Habari hapa jamvini
Leo kuna jambo limekuja kichwani naona majibu yanaonesha wengi wataenda motoni
Hivi muislam mwenyewe wake wa4 akaokoka. Wale wake zake wote wa4 anawapeleka wapi kwsbb kwa mujibu wa mafundisho ya wakristo mke n mwisho mmoja na ni wakufa na kuzikana. Je wale wa3 waliobakia...
Tizama hi video kwa makini kabla ya ku-comment.
Kiongozi wa Korea kasikazini amelegeza mashariti kwa dini moja tu uko nchini kwake baada ya kushuhudia great miracle en Wisdom katika kitabu cha Qur"an tukufu, wakati anaingia madarakani 2011 Uislamu kama dini zingine zilikua marufuku nchini...
Historia ya Mkwawa na Uhehe.
Mkwawa au kwa jina defu Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga (19 Julai 1898) alikuwa chifu na kiongozi mkuu wa Wahehe katika Tanzania wakati wa upanuzi wa ukoloni wa Ujerumani wakati wa mwisho wa karne ya 19.
Mkwawa aliongoza upinzani wa Wahehe dhidi ya Wajerumani...
Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani, alikufa kitandani akiwa na huzuni kwa sababu alitarajia kufa shahidi vitani.
Inasemekana kwamba kabla...
Habari zenu wana jukwaa anahitajika mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa ambaye yupo serious anitumie ujumbe PM (DM) awe muislam umri 25+ awe tayari kwa ndoa.
Hello habari zenu kuna dada anatafuta mchumba HIV positive
Sifa zake
Muislam very religious
Umri 23
Mahali alipo mtwara
Vigezo vyake
Awe muislam
Asizidi miaka 40+
Kama utakua interested unaweza kunifata PM nikakupa mawasiliano nae
Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.
Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?
Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.
Mfia dini au mfia duni.
Katika Quran, kuna aya kadhaa ambazo zinaelezea hasara na madhara yanayowapata wale wanaofuata dini isiyokuwa ya Uislamu. Quran inasisitiza kwamba mafanikio ya kweli na wokovu hupatikana kwa kumwamini na kumfuata Mwenyezi Mungu wa kweli, kama inavyofundishwa na Uislamu. Hapa kuna baadhi ya aya...
Endapo ukifa Makka au madina katika Hija huwa minafaizina
Aya ambazo zinaelezea neema za peponi kwa waumini:
Surat Al-Waqi'ah (Sura ya 56), Aya 22-24:
"Na wao watakuwa juu ya mito inayotiririka, na matunda ya wao watakavyo kuwa wakiyapenda. Na nyama ya ndege watakapo kuwa wakiyataka. Na wenye...
Kama wewe unajua kwamba Mungu yupo! Hakikisha unatoa ZAKA. Fanya utani na masihara kwenye mambo yote lakini toa ZAKA! Babu yangu miaka Kumi iliyopita aliugua tb ambayo ilifanya apofuke macho! Hivyo akahudhuria kliniki na kuchoma sindano 120, lakini Bado hali yake haikubadilika ,naikumbuka siku...
asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini.
Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
Ni rahisi sana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini zao na CCM wanalifahamu vizuri jambo hili.
Hata kama kuna jambo baya sana kwa maslahi ya nchi yetu ukitaka likubalike basi wewe lipake rangi ya dini flani utaona mara moja watazuka watu na kulitetea kwa nguvu zao zote kwasababu tu jambo...
TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA.
Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote.
Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini.
Naomba nitumie muda huu kuwakumbusha Watanzania na watu wengine Duniani kuwa ni jukumu la Muislam kujenga...
Wasalaam JF,
Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe.
Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote...
Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina.
Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam. Tusikilize👇🏾
Tutaleta tafsiri ya Kiswahili baadae.
Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.
Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa...
Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka,
Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye...
Asalam alaykum!
Nilisilimu lakini baadhi ya members humu wakawa wanapinga na kusema mimi sio muislam bali ni mnafiq.
Sasa Leo nataka kujua kutoka kwa wajuvi wa dini ya kiislam definition ya Uislam/Muislam. Huenda ikanisaidia kuwa muislam safi.
Na ikiwezekana wanipe sifa ambazo mtu anapaswa...
@yangasc1935 @CLEMENTINHO49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize.
#ClementMzize #Yanga #Islam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.