Namungo Football Club is a Tanzanian football club based in Lindi, Tanzania. The club currently plays in the Tanzanian Premier League, the highest league in the Tanzanian football league system.
Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua...
Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
Yanga msiendelee kupoteza mda wenu kujibizana na wapuuzi kama wachambuzi ambao baadhi yao tunajua wako kwenye payroll ya Mhindi!
Kilichotokea Leo pale Ruangwa Kila mtu kaona kwaiyo msicheke na nyani endeleeni kutoa vichapo kivyovyote ilimradi point 3 ziingie kapuni,,
Tutaendelea kukusanya...
“Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo.
Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli
Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio”
Hayo ni maneno...
Kila kitu vimewekwa sawa, waamuzi, makocha wa timu pinzani na baadhi ya wachezaji wa timu pinzani wameshawekwa sawa kazi yetu leo ni ushindi mnono huyo Utopolo atajuta.
Kadi Nyekundu itatolewa kwa mchezaji/wachezaji wa timu pinzani iwapo wataonyesha hasira ama kufanya rafu inayohitaji kadi ya...
Tukashuhudie mechi ya ligi kuu NBC kweli isiyo na mipango twendeni tukaone mechi kikosi vikipangwa bila maelekezo toka kwa wamiliki wa timu ....Hata simba akishinda huwa anapata point halali za jasho na damu wachezaji wana henyeka hii inawasaidia sana simba kwenye mashindano ya caf ,kufanya...
Djuma Shabani soka la bongo limeshamkataa! Maana tangu atoke Yanga SC amekuwa wa kuhangaika tu.
Ameenda huko Namungo kacheza mechi chache sana tena si kwa hule uzoefu wake so naona time yake imekwisha akatafute ugali sehemu nyingine tena nje ya Tanzania.
=====================
Beki wa zamani wa...
Katoka AS vita katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba, wanemtupia virago, wanadai uwezo wake ndogo ,huyo ni Djuma Shaban, hana timu ya kucheza kwa sasa.
Kwingineko Benard Morisson ametua KenGold timu inayoekekea kushuka daraja...
Mechi ilikuwa nzuri
Wachezaji wa Yanga wameonyesha ukomavu na uvumilivu hadi nafasi za kufunga zikapatikana
Wachezaji wetu hawana fitness nzuri sana.
Nadhani labda uchovu kushinda ubingwa mara 3 siochezo, hii inasabisha mechi kukosa kasi tuliyozoea
Duke Abuya ni Mchezaji mzuri mno, ametimiza...
Kifurushi cha furaha ambacho tuliwaunga watani kimedumu Kwa wiki 3 na Leo kimekwisha
Yanga tumemfunga Simba mara nne mfululizo na Bado tutaendelea kumfunga hadi ifike mara 20+
Watani ambao wanaoshiriki mashindano ya akina mama ( Kaduguda)
Yaani timu zinazo shirikisho mashinda ya shirikisho...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBC Premier League
⚽️ Namungo FC 🆚 Young Africans SC
📆 30.11.2024
🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi
🕖 6:30PM(EAT)
KIKOSI CHA NAMUNGO KINACHOANZA
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
Tukutane hapa kwa Updates...
Updates...
18:31 Mpira umeanza kwa kasi ya Wastani hapa .
Umiliki ni...
1. Mchezo ulikuwa mzuri isipokuwa wachezaji wetu wana fatigue na huu mkakati tuliowekewa wa kucheza baada ya siku 2 nna uhakika tunaenda kudondosha point hasa kule mkoani vs Mashujaa lakn mungu atakuwa upande wetu
2. Kipa wetu Camara amekamilika sana nadhan kiongozi mmoja alipomuita 3 times...
Naona kila mmoja anamnyoshea kidole Kennedy Juma kuwa ndio aliyefanya makosa kwernye lile goli. Pengine Kennedy ana nyota mbaya ya kutopendwa na wanasimba lakini kwa goli la jana halikuwa kosa la Kennedy Juma bali ni la kipa Ayoub. Kipa alitoka golini kwake kufuata mpira pasipo mawasiliano...
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Unadhani nani ataibuka mshindi? Fanya kutupia utabiri na uchambuzi wako hapa.
---
Kikosi cha Simba kilichoanza...
Leo yanga kacheza mpira wa papatu. very bad football. Bila AUCHO kazi wanayo yanga.
Sure Boy bado sana kuwa sita bora. Leo ni neema tu imewabeba ila very low tempo football amna furaha yoyote.
yanga can do better. wanajua ball ni swala la morali kama imeshuka vile over achievement kama Bayern...
Uongozi wa Namungo Fc unapenda kumshukuru Kocha Denis Kitambi kwa muda wote aliotumikia Timu kwa ushirikiano mkubwa ndani ya Timu yetu.
Namungo Fc inamtakia kila la kheri Kocha Denis Kitambi katika safari yake ya ukocha nje ya Namungo Fc.
Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa?
Hali iyo inapelekea tuhuma kuwa nzito na...
Mapenzi ya kweli hayafichiki hata kidogo na pia ni ukweli usiopingika ambao hata yeye alikiri kilichomuondosha Yanga ni ujio wa Diamond Platnumz hivyo akaona wivu Diamond alivyokuwa akihusudiwa na kupewa kipaumbele kwa hiyo jamaa akaamua asepe tu ila kimoyo moyo anaumia.
Sasa bhana hii ni short...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.