nyongeza ya mishahara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    MEI MOSI: Unatoka home kwenda kusikiliza ahadi ya kuondolewa kikokotoo na nyongeza ya mishahara, badala yake unakutatana na WADUDU..!!

    Wafanyakazi wa sekta ya umma Tanzania, mnapoambiwa kuwa CCM ni sumu hatari inayoua taratibu, muwe mnaelewaga na kisha mchukue hatua.. Sasa ona hapa... Mmeenda Arusha na matumaini kibao ya kusikia "nani kama mama" anatoa kauli kuondoa kikokotoo kandamizi cha mafao ya kustaafu kwenu na ahadi...
  2. Roving Journalist

    Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

    Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024 https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS Maadhimisho haya yamehudhuriwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge...
  3. Influenza

    Rais Samia: Tumerudisha nyongeza ya mishahara ya mwaka kwa Wafanyakazi

    Rais Samia akiwa katika Sherehe za Siku ya Wafanyakazi mkoani Morogoro amebainisha kuwa nyongeza za mishahara za mwaka ambazo kwa muda mrefu zilikuwa zimesitishwa, zimerudishwa mwaka huu Amesema “Wafanyakazi wote mwaka huu, mbali na Kupanda Madaraja, na mambo mengine, kuna nyongeza za mishahara...
  4. K

    Hakuna nyongeza ya mishahara kwa watumishi mwaka 2023

    Nimepita huku na kule naona kwenye bajeti 2023/2024 hakuna nyongeza bali matumizi mengineyo yasiyo ya mshahara hii inamaana hakuna nyongeza mwaka huu.
  5. Taifa Digital Forum

    Watumishi wa kima cha chini Mkoani Singida watoa ya moyoni nyongeza ya mishahara.

    Watumishi wa kima cha chini Mkoani Singida wamezungumzia nyongeza ya mishahara iliyotolewa na serikali ya awamu ya sita.
  6. Mr Q

    Waziri Mkuu Majaliwa atoa ufafanuzi kuhusu ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi leo Julai 29, 2022

    Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu. === Aliyoyazungumza waziri Mkuu. Rais Samia Suluhu Hassan tangu ameingia madarakani amehakikisha watumishi wanapata amani mahali...
  7. D

    Serikali, huu ndiyo muda muafaka wa kubadilisha sheria za wafanyakazi; Nyongeza ya mishahara iwe ni kwa wafanyakazi bora au maalum tu

    Naomba kutoa Rai kwa serikali! "Ukicheka na nyani Utavuna mabua" TUCTA must watch out! Kuna HAKI na WAJIBU wa kila MTU Haki ya mfanyakazi ni kulipwa ujira wake kama kanuni zinavyosema! LAKINI wajibu wa mfanyakazi ni kufanya kazi bora ili mwajili awe na sababu ya kulipa ujira huo hata Zaidi...
  8. The Palm Beach

    Sakata la nyongeza ya 23.3% ya mishahara ya watumishi wa umma: TUCTA na serikali wanajadiliana nini katika hatua hii?

    Msemaji wa serikali ndg Gerson Msigwa akitoa mrejesho wa kinachoitwa kikao cha serikali na TUCTA leo tarehe 26/7/2022 Lugha gongana. Msemaji wa serikali anasema hivi, TUCTA wanasema vile. Ni kama kuna kurushiana mpira. Gerson Msigwa anaongea kana kwamba TUCTA ndiyo mwajiri na mlipa mshahara...
  9. M

    Leo ndiyo ufafanuzi wa Serikali kuhusu nyongeza ya 23% ya mwezi Julai, 2022

    Leo ndiyo ufafanuzi wa serikali kuhusu 23% ya mwezi July nangoja nione watasema nini maana nilikuwa na tumaini na mama anatulea kumbe mama naye katuchoka mapema. Mungu tusimamie watumishi kikombe kigumu kwetu[emoji120]
  10. Thabit Karim

    Sintofahamu Nyongeza ya Mishahara: Serikali Kukutana na TUCTA 26/07/2022

    Serikali kupitia ukurasa wa Twitter wa Msemaji Mkuu wa Serikali imesema itakutana na viongozi wa TUCTA kuhusu suala la nyongeza ya mishahara. Taarifa hiyo imesema hivi: Ndugu wafanyakazi, Jumanne tarehe 26 Julai, 2022 Serikali itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA)...
  11. Uzalendo wa Kitanzania

    Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  12. CK Allan

    Serikali kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara iliyoonekana July 2022

    Tusubiri kusikia huo ufafanuzi ingawa watu wanataka pesa tu na sio ufafanuzi!
  13. T

    Nyongeza ya mishahara TUCTA wamasema wamepokea malalamiko, watatoa tamko

    Rais wa Tucta ama shirikisho la vyama vya wafanyakazi amesema wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa serikali kuhusu nyongeza za mishahara ya 23% waliokua wanaitegemea kama alivyoahidi rais kwenda kinyume na matarajio yao. Rais wa TUCTA amesema wamepokea malalamiko na watatolea...
  14. mwanamwana

    Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akubali ongezeko la 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma.
  15. Mr Q

    Waziri Mkuu apokea taarifa ya nyongeza ya mishahara, kuiwasilisha kwa Rais ambaye ataitangaza hivi karibuni

    UPDATES. TAREHE 23/72022 WATUMISHI WALICHOKUTANA NACHO HAWATAKUJA KUSAHAU HIZI NGONJERA ZA KUPOKEA TAARIFA KWA MBWEMBWE MPAKA SERIKALI INATAKA KUTOA UFAFANUZI UPYA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA NYONGEZA YA MISHAHARA *Aahidi kuikabidhi kwa Mheshimiwa Rais Samia...
  16. S

    Afadhali Rais Samia kaukwepa mtego wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Hongera mama!

    Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei. Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri. Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei 1. Upungufu wa mafuta 2. Tangazo la...
  17. S

    Watumishi wa umma, leo hamtangaziwi nyongeza, bali kulipwa sehemu ya madeni yenu ya nyongeza

    Ik8fika July mwaka huu,tutakuwa tunaingia mwaka wa sita tangu watumishi wa umma waongezewe kwa mara ya mwisho mishahara pamoja na nyongeza ya mishahara ya Kia mwaka mpya wa fedha (annual increament). Annual increament hii ambayo iko kisheria, kwa miaka hii sita kwa mtumishi mwenye mshahara wa...
  18. Roving Journalist

    Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

    Kutoka jijini Mwanza tunawaletea taarifa za moja kwa moja, maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi duniani,ambayo kitaifa yanafanyika hapa. Mgeni rasmi anatarajiwa kua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan, ambapo atapokea maandamano ya wafanyakazi...
  19. beth

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Tunaboresha maslahi ya Wafanyakazi, sio lazima tuseme hadharani

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imejifunza kuwa inapotangaza hadharani kuhusu kupandishwa mishahara, kumekuwa kunatengeneza gharama kubwa na kusababisha ugumu wa maisha ya wengine. Ameeleza hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Konde (ACT-Wazalendo) Khatib Haji aliyehoji ni lini...
Back
Top Bottom