petroli

Anonima Petroli Italiana or simply api (in lower case) is a large oil company in Italy. It is a provider of crude oil for the petrochemical industry and a distributor of petroleum products. It is the most important subsidiary of the holding company Gruppo api (api Group), which also includes api Raffineria di Ancona SpA, api Energia SpA, Festival SpA, apioil Ltd, api GmbH and api Services Ltd. It is headquartered in Rome, Italy.

View More On Wikipedia.org
  1. Ewura yatangaza bei za mafuta mwezi Aprili, Dar Petroli yapanda hadi 3,037

    Bei ya mafuta imeendelea kuongezeka kwa miezi miwili mfululizo huku kwa watumiaji wa petroli wakilazimika kuzama zaidi mfukoni. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatano Aprili 2, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura). Bei ya mafuta ya petroIi Aprili hii...
  2. Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli yaongeza jitihada kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi na sekta ya elimu nchini

    Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeendelea kutekeleza programu mbalimbali zinazolenga kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi asilia na sekta ya elimu nchini. Miongoni mwa programu hizo ni pamoja na kutoa fursa kwa wadau wa sekta ya elimu kutembelea miundombinu ya uzalishaji...
  3. Rais Dr. Samia, Tanzania Inaweza Kuzalisha Petroli, Dizeli, Jet Fuel, Methanol, Amonia na Urea Kutoka Kwenye Gesi – Tutauza Haraka Sana

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima, taadhima, na unyenyekevu mkubwa, ninakutakia afya njema, hekima, na mafanikio katika kuiongoza nchi yetu kuelekea maendeleo endelevu. Tunathamini sana juhudi zako za kuboresha sekta ya nishati, viwanda, na...
  4. Dk. Hussein Mwinyi: Nchi za EAC anzisheni Mifuko ya Maendeleo ya Petroli

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Dk. Hussein Mwinyi, amezihamasisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Mifuko ya Maendeleo ya Petroli, (Petroleum Fund), ambayo itasaidia katika utafiti, ubunifu, mafunzo na uendelezaji wa Sekta ya Mafuta kwa ujumla. Dk. Mwinyi...
  5. Geita: Mtoto achomwa na petroli kwa sababu ya kuiba Tsh. 800/=

    Mtoto anayesoma Darasa la Tatu katika shule ya Msingi Kasota (9) Mkazi wa kijiji cha kasota Kata ya Bugulula Halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani humo amejeruhiwa kwa kumwagiwa mafuta ya Petrol na kuwashwa moto mwilini mwake na Mama yake mzazi kwa kosa la kuiba Pesa. Akizungumzia tukio hilo...
  6. Mbeya: Amchoma mtoto kwa petroli na kumsababishia majeraha kisa Elfu kumi

    Jeshi la polisi mkoani Mbeya linamshikilia Juma Afyusisye (38) dereva Bodaboda mkazi wa iwambi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili mwanafunzi wa kiume wa darasa la pili wa shule ya msingi Iwambi mkazi wa Iwambi Jijini Mbeya kwa kumchoma moto Taarifa iliyotolewa jana...
  7. Mwaka 2020 Tsh. 10,000 ilinunua Petroli lita 5.3, leo Oktoba unaondoka na Lita 3 tu za Mafuta kituoni

    Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini kwa kipindi cha Miaka 10 (2014-2024 zinaonesha miaka ya 2015, 2016, 2017 na 2020 pekee ndio ilishuhudia Bei za chini za Mafuta nchini Tanzania kulinganisha na miaka mingine Kwa mujibu wa takimu za EWURA, kwa kipindi cha miaka mitatu (2022, 2023, 2024) bei ya...
  8. Bei ya Petroli, Dizeli Oktoba sasa kitonga, sababu za kushuka zatajwa

    Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Oktoba 2024 imeshuka nchini, ikilinganishwa na Septemba, huku sababu kadhaa zikitajwa, ikiwamo kushuka kwa gharama za soko la Uarabuni. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei za mafuta kuanzia leo...
  9. TANZIA Mwanariadha Rebecca Cheptegei aliyechomwa moto na mpenzi wake kutoka Kenya afariki dunia

    Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto nyumbani kwake nchini Kenya. Katika tukio hilo la kikatili, Cheptegei aliungua...
  10. Kufika 2025 petroli lita itakuwa 7,000/=?

    Tusitegemee mafuta kushuka, bunge la bajeti ni bunge la kuongeza kodi, Tutegemee kuongezeka kwa kodi , huku bei za mafuta kupanda, sasa mwezi huu wa saba, na mwakani mwezi wa saba mafuta yatafika 7000. Stay tune.
  11. Serikali Inafanya Tathimini ya Uwezekano wa Kupanga Bei Moja ya Bidhaa za Petroli Nchi Nzima

    SERIKALI INAFANYA TATHMINI YA UWEZEKANO WA KUPANGA BEI MOJA YA BIDHAA ZA PETROLI NCHI NZIMA Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema Serikali kupitia EWURA inafanya tathmini ya uwezekano wa kupanga bei moja ya bidhaa za petroli nchi nzima. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Aprili 3,2024...
  12. EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta, Petroli na Dizeli bei yapanda kuanzia Aprili 3, 2024

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo ya mafuta zilizoanza kutumika leo Aprili 3, 2024 ambapo kuna ongezeko la bei ya nishati za Petroli na Dizeli huku Mafuta ya Taa bei ikibaki kama ilivyokuwa Machi 2024. Upande wa Dar es Salaam bei ya Petroli ni Tsh 3,257 ikiwa...
  13. Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    OMBI LA KUTEULIWA KUWA KAMISHNA WA PETROLI NA GESI Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima na taadhima, naomba kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi katika Wizara ya Nishati, ili kujaza nafasi iliyo wazi. Nikiwa na uelewa mkubwa katika masuala ya mafuta na gesi, na kufahamu...
  14. Nishati: Petroli yashuka kwa Tsh. 116, Dizeli Tsh. 148 Dar, Mafuta ya Taa yabaki palepale

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za Mafuta ya Petroli zitakazotumika kuanzia Desemba 6, 2023 ambapo Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,158, Tanga Tsh. 3,204 na Mtwara Tsh. 3,231 kwa Lita moja ya Mafuta. Dizeli Dar es Salaam itauzwa kwa Tsh. 3,226...
  15. Petroli Bei Juu Tanzania

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), iimetangaza bei kikomo za bidhaa za Mafuta zilizoanza kutumika leo Oktoba 4, 2023 ambapo kwa Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,281, Dizeli 3,448 na Mafuta ya Taa Tsh. 2,943 ikiwa na ongezeko la Tsh. 68 kwa kila Lita. Tanga, Petroli ni Tsh...
  16. Mchinjita: Serikali Imefeli Kuondosha Uhaba wa Petroli na Diseli

    Utangulizi Itakumbukwa kwamba tarehe 2 Agosti 2023 Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilitangaza bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa. Bei hizo ziliibua malalamiko na vilio kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, kutokana na kupaa...
  17. Mchanganuo wa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa Mei 2022

    Kwanza, kuna gharama za mafuta ambayo ni bei ya mafuta katika soko la dunia na gharama ya uagizaji wa mafuta hayo inayojumuisha gharama za usafirishaji, bima na faida ya mletaji wa mafuta (supplier). Katika bei za Mei 2022 gharama hizi zilikuwa ni kama ifuatavyo: (i) Petroli – bei ya soko la...
  18. Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli

    Kiwanda cha kubadilisha gesi asilia kuwa mafuta (Gas-to-Liquid - GTL) ni njia nzuri ya kukabiliana na kupanda kwa bei ya mafuta nchini Tanzania. Gesi asilia inaendelea kuwa rasilimali muhimu na yenye thamani kubwa katika soko la nishati duniani. Kuzalisha mafuta kutoka gesi asilia itakuwa na...
  19. Uhaba wa mafuta unaisogelea Dar, bei ya Petroli kwa Kibaha yapanda kutoka Tsh. 2,700 hadi 3,700 ghafla

    Changamoto ya uhaba wa Petroli sio jambo geni tena kwenye masikio ya watu hapa Bongo, lakini binafsi nilikuwa sijaona changamoto hiyo kwa Dar na maeneo ya karibu na Mji huo. Kila siku tumekuwa tunasikia mikoani tu kuwa uhaba wa mafuta na mara bei inapanda, inadaiwa kuna mgomo wa kimyakimya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…