Mtu mmoja ameuawa huku wengine wanne akiwemo mtoto wakijeruhiwa wilayani Handeni mkoani Tanga baada ya kukatwa mapanga huku wananchi wakijawa na hofu kuhusiana na tukio hilo.
Tukio hilo limetokea katika kitongoji cha Kwamagome kilichopo ndani ya halmashauri ya mji Handeni majira ya saa kumi na...
Kumetokea ajali asubuhi ya leo Juni 07, 2020 katika eneo la Mbembela jijini Mbeya iliyohusisha gari dogo la abiria aina ya Hiace, lori la mafuta, lori la bidhaa na Bajaji.
Katika ajali hiyo Mtu mmoja amefariki na wengine wanne kujeruhiwa baada ya lori hilo lililokuwa limebeba mafuta kufeli...
Serikali ya Burkina Faso imesema mtu mmoja asiyejulikana ameshambulia na kuua takriban watu 15 katika jimbo la Loroum
Waziri wa Mawasiliano Remis Fulgance Dandjinou amesema idadi ya waliojeruhiwa bado haijatambulika
Burkina Faso imekuwa na mashambulio yanayohusishwa na Al-qaeda na ISIL tangu...
[emoji179]Chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo katikati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua.
[emoji179]Kama choo chako, kina harufu, ya mkojo na huna dawa washa kiberiti chooni harufu itakwisha
[emoji179]Chukua ganda la limao lichome na vipisi vya karafuu weka kila pembe ya chumba mbu...
Mbowe na Zitto na wengineo mara zote wamekuwa wakitaka mamlaka za nchi ziitishe lockdown ya nchi nzima ili kuepuka uenezwaji wa janga la corona.Jambo jema.
Lakini mimi nina wazo tofauti nataka kuwashauli kwa nini endapo serikali imegoma kuitisha lockdown wao wasiwashawishi wanachama wao wabakie...
Hii ni katiba ya CHADEMA kila anayejiunga na chama hiki nikuwa amesoma ameikubali, na unapochukua fomu ya kugombea uongozi ni lazima unakuwa uneikubali kwanza Katiba ya Chama.
Sasa kelele za Lijualikali hazina maana zaidi ni propaganda za waliomrubuni asaliti chama tu na mkumbuke Lijualikali...
Huu ni ushauri wa bure.
Haya makampuni ya fursa hebu wajitahidi kubadili mbinu za kutapeli watu. Hii ya kutajirika ndani ya siku 2 imepitwa na wakati.
Qnet acheni kukodi magari ya watu na kujifanya ni yenu. Na visimu vya Iphone 6 Iphone 8. Badilini mbinu basi.
Kupiga picha na selfie kwenye...
Rais wa chama cha wauguzi Tanzania Mr. Alexander Baluhya amesema kuna wauguzi kadhaa wameambukizwa Corona lakini hawezi kutaja idadi kwa sababu yeye siyo msemaji wa serikali.
Akijibu swali la mtangazaji Hassan Ngoma aliyetaka kujua hadi sasa ni wauguzi wangapi wameambukizwa na kufa kwa Corona...
Watoto wawili nchini Uganda wamefariki dunia huku wengine 11 wakipelekwa hospitali baada kula kitafunwa aina ya chapati kilichotengenezwa kwa sumu ya kuua wadudu badala ya mafuta.
Watoto wote 13 wanatoka familia moja magharibi mwa Uganda na inasemekana kwamba waliokuwa walikuwa na umri wa 5 na...
Naam! Habali za kazi ndugu wana jukwaa kama kichwa cha Habari kinavyosema.
Kwa wale wataalamu, wa afya nilikuwa naomba kueleweshwa faida kiafya ya kula matunda haya, nimeona yanaliwa sana ila faida zake katika mwili sijajua.
Asante!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.