaye pia ni mama wa Watoto watatu, anayeishi na mume wake kisiwani Unguja, anasimulia safari yake ya uongozi ilivyokatika hafla, baada ya kutakiwa kimapenzi na bossi wake. “Bosi wangu aliniambia baada ya...
  4. M

    Pre GE2025 LGE2024 Rushwa ya Ngono Zanzibar inachangia kuwarudisha nyuma baadhi ya Wanawake kuwa Viongozi

    “Niliishiwa na nguvu wakati aliponiambia kama unaitaka hii nafasi basi lazima tukutane kimapenzi kwanza ndio uipate,” anasema Sharifa. Kitu pekee kilichomjia kichwani kwake ni kuliweka jambo hilo liwe siri, libaki milele kwenye shimo la nafsi yake, hakutaka mume wake ajuwe nini kilimkuta hata...
  5. T

    Pre GE2025 LGE2024 Rushwa ya ngono inavyowatesa wanawake wanaotaka Uongozi

    Rushwa ya ngono ni matumizi mbaya ya madaraka ili kujinufaisha kingono visivyohalali au pasipokuwa na makubaliano ya pande zote mbili. Kwa mujibu sheria ya kuzuia Rushwa na Uhujumi Uchumi Zanzibar nambari 5 ya mwaka 2023 kifungu cha 52 kimekataza rushwa ya ngono kwa kumtaka mtu mwengine afanye...
  6. M

    Je, ni kweli wanaume wanakumbana na rushwa ya ngono?

    Hivi ni kweli kwamba baadhi ya wanaume nao wanapitia bc hangamoto ya rushwa ya ngono pale wanapotafuta kazi maofisini au katika fursa mbalimbali? ni kweli kwamba wakiombwa rushwa ya ngono wanafrai sana? au rushwa ya ngono ni changamoto kwa wanaume kazini? Wanaume tuambieni.
  7. Yoda

    Kuna mtu amewahi kupewa hukumu ya kufungwa katika rushwa ya ngono?

    Sijawahi kuona mantiki ya hizi harakati za kinachoitwa rushwa ya ngono, huu ni kama ubabaishaji, ujanja wa kujipatia kipato kwa harakati uchwara na kuipoteza muda tu jamii.
  8. C

    Mapendekezo ya mabadiliko ya Sheria ya Rushwa ya ngono: Wanaharakati wapinga mtoa rushwa kushtakiwa, wewe unaonaje?

    Kabla ya mapendekezo haya sheria ilikuwa inasema atakayekutwa na hatia ya kuomba rushwa ya ngono atakuwa ametenda kosa ambapo adhabu yake ni faini isiyopungua milioni 2 na isiyozidi milioni 10, ama kifungo kisichopungua miaka 5 na kisichozidi miaka 10 au vyote kwa pamajo. Kwenye mapendekezo...
  9. Half american

    Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

    Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila...
  10. M

    Ni nani chanzo cha rushwa za ngono maofisini?

    Mu Hali gani humu? Tutete kidogo kuhusiana na Rushwa za ngono hasa maofisini. Suala la rushwa ya ngono maofisini limekuwa gumzo Kila kukicha, sasa Kuna sehemu niliketi buana, tulikuwa wanaume na wanawake. Hii MADA ikaja mezani, Guess what! Wanaume takriban wote hoja Yao ilikuwa ni kwamba...
  11. Makonde plateu

    Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

    Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza na inahuzunisha sana Leo nimeenda ofisi X kupata huduma fulani nikamkuta mwanamke mmoja mzuri na...
  12. J

    Hali ya Rushwa ya Ngono Nchini

    Rushwa ya Ngono inahusisha Dhuluma na Unyanyasaji, na inakiuka Haki za Binadamu na Heshima ya Watu. Aina hii ya Rushwa hutumia nguvu ya Kisaikolojia kumshawishi Mtu kutoa Mwili wake Kingono ili kupata Upendeleo kama Safari za Kikazi, Matokeo mazuri Chuoni, Unafuu wa Kazi, Kupanda Cheo...
  13. S

    Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

    Kumekuwa na changamoto kubwa ya Rushwa ya ngono kwa baadhi ya vyuo vikuu na vyuo vya kati Tanzania hususani kwa watoto wanaomaliza kidato cha nne na kujiunga na vyuo kwa ngazi ya Certificate na diploma. Wengi wao wanakua ni wadogo kiumri na kushindwa kuhimili changamoto hiyo kutoka kwa baadhi...
  14. BARD AI

    Rushwa ya Ngono na Fedha zilitawala katika Idara za Uhamisho na Upangaji vituo vya kazi katika Halmashauri za Dodoma mwaka 2022

    Matukio ya Rushwa za Ngono na Fedha bado yanaendelea kuwa kikwazo cha upatikanaji wa Haki katika huduma ikiwemo kuwakosesha Watumishi wenye Sifa fursa za kupata Uhamisho wa Idara au Vituo vya Kazi kutokana na kukataa au kutoridhia masharti ya kutoa Rushwa. Ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na...
  15. BARD AI

    Mratibu wa Miss Rwanda afungwa jela miaka 5 kwa kuwaomba Rushwa ya Ngono washiriki

    Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 10 imepita tangu Dieudonne Ishimwe, mwanamuziki wa zamani maarufu kama Prince Kid, afutiwe mashtaka ya ubakaji na kuwaomba Rushwa ya Ngono Washiriki wa Shindano hilo. Disemba 2023, Hakimu alitoa hukumu ya awali dhidi ya Ishimwe inayoonesha hakuwa na hatia...
  16. Bull Bucka

    Kisa cha binti wa field na host supervisor wake

    Moja kati ya mambo yamezungumzwa sana ni pamoja na rushwa ya ngono katika taasisi za elimu - yaani wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu kuombwa au kutoa "utamu" kwa wakufunzi ili wapate alama nzuri na kisha wafaulu mitihani yao. Hili limezungumzwa sana na hadi uchunguzi wa kina umefanyika katika...
  17. O

    Rushwa ya ngono ilivyotamalaki Stendi ya Magufuli

    Dar es Salaam. Imeelezwa rushwa ya ngono katika mchakato wa upatikanaji kazi kwa wafanyakazi wa usafirishaji (mabasi) na kwa abiria waliokosa fedha za kujikimu katika kituo cha mabasi cha Magufuli ni miongoni mwa jinamizi linalotafuna katika stendi hiyo iliyopo Mbezi, jijini Dar es Salaam...
  18. Mhaya

    Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

    Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay. Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth...
  19. GENTAMYCINE

    Mchangiaji Malumbano ya Hoja ITV na Radio One: Wanawake wengi Walioajiriwa Maofisini walitoa na wanatoa bado Rushwa ya Ngono

    "Wanaume mlioko hapa katika hiki Kipindi cha Malumbano ya Hoja naomba niwaambieni Ukweli kama una Mke au Mpenzi wako anafanya Kazi Ofisi yoyote ile jua ya kwamba kapata hiyo Kazi na Cheo kama anacho kwa kutoa Rushwa ya Ngono na bado anaendelea kuitoa mpaka sasa ili Kulinda hiyo Ajira yake na...
  20. Lidafo

    SoC03 TAKUKURU tumieni njia hizi kupambana na rushwa ya ngono katika Taasisi za Elimu ya Juu

    Rushwa ya ngono imekuwa ni tatizo sugu hasa katika Taasisi za elimu ya juu, Usugu wa tatizo hili unachangiwa na pande zote mbili yaani mtoaji rushwa hapa namanisha wanafunzi lakini pia waombaji rushwa yaani wahadhiri na wakufunzi wa vyuo vikuu. Madhara ya rushwa ya ngono yanaonekana waziwazi...
Back
Top Bottom